Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Asema kuna miradi inakwama utekelezaji sababu ya migawanyiko WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa waepuke migogoro na mizozo kwa sababu kuna miradi...
1 Reactions
0 Replies
139 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa tasnia ya mazao ya bustani siyo tu sehemu ya sekta ya kilimo, bali ni sekta ya kimkakati ya biashara ya kimataifa inayounganisha Tanzania na Masoko...
0 Reactions
0 Replies
124 Views
Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Namuona hapa Kaimu Balozi Andrew Lentz akiwa Ikulu akisubiri ripoti ya Jaji Chande Wachina na Warusi sijawaona hapa, au hii ripoti haiwahusu? ?
1 Reactions
7 Replies
191 Views
Tume ilipewa majukumu 6 kwa mujibu wa hadidu za rejea (ToRs) mara baada ya kuundwa kwake ambazo ni; 1. Kuchunguza na kubainisha chanzo halisi cha ghasia zilizotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu...
1 Reactions
10 Replies
208 Views
  • Redirect
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel...
0 Reactions
Replies
Views
Sasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima...
12 Reactions
85 Replies
2K Views
RIPOTI YA JAJI CHANDE JE NI MWISHO WA CHADEMA KISHERIA? Leo tarehe 23 Aprili wakati ukweli wa matukio ya tarehe 29 Oktoba ukiwekwa hadharani na Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman tunaona...
0 Reactions
14 Replies
300 Views
Toka Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan aingie madarakani kwakweli tumeona mabadiliko makubwa sana kwenye masilahi ya kiutumishi, amekuwa akipandisha madaraja analipa arrears anapandisha mishahara...
2 Reactions
21 Replies
392 Views
Waziri wa Ujenzi amekanusha vikalo takwimu za Uongo zilizotolewa na Rais wa Nchi jirani akijitetea kuhusu ugumu wa Maisha huko kwao vs Tanzania. Bwana yule alionekana kuidogosha Tanzania akitumia...
1 Reactions
20 Replies
432 Views
NI dhahiri kuwa siku ya leo Alhamisi (23/4/2026) macho ya watanzania yatakuwa mubashara kufuatilia ripoti ya Tume ya uchunguzi ya matukio ya tarehe 29 octoba 2025 inayotarajiwa kukabidhiwa kwa...
1 Reactions
9 Replies
182 Views
๐‡๐š๐๐ข๐๐ฎ ๐ณ๐š ๐ซ๐ž๐ฃ๐ž๐š ๐ฒ๐š ๐“๐ฎ๐ฆ๐ž ๐ฒ๐š ๐Š๐ฎ๐œ๐ก๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ณ๐š ๐Œ๐š๐ญ๐ฎ๐ค๐ข๐จ ๐–๐š๐ค๐š๐ญ๐ข ๐ง๐š ๐๐š๐š๐๐š ๐ฒ๐š ๐”๐œ๐ก๐š๐ ๐ฎ๐ณ๐ข ๐Œ๐ค๐ฎ๐ฎ ๐ฐ๐š ๐Ž๐ค๐ญ๐จ๐›๐š ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ“. Kuchunguza kubainisha chanzo halisi cha ghasia Oktoba 29, 2025 Kuchunguza lengo kuu la ghasia...
2 Reactions
7 Replies
170 Views
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki...
19 Reactions
318 Replies
20K Views
MAPENDEKEZO YA TUME YA HAKI JINAI NCHINI YAANZA KUTEKELEZWA Kamati ya Kusimamia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Kurekebisha Mifumo ya Haki Jinai nchini imekutana na Mabalozi na Wawakilishi...
0 Reactions
0 Replies
305 Views
  • Redirect
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel...
0 Reactions
Replies
Views
Wadau, 2023 rais Samia aliunda tume ya kuchunguza mfumo wa utoaji haki....Haki Jinai, kuangalia namna polisi, Takukuru, kitengo cha madawa ya kulevya, magereza na ofisi ya mwendesha mashtaka...
6 Reactions
15 Replies
823 Views
Wakuu, Nakumbuka hata kipindi kile cha Uchaguzi MaCCM yalitumia mbinu hizi hizi za kutumia watu maarufu kuhalalisha Uchaguzi ila kilichotokea hadi leo hawaamini Ni lini CCM itakubali kwamba...
0 Reactions
26 Replies
477 Views
Au je, hii ni mbinu ya kujihami dhidi ya ukweli utakaowekwa wazi na tume ya uchunguzi kuhusu namna chadema kilivyoshiriki kuratibu na kuongoza vurugu za 29 Oktoba, chini ya kivuli cha haki...
0 Reactions
10 Replies
176 Views
Katika kipindi hiki nyeti cha kihistoria, macho na masikio ya Watanzania yameelekezwa kwenye Ripoti ya Jaji Chande. Hii si nyaraka ya kisiasa kwa ajili ya wanasiasa pekee, bali ni hati muhimu...
0 Reactions
8 Replies
159 Views
1. Mohamed Chande Othman ni jaji mwenye uadilifu mkubwa na ujuzi wa hali ya juu katika sheria. 2. Amewahi kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania (2010-2017), akiongoza mahakama kwa haki na uwazi. 3...
1 Reactions
11 Replies
313 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ