Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu Zangu Watanzania, Lissu inatakiwa Afunguliwe Mashtaka Mapya Kabisa na kuanza kufanya uchunguzi wa kauli zake ambazo alikuwa akizitoa Mwaka jana kabla ya Uchaguzi. Ikumbukwe lissu Alitoa...
8 Reactions
209 Replies
2K Views
Hayo ndo madini ya wahadhiri wa Kiislamu wakidai kuwa Rais anapokuwa Muislam, wakatoliki hawapo tayari Makamu atoke nje ya Katoliki, au Makamu anapokuwa Muislam basi Rais asiwe Mkatoliki.
2 Reactions
34 Replies
718 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Antipas Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini ambapo leo Agosti 24, 2026 amesimama Mahakamani kuendelea kujitetea. Tundu Lissu ameiambia...
13 Reactions
44 Replies
673 Views
Askofu Josephat Mwingira wa Kanisa la Efatha amesema Tanzania inapitia mazingira ya maumivu, akidai kuwa Kanisa limeumia kutokana na matukio yanayoendelea nchini. Mwingira amesema anashangazwa na...
5 Reactions
11 Replies
348 Views
1. Kwanza kutumika na CCM kupoteza watu wenye maono wanaochipukia ndani ya chama. Yani Mbowe alimtoa kafara Ben saanane yeye anajua, Mungu anajua na Atalipia yeye na kizazi chake. Hasa watoto...
2 Reactions
6 Replies
129 Views
Kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu inaendelea Jumatatu Agosti 24 ambapo mshtakiwa anajitetea mbele ya mahakama. Lissu: Ukiangalia miaka kabla ya 2020 tume imekuwa...
7 Reactions
14 Replies
488 Views
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeanza rasmi maandalizi ya utekelezaji wa...
1 Reactions
12 Replies
156 Views
Chadema izungumze na Serikali kuhusu nini? Ili iweje, kuna nini? Kama wanachadema wote ni Magaidi na Wahaini wanauliwa kama dagaa na kubambikwa kila kesi, unawaona hawana haki yoyote kwenye...
18 Reactions
81 Replies
834 Views
  • Featured
"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye...
4 Reactions
74 Replies
2K Views
  • Featured
Jana Jumamosi tarehe 15, Agosti 2026, makala ya CNN kuhusu mauaji ya Watanzania wasio na silaha wala hatia yoyote ile, imeshinda tuzo ya Salute to Excellence, ya taasisi ya NABJ. Uchunguzi huo...
88 Reactions
125 Replies
3K Views
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) umeishauri CHADEMA kutafuta suluhu ya kudumu ya changamoto zao ikiwemo shauri la mwenyekiti wake, Tundu Lissu, kwa njia ya mazungumzo yenye maslahi...
3 Reactions
24 Replies
340 Views
Nataka kuelewa kuhusu haya maridhiano ya Kitaifa yanayozungumzwa sana. Maaridhiano haya ni baina ya nani na nani? Kama ni ya Kitaifa swali langu "Kwani kuna mgogoro au kutoelewana baina ya nani...
17 Reactions
70 Replies
688 Views
Mwanasheria maarufu nchini, Peter Madeleka amesema matukio yaliyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 yana masuala ya jinai yanayopaswa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria, akisema...
4 Reactions
10 Replies
387 Views
𝗕𝗔𝗥𝗔𝗭𝗔 𝗟𝗔 𝗠𝗔𝗔𝗦𝗞𝗢𝗙𝗨 (𝗧𝗘𝗖) 𝗠𝗡𝗔𝗧𝗨𝗞𝗢𝗦𝗘𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗔𝗧𝗢𝗟𝗜𝗞𝗜. Tumsifu Yesu Kristo. Jina langu ni Joseph Simon Mapunda, Muumini wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbinga Mkoani Ruvuma ambaye kwa mapenzi ya Mungu...
8 Reactions
263 Replies
7K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Mzee Stephen Wasira, akihojiwa leo Agosti 19, 2026, katika kipindi cha UTV amesema Serikali haiwezi kuomba radhi kwani ilitimiza...
8 Reactions
96 Replies
1K Views
Akizungumza na BBC nguli wa siasa barani Afrika Stephan Wassira amesema Maridhiano siyo na CHADEMA ni mustakabali wa Kitaifa kwa hiyo wale wanaosema Notorious criminal Tundu Lissu aachiwe ndo...
0 Reactions
29 Replies
612 Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Salum Hapi, amesema kauli ya Mary Chatanda kuhusu kuwafuta CHADEMA ilikuwa ni tambo za kisiasa na haipaswi kutafsiriwa kama yenye nia mbaya. Hapi...
1 Reactions
24 Replies
365 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (Itikadi, Uenezi na Mafunzo), Kenani Kihongosi, amewataka wanasiasa na vyama vya siasa nchini kuacha kutumia matukio ya Oktoba 29 kama ajenda ya kujijenga kisiasa...
1 Reactions
22 Replies
343 Views
Akizunguma kwenye mahojiano na M & S podcast yaliyorushwa Agosti 13, 2026, Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema rushwa ni tatizo kubwa katika mchakato wa uchaguzi, akidai kuwa...
0 Reactions
5 Replies
245 Views
Back
Top Bottom