Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Hivi karibuni nimeona video moja ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Makambako, Hanana Mfikwa akizungumzia kutumia viongozi wa dini kuwahamasisha wananchi kwenda kupiga kura. Mfikwa...
1 Reactions
11 Replies
579 Views
Salaam Wakuu, Hadi sasa hivi vyama vyama zaidi ya 10 vya Upinzani venye nia ya kuiondoa CCM madarakani, vipo kimya kana kwamba hakuna kinachoendelea. Je, vimefueahhishwa na mchakayo wa Uchaguzi...
2 Reactions
10 Replies
821 Views
Wakuu, Mambo ni moto kila sehemu, ni mwendo wa kuengua tu na kubakisha wa kupita bila kutoa jasho. ===== Viongozi na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la...
1 Reactions
2 Replies
448 Views
Wachambuzi wa Kisiasa ni lazima waelewe suala hili. Tamisemi iko chini ya Ofisi ya Raisi. Kwa msingi huo Raisi ndiye Waziri wa Tamisemi. Waziri wa Nchi ofisi ya Raisi / Makamu wa Raisi / Waziri...
0 Reactions
2 Replies
411 Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam Abas Mtemvu amewataka wanachama wa CCM wasioteuliwa katika kura za maoni kutulia na kuongeza nguvu kazi kwenye uchaguzi. Mwenyekiti Mtemvu...
1 Reactions
4 Replies
623 Views
Mwanadishi wa Habari unakuwa chawa, wananchi wanatapa watahabarishwa na kupaziwa sauti inapohitajika? ==== Ikiwa zimesalia siku chache kufanyika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hamasa kwa...
0 Reactions
0 Replies
346 Views
Chama cha ACT Wazalendo kinatoa Taarifa kwa Umma kuwa wagombea wake 51423 katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji wameenguliwa kwa sababu ya udhamini wa chama ngazi ya Kata...
1 Reactions
5 Replies
804 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari la wapiga kura ikiwa ni maandalizi ya...
0 Reactions
5 Replies
584 Views
Kufuatia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika mnamo tarehe 27 Novemba, 2024 Mahakimu wote wa Mahakama mkoani Pwani wamepatiwa mafunzo ya namna bora ya kuendesha mashauri ya...
0 Reactions
0 Replies
338 Views
Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, kumekuwa na ripoti za kuenguliwa kwa wagombea, hususan wa upinzani, na wanaotekeleza hayo ni ninyi watendaji wa mitaa. Naomba kuwaasa ndugu...
4 Reactions
10 Replies
937 Views
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje hapo jana, kudai kuwa baadhi ya wagombea wa Chama hicho kwenye uchaguzi wa...
3 Reactions
76 Replies
4K Views
Wakuu, Tambo zinazidi kurushwa, ni kweli watashinda, au mbeleko itasaidia washinde? Lucas Mwashambwa Tlaatlaah johnthebaptist ===== Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto...
3 Reactions
7 Replies
654 Views
Taarifa ni kwamba mikakati ya Ushindi imeanza kutekelezwa na CHAWA Wengi wamejikita nje ya mfumo kwa Sababu Kasungura ni Kadogo baada ya Wafadhili wa ndani kugutuka Kuna chuki kubwa sana...
5 Reactions
15 Replies
733 Views
Zoezi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa linaendelea na sasa hivi liko hatua ya uwasilishaji wa pingamizi, nimeona malalamiko mengi sana kutoka kwa vyama vyote vya siasa nchini ikiwemo Chama cha...
2 Reactions
7 Replies
540 Views
Kuwapa wagombea walioenguliwa siku 2, 08 - 09/11/2024 kuwasilisha mapingamizi yao wakati akijua siku hizo ni weekend na sehemu nyingi ofisi za umma huwa zimefungwa. Lengo lake lilikuwa ni nini...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuu nafikiri wote tumesikia kuwa wagombea kadhaa wameenguliwa kugombea nafasi mbali mbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kile kinachodaiwa kutokuwa na shughuli za kuwaingizia kipato...
4 Reactions
10 Replies
623 Views
Katika Halmashauri ya Jiji la Arusha, Mkoa wa Arusha, wagombea tisa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameondolewa kwenye mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Na; John Marwa Siku chache kabla ya siku ya uteuzi wa wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara wa chama kikuu cha upinzani nchini yaani Chama cha Demokrasia na...
1 Reactions
3 Replies
507 Views
Kumekuwa na kelele za CHADEMA karibu Nchi nzima wakilalamika kwamba wameenguliwa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu 2024. Mimi naomba kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, kama ni...
3 Reactions
6 Replies
536 Views
.nimepita mitaa mingi wananchi wanawaongelea na kuwajua wagombea wa CCM tu .mitaa mingi haina ofisi za vyama vya upinzani . CHADEMA tunafocus mambo hasi kama wizi ,wagombea kutokuwepo-wagombea...
0 Reactions
14 Replies
892 Views
Back
Top Bottom