Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Barabara nyingi za mitaa katika Wilaya ya Ubungo zimegeuka machinjio ya vyombo vya usafiri na chanzo kikuu cha hasara kwa wananchi, huku mamlaka husika zikionekana kushindwa kutoa suluhisho la...
0 Reactions
1 Replies
334 Views
Wakuu, Nasikitishwa sana na hiki nilichokiona hapa kwenye hii barabara ndogo ya Segesela Street hapa Sinza, ni kamtaa fulani kanaanzia hapa Mlimani City kuelekea Kitambaa Cheupe. Hii barabara ni...
1 Reactions
1 Replies
243 Views
Anonymous (ce6e)
Zikiwa zimepita siku 100 tangu kuapishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuiongoza Tanzania katika muhula wake wa pili, tathmini zimekuwa nyingi na zenye sura tofauti. Wapo wanaotazama kisiasa...
0 Reactions
0 Replies
218 Views
Yaani mtu unakaa na file mezani kwako wiki mbili au mwezi mzima unalisogeza tu kila ukiletewa chai...., kwani unapata faida gani au unafanya nini muda wote huo kutojali file ambalo ungeweza...
11 Reactions
32 Replies
778 Views
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Yah: Changamoto ya Gharama Kubwa na Usumbufu wa Kuunganishiwa Huduma ya Maji – Makurunge, Kiluvya Madukani, Kisarawe...
4 Reactions
52 Replies
652 Views
Dar es Salaam ni jiji lililo na mito inayotiririsha maji kuelekea baharini, lakini kwa muda mrefu kumekuwa na uhaba wa maji. Kwa muda mrefu jiji hilo limekuwa likitegemea maji ya mto Ruvu unaopita...
0 Reactions
5 Replies
306 Views
Ni jambo linalofikirisha kidogo, wakuu salam sitatoa. Hali ya kutoheshimiana kati ya shirika la umeme Tanzania TANESCO na wateja wake imezidi kushamiri. Hivi inatokana na suala lisilo la...
14 Reactions
62 Replies
2K Views
Kibamba wengi bado tunalazimika kununua maji ya chumvi Licha ya Serikali kukiri kuwa Tanzania si masikini wa vyanzo vya maji, bado kero ya maji imeendelea kukithiri hasa kwa miji mikubwa kama Dar...
1 Reactions
3 Replies
297 Views
Ndugu wanabodi, heshima kwenu nyote. (Unaitikia igweeeeee) Serikali ya CCM imefeli sana kwenye utoaji huduma. Ni kweli. Achana na mahospitali, shule za umma, jeshi la polisi na kwingine kote...
2 Reactions
7 Replies
343 Views
Wiki iliyopita nilikuwa Kigoma katika pitapita zangu nikapita katika Barabara hii ipo Kijiji cha Matyazo, Wilaya ya Kigoma Vijijini, Barabara hiyo kutoka Kalinzi hadi Matyazo ndiyo njia kubwa ya...
0 Reactions
3 Replies
233 Views
Wanaohusika na usimamizi wa mnara kampuni ya TTCL katika kata ya Misughaa wawajibike.mwezi mzima mnara hausomi😪😪. unatumia nishati ya solar wakati huu wa Mawingu ndo haufanyi kazi kabisa ...
0 Reactions
3 Replies
200 Views
Kichwa Cha habari kinajieleza hapo juu jamani ukweli acha usemwe tu barabara ya Rujewa - Igawa ni mbovu mbovu sana mashimo kila shemu Jamani tunaumiza vyombo vyetu da hii barabara ni KERO jamani...
0 Reactions
4 Replies
630 Views
Anonymous
Kumekua na kukithili kwa porojo za kisiasa juu ya sekta ya afya nchini, hali inayopelekea huduma kuendelea kuwa duni na zisizoridhisha. Jambo moja wapo ni hili la kupitiwa na kubadilishwa kwa...
3 Reactions
4 Replies
297 Views
Hivi kipaumbele cha nchi ni kipi? ni Afya? ni Elimu? ni nini hasa? Mwanza unashuka kwenye Feli kutoka ziwa viktoria tayari upo katikati ya jjiji! Mwanza wanalia mgao wa maji? Sio siri jamani...
13 Reactions
38 Replies
626 Views
Ni kero kubwa kwa wasafiri kutoka Arusha kwenda Moshi. Latra wameruhusu wamiliki wa bus za abiria kuumiza wananchi kwa kupandisha nauli maradufu. Tumezoea tukipanda bus kubwa kutoka Arusha kwenda...
3 Reactions
11 Replies
362 Views
Wakuu habari zenu! Sasa hv kila kona ya Dar-es-salaam ukipita unaona hali ni mbaya mno katika upatikanaji wa Maji safi na salama. Jiji la Dar-es-salaam halina mito ya asili ambayo inaweza kuwa ni...
0 Reactions
12 Replies
294 Views
Mh Rais Samia Suluhu Hassan Nakusalimia kwa Jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Awali ya yote nianze kwa kukutakia uzima na afya katika kutekeleza majukumu yako. Baada ya salamu hizo nije...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
CHADEMA wajanja sana wameshirikiana na jua pamoja wanaharakati kutoka nje kukukasha vyanzo vya maji ili ionekane mama hapendwi ila UVCCM😂 Haiwezezekani wazungu watuonee wivu Kwa rasilimali zetu...
8 Reactions
22 Replies
533 Views
Nimejaribu kufuatilia panel mbali mbali za usahihishaji wa mitihani ya kidato cha nne na chapili ambapo nilianza kuhudhuria kama miaka kumi iliopita kama external niliouagundua huko ni mengi...
14 Reactions
116 Replies
4K Views
Latra please ingilia kati. Wanapanduaha nauli eti sababu ya D9 Nenda Magufuli stend wasaidie wànanchi wanaibiwa.
1 Reactions
22 Replies
749 Views
Back
Top Bottom