Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika.
Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika
Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta,
Shilingi ya...
HOTUBA YA MHE. JAJI MKUU MSTAAFU MOHAMED CHANDE OTHMAN, MWENYEKITI WA TUME YA RAIS YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA GHASIA NA UVUNJIFU WA AMANI YALIYOTOKEA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA...
ISIMANI YAFURIKA WANANCHI WAMPOKEA EMMANUELA KWA MIKONO MIWILI.
Mamia ya Wananchi wa Tarafa ya Pawaga Kata ya Itunundu Wilaya ya Iringa Vijijini wamejitokeza katika Uzinduzi wa Kampeni za...
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetangaza kupunguza tozo ya Uendelezaji wa Miundombinu Mipya ya Bandari (PID) kutoka asilimia tisa hadi asilimia 4.5 ya kodi ya forodha.
Mkurugenzi...
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema kuwa sekta ya uchukuzi nchini imefanikiwa kuzalisha jumla ya ajira 198,480 kupitia ujenzi wa miradi mbalimbali na utoaji wa huduma za...
CCM mtandao waonyesha sura zao halisi kwenye ujenzi wa refinery Tanga.
CCM mtandao kwa mara nyingine tena wameonyesha nani hasa ni adui wa maendeleo ya nchi ya Tanzania baada ya kupinga mradi wa...
TAARIFA KWA UMMA
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU AKUTANA NA RAIS WA IFAD, NAIROBI Wajadili Kilimo himilivu na uendelezaji wa Kilimo Biashara
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Mei 11, 2026...
👉Joseph Warioba alikuwa mmoja wa viongozi waliopata nafasi muhimu katika historia ya uongozi wa Tanzania, hususan alipohudumu kama Waziri Mkuu kuanzia mwaka 1985 hadi 1990. uongozi wake Ulikuwa...
Ni Mkutano Mkubwa kuliko Mikutano yote ya kisiasa iliyowahi kufanyika Tanzania
Bado hatujajua huyu Sugu anatumia kitu gani kiasi cha kuvunja rekodi za Nchi
Ndugu wa Waliouawa 29 octoba...
Ukitaka kujua tabia ya paka chunguza anakula nini.
Warioba (na mwenzie Butiku) ni watu ambao mikono Yao imejaa damu na machozi ya wahanga wengi. Ukitaka kujua hili durusu Sheria ya kuweka watu...
Please disregard this misinformation.
The European Parliament is not conducting the debate being falsely portrayed by some online activists. This video dates back to November 26, 2025, and no...
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU AKUTANA NA RAIS WA IFAD, NAIROBI
▪️Wajadili Kilimo himilivu na uendelezaji wa Kilimo Biashara
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Mei 11, 2026 amekutana na Rais wa...
Wakuu,
Ameandika Mwabukusi kupitia ukurasa wake wa X tafsiri kwa msaada ya Gpt....
Msiwakandamize au kuwanyamazisha Gen Z. Hebu tujibu maswali yao. Kile mnachokiona kama machafuko kwenu...
DKT. MWIGULU ASHIRIKI CHAKULA CHA JIONI KILICHOANDALIWA NA RAIS RUTO
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba jana Mei 11, 2026 alishiriki chakula cha jioni cha kitaifa kilichoandaliwa na Rais wa Kenya...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba jana Mei 11, 2026 alishiriki chakula cha jioni cha kitaifa kilichoandaliwa na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto kwa heshima ya Wakuu wa Nchi na Serikali wanaoshiriki...
AFRIKA YAHIMIZWA KUJENGA MUSTAKABALI SALAMA KWA WATOTO.
Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi. Neema Mwigulu Nchemba, ametoa wito kwa viongozi na wadau wa Afrika kuweka...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika na Ufaransa (Africa Forward Summit...
VIONGOZI WA AFRIKA NA UFARANSA WAJADILI UWEKEZAJI NA MAENDELEO
▪️Dkt. Mwigulu asisitiza matumizi sahihi ya rasilimali ili kujenga uchumi wa Afrika
▪️Rais Macron atangaza uwekezaji wa dola...
October 29 haitasahaulika mioyoni mwetu kabisa, natoa wito Gen Z wotee tujiunge ili tujiandae na kujilinda dhidi ya CCM na Jeshi la Polisi pindi watakapo taka kuua tena ndug zetu ili wahalalishe...