Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Anaandika Wakili Boniphace Mwabukusi kupitia ukurasa wake wa X: Kuiba Ngoma ya Kijiji ina weza isiwe tatizo, changamoto kubwa ni kutafuta mahali pa kuipigia kwa Amani bila wanakijiji kukusikia...
5 Reactions
6 Replies
386 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetoa taarifa kwa umma likikanusha madai yanayosambazwa mitandaoni kuhusu kukamatwa kwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kati. Katika taarifa hiyo, polisi wamesema...
1 Reactions
12 Replies
346 Views
Wakuu, Akiwa anazungumza hivi karibuni Shaban Pembe amesema kwamba itakuwa ni kitu cha kushangaza kama Wakristo hawatopinga na kukemea maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kwenye siku ya...
3 Reactions
16 Replies
445 Views
Padre Kitima akizungumza na waandishi wa habari amehoji kulikuwa kuna sababu gani ya kuwaambia watu wasitoke nje wakati wa maandamano halafu wanafuata majumbani na mtaani kwao na wengine kuwindwa...
41 Reactions
129 Replies
3K Views
Kwa kweli hii ni interview ya kufunga mwaka. Mh.Bwege amemungushia Rais Samia lawama zote kwa yaliyotokea Oct 29. Amekwenda mbali na kumtaka aombe radhi, atubu, na aahidi kutorudia. Pia amesema...
7 Reactions
15 Replies
620 Views
Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA), Mchange Habibu Mchange amedai kuwa sababu ya watu kufariki Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuata ni wao kuchochewa na...
1 Reactions
37 Replies
888 Views
Ndugu zangu, Muda huu (mchana wa leo Disemba 20, 2025) askari wenye silaha wapo nyumbani kwa wazee wangu, kijiji cha Old Moshi Kidia. Leo wameenda na magari mawili, yenye namba za usajili...
47 Reactions
107 Replies
3K Views
Dorkasi ameeleza kuwa utawazuiaje watoto ambao ni watu wazima tayari wenye miji yao kuwa wasiandamane wakati wao ndiyo watawala wa kesho, ameeleza hii kufuatia hoja iliyotolewa mbele ya wazee wa...
5 Reactions
5 Replies
284 Views
The Commonwealth Ministerial Action Group met to review critical developments in Tanzania. Read the statement 🔗 bit.ly/CMAG-71 Ministers expressed concern over reports of breaches of core...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Sidhani kama Chadema walikimbia uchaguzi kwa shinikizo la watu wa nje. Hii sio kweli kabisa. Takwa kubwa lilikuwa ni kupata katiba mpya ambayo ingeweza kuleta mazingira ya kutokuwa na udanganyifu...
4 Reactions
3 Replies
140 Views
Salaam Wakuu, Hapa chini nimewawekea hotuba nzima ya Luhaga Mpina bila kuchakachua kitu. Angalizo, hii Hotuba ilitolewa tarehe 27 Oktoba, lakini Document ya hotuba imetoka leo. Naipost hapa...
2 Reactions
4 Replies
394 Views
BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limesema kuwa linaunga mkono tamko la Makamu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche, la kupinga uchaguzi mkuu wa 2025 na kueleza...
2 Reactions
3 Replies
227 Views
Ameandika Malisa kupitia ukarasa wake mtandaoni; "Nasikitika kuwajulisha kuwa jana majira ya saa 8 usiku (kwa saa za huko nyumbani) watu wenye silaha walivamia nyumbani kwa wazazi wangu, kijijini...
17 Reactions
32 Replies
1K Views
Bibi Dorkasi amehoji kauli ya Rais alipokuwa akiongea na Maafisa wa kijeshi Jijini Tanga kwa kulitaka lisichafuea sifa yake kwa kujiingiza kwenye mambo ya siasa, Bi Dorkasi amesema kuwa...
15 Reactions
8 Replies
394 Views
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameishachaguliwa kihalali, hivyo hakuna msingi wa...
5 Reactions
64 Replies
2K Views
Samia anakuja kuongeza hasira za vijana kuandamana badala ya kuja kuponya majeraha. Najua atasema, vijana walilipwa, akijua anawatetea kumbe ni dharau kwao kuwa hawana akili ya kuamua...
13 Reactions
36 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekishutumu chama kimoja cha siasa nchini akidai kinatumika na maslahi ya nje kuvuruga amani na mwelekeo wa taifa...
3 Reactions
21 Replies
628 Views
"Wewe huku unaambiwa komaa kamanda mpaka ufe, sisi [wabunge wa CCM na upinzani] tunaazimana mpaka mafuta." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu akizungumza na wananchi wa Uyole, Mbeya
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Anaandika John Heche "Chama chetu kimeshambuliwa pakubwa mno, viongozi na wanachama wetu kwa maelfu wametekwa, kuumizwa, kuwekwa mahabusu za polisi kwa mda mrefu bila sababu.. Wengine kina Mdude...
13 Reactions
13 Replies
648 Views
"Ni juzi tu watu wamekufa kama panya alafu tunaambiwa usiseme hicho, na sisi tumekuwa wapumbavu tunadhani hizi ni zama kama zile za mababu " Padre Parokia ya kiwanja cha Ndege Dodoma.
24 Reactions
65 Replies
1K Views
Back
Top Bottom