Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Njia ya kumaliza maandamano sababu kuu za maandamano lazima zitatuliwe kwanza ikiwemo muuaji kuachia madaraka hata tutawala kamwe. Na hakuna mtu wa kutubabaisha babaisha tunachukua nchi yetu.
3 Reactions
24 Replies
571 Views
"nilikua nakuskiliza pale ulivokua unaongelea na kutoa maelekezo thabiti ya barabara ambayo imetajwa na Baba askofu na makofi mengi ya wananchi yaliashiria kwamba wamekuelewa. Yale maelekezo...
2 Reactions
18 Replies
701 Views
"Mkuu wa Mkoa uko hapa, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi upo hapa na Nyota Mtoto wetu yupo hapa. Nafikiri nikisema hivyo mmenielewa. Mmenielewa? Nyota ya mtoto wetu yupo hapa, nawashukuru sana...
14 Reactions
120 Replies
4K Views
MBUNGE SARA MSAFIRI AKABIDHI AMBULANCE KITUO CHA AFYA MZIHA Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Mheshimiwa Sara Msafiri, amekabidhi rasmi gari la wagonjwa (ambulance) kwa Kituo cha Afya Mziha, huku...
0 Reactions
4 Replies
395 Views
MHE. SARA MSAFIRI APOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO MVOMERO Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Mkoani Morogoro, Mhe. Sara Msafiri amefanya kikao kazi na Wakuu wa idara mbalimbli...
0 Reactions
19 Replies
465 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Kigoma, imetupilia mbali pingamizi la awali lililowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo...
5 Reactions
19 Replies
761 Views
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa kata ya Mlowo, mkoani Songwe ameagiza Hospitali zote hakuna kuzuia matibabu kwasababu mgonjwa hajafanya malipo, amesema mambo ya...
1 Reactions
17 Replies
365 Views
Mkurugenzi wa sheria na haki za binaadam wa CHADEMA, Gaston Garubindi kupitia ukurasa wake wa X, December 15 ameandika "Hizi ni simu za viongozi wetu wa Chama , zilikamatwa kwenye kikao cha ndani...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
“na wale wanaotukana tukana wa yale mataifa wanaotukana mimi niwaambie tunasoma wanachokiandika, tunasoma wanachotukana na yule aliyehamasisha maandamano amekiri kwa mdomo wake kwamba kuna taifa...
1 Reactions
66 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila amewataka wananchi waendelee kuliamini na kuliacha Jeshi la Polisi liendelee na uchunguzi wa kutokewa kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania...
0 Reactions
9 Replies
612 Views
Fikiria Sheria za uchaguzi ziwe Bora kuliko za sasa, wasimamizi wa uchaguzi wawe huru na wawajibike Kwa makosa ya kiuchaguzi watakayoyafanya. Wazia jeshi la polisi lisizuie au kuingilia shughuli...
5 Reactions
26 Replies
452 Views
Akiwa Tunduma, mkoani Songwe kwenye ziara ya kikazi ya kukagua maeneo yaliyoathirika kutokana na vurugu zilizotokea nchini Oktoba 29 mwaka huu na siku zilizofuata, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba...
0 Reactions
21 Replies
541 Views
Sioni haja ya Waziri Mkuu kuendelea na ziara zako ikiwa kila unapokwenda unarudia mambo yale yale uliyoyaongea sehemu nyingine, kana kwamba wananchi ni wajinga wasioyajua mambo; hali hii ni...
7 Reactions
24 Replies
602 Views
Binadamu wa kawaida tumeumbwa na haya, sasa unapokutana na binadamu ambae amekosa haya kabisa hata mbele ya umma na kwa ulimwengu huu wa technolojia, basi huyo ujui ni tatizo kubwa sana. Yaweza...
5 Reactions
14 Replies
314 Views
Haaaa! Odera kwahiyo Heche akishikana mikono na Samia, maumivu yote yataisha? ============= Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwenyekiti wa Kamati ya Kusukuma Maridhiano...
2 Reactions
49 Replies
1K Views
Rais Samia amesema kuwa amesikia kuna tukio jingine la maandamano linapangwa Desemba 9, lakini amemsikia mmoja wa waandaaji wa nje kuwa hilo la Desemba 9 liahirishwe mpaka wakati wa Xmas kwa...
6 Reactions
156 Replies
5K Views
Waziri Kombo akutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ameendelea kufanya mikutano na Viongozi na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza na kuimarisha uhusiano...
0 Reactions
13 Replies
329 Views
Rais wa Umoja wa Makanisa ya Kitume na Kinabii Tanzania Dkt. Nabii Joshua Aram Mwantyala ametoa wito kwa Wakristo nchini kujiepusha na matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya sikukuu za...
0 Reactions
1 Replies
198 Views
My people, Si kila anayetaka amani kwasasa hajaumizwa na yale yaliyotokea 29 Oct na yanayoendelea sasa hivi ikiwemo utekaji Natambua kwa baadhi yenu mnaweza kumuona kila mtaka amani na mpinga...
2 Reactions
47 Replies
603 Views
Back
Top Bottom