Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia jioni hii.
Kwamba Baada ya Tangazo la Shetani la kuzuia Shughuli za Chadema kwa Wiki 2, Watu wengi mno wakaamua Kujazana Tabora Mjini.
Unalopaswa kujua ni...
Leo katika posti yake katika mtandao wa Instagram Salim Kikeke amesema akitoka kwenye majukumu yake nje ya nchi atakuja kugombea moja ya jimbo, licha ajaweka ni jimbo gani
Kupata matukio na...
Ukiwa ni mwendelezo wa kuwafanya na kuwaona Watanzania wote kama mazuzu vile, leo Waziri wa Katiba na Sheria amesikika huko Tarime akisema hoja ya No Reforms No Election haina mashiko kwa sababu...
MRADI WA KUSAMBAZA MBEGU ZA KISASA ZA MIKAHAWA JIMBONI BIHARAMULO NDIO MWAROBAINI WA UCHUMI WA KIJANI .
Kahawa inakamilisha dhahabu ya kijani kwa wanabiharamulo kujikwamua baada ya zao la ndizi...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitaahirisha uchaguzi ng'o kwa sababu kiliomba ridhaa ya kuongoza nchi kwa miaka mitano na kimeongoza vizuri kwa kuleta maendeleo chini ya serikali...
Hivi ndivyo ilivyokuwa Mchana wa Leo
Wananchi wote wa Nzega wamekubaliana na Hoja zote za Chadema na Wameapa kwamba bila Reforns hakutakuwa na Uchaguzi
"Tunaendelea kuwasihi viongozi wetu wa dini kutumia vizuri majukwaa ya nyumba za ibada kueneza mafunzo mazuri ya dini yetu yanayotokana na maandiko muhimu ya vitabu vyetu vitukufu, na kuepuka...
Sasa Ile bendera ya Israel inaonyesha nini kuhusu imani yake Gwajima.?
Waisraeli anadhani wana Dini gani?
Askofu Gwajima anataka aonekane kwamba yeye peke yake ndiye mtetezi wa wanyonge.
Hao...
Kupia video hii, unahisi ni nini kinampelekesha rais kiasi ambacho anaonekana kutokuwa katika hali ya kawaida?
My take:
Kuna haja ni kuliangalia hili suala ya reforms kwa mapana yake na kwa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Chadema Makao Makuu imefungua semina elekezi kwa viongozi wake wa Kanda ya Nyasa, semina hiyo inasimamiwa na Dkt Aman Golugwa ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinaendelea kukumbwa na changamoto za ndani baada ya Mahakama Kuu kutangaza kusitisha shughuli zake za kisiasa kwa kipindi cha siku 14.
Kesi hiyo yenye...
Tunaelekea uchaguzi mkuu na joto limeishapanda sana kwa sasa. Mtihani ni mkubwa, maswali ni mengi yanataka maelezo marefu huku karatasi ya kujibia kikiwa kipande tu. Huku kuna Azimio la mgombea...
Wakuu
Ni muendelezo wa C4C ya CHAUMMA na muitikio umekua mkubwa Pengine sera zao za ubwabwa zinavuta wananchi uchaguzi wa October 2025
====
Mapokezi ya Mwenyekiti wa CHAUMMA Taifa Mh. Wakili...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, ndugu Ado Shaibu amejibu kauli ya Ally Hapi kuwa Dola iwashughulikie wanaotaka kuzuia uchaguzi, ambapo amesema kuwa CCM siyo chama cha siasa tena, kwasababu sifa ya...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, amedai kuwa serikali imepanic kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kwa kampeni ya 'No Reforms No Election' inayopigania mabadiliko kabla ya...
CHADEMA kimeomba muda wa siku 21 kujibu hoja za kisheria zilizowasilishwa Mahakamani na Saidi Issa Mohammed na wenzake watatu, waliowasilisha kesi Mahakama Kuu ya Tanzania, wakitaka Mahakama...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dkt. Juma Homera amesema wanaoandika No Reforms No Election wataumiza mikono yao kwa kuwa uchaguzi uko pale pale.
"No Reform No Election wala nini! Hiyo tunaishuhudia tu...
MBUNGE TOUFIQ TURKY AGAWA MISAADA YA SIKUKUU KWA WANANCHI WA MAKUNDI MAALUM
Mbunge wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Toufiq Salim Turky tarehe 06 Juni, 2025 ametembelea Shule ya Sekondari ya Mpendae na...
Baada ya video iliyoonyesha bango mjongeo lilikokuwa na ujumbe wa no reforms no elections, uongozi wa Bar ya Small Planet iliyopo Sinza waibuka na kulaani vikali tukio hilo ukisema hawahusiki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.