Hii ndio Taarifa mpya ya Jioni sana iliyotufikia.
Mada ni ile ile wala hatuna haja ya kuirudia, Wananchi wote wamekubaliana na Hoja za Chadema kasoro Abood tu
Hali ndio kama unavyoona kwenye...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, akiwa mkoani Morogoro katika ziara ya oparesheni, amesema: "Bila mabadiliko hakuna Uchaguzi, ndiyo oparesheni ya Chama...
"Chadema tunachokitaka tunataka uchaguzi wa kistaarabu sisi diwani tunapata ,wenyeviti wa mitaa tunapata na mbunge tunapata lakini tunapata kwa maumivu makubwa sana"
"Ndiyo maana tumesema...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu ametoa wito kwa watumishi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kutenda haki katika kusimamia uchaguzi Mkuu wa Oktoba baadaye...
Taasisi ya Mama Samia Support, inazidi Kusongesha Gurudumu la Rais Samia Kwa Kauli Mbiu ya ’Kazi Na Utu, Tunasonga Mbele’
Taasisi Hii Leo May 29, 2025 wamefanya Maandamano ya amani yenye Lengo la...
Kabla hata Hiyo Tume haijatangaza tarehe ya kutoa fomu, tayari ccm washatangaza.
Hii maana yake ni kwamba ama ccm wanaipangia Tume au Tume inaripoti kwa ccm kwanza kabla ya popote.
Ni aibu...
Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuru Mruma, amesema baraza hilo linawahimiza Waislamu na Watanzania kwa ujumla kulinda amani iliyopo nchini, kwani bila uwepo wa...
SHEMSA MOHAMED: CCM TUPO SIMIYU KUHAKIKISHA SERIKALI INATEKELEZA MAJUKUMU KWA WAKATI
Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali kutoka Mkoa wa Simiyu, tarehe 4 Juni 2025 wamefanya ziara ya...
KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, amewatakia kila la kheri Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo, katika Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba...
Barua kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani, Ofisi ya Msajili wa Jumuiya inasomeka kama ifuatavyo:-
KUFUNGWA KWA SHUGHULI ZA KANISA LA GLORY OF CHRIST CHURCH - KANISA LA UFUFUO NA UZIMA
Chini ya...
Mwenyekiti wa baraza la vijana la CHADEMA BAVICHA taifa Deogratius Mahinyila tarehe 5 June 2025 akiwa kwenye ziara Ifakara iliyoongozwa na makamu wa CHADEMA taifa John Heche amesema "wapo baadhi...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema falsafa ya 4R ya Rais wa Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na mazingira Hamad Masauni ameeleza kuwa falsafa ya maridhiano ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan zimejenga umoja wa kitaifa, mapenzi na undugu bila...
Rais Samia amesema Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa njia ya Haki, kwa kusimamia misingi yote ya Kanuni, Sheria na desturi zote za Uchaguzi, Falsafa ya 4R itaendelea kuwa moja ya nyezo kuu katika...
Askofu Gwajima kwa ujasiri mkubwa kabisa amekuja hadharani na kupasua jipu kwa watanzania kuhusu kitendawili cha matukio ya utekaji hapa Tanzania. Gwajima amejenga hoja katika mambo mawili.
1...
Ubunge kwa maana halisi ya uwakilishi wa wananchi ni kwa yule mzawa ama mkazi wa muda mrefu wa eneo husika na sio aliyekwenda kwa ajili ya kutafuta fursa ya "ulaji".
Je Makonda ana asili ya...
Hongera Gwajima. Acha wajinga wakushambulie lakini watanzania wenye akili tumekuelewa
Gwajima ameagana na nyonga kabla ya kukimbia. Haikuwa rahisi kujitokeza hadharani kwa desturi ya nchi yetu...
Jana nimeangalia video ya Askofu Josephat Gwajima kwenye YouTube, na haya ndiyo maoni yangu kuhusu kile alichokisema na alivyokisema.
Kwanza, ni wazi kuwa Gwajima yupo karibu na watu walio ndani...
Viongozi wengi wa kuchaguliwa haswa wabunge na madiwani wamekuwa ni wepesi wa kuahidi vitu visivyotekelezeka, huku ikiacha maswali mengi nini kinasababisha hawa ndugu kushindwa kuwaletea wananchi...
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amehoji mantiki ya kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisema kauli za kisiasa haziwezi kufasiriwa kama uhaini bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.