Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Toka mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, tumeshuhudia mambo mengi ya hovyo yakifanywa na TAMISEMI, chini ya Waziri Mchengerwa, kuanzia kutunga kanuni mbaya za kusimamia uchaguzi...
4 Reactions
9 Replies
590 Views
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameendelea na kampeni yake ya kutafuta kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, akizungumza na wananchi na vijana wa UVCCM...
0 Reactions
1 Replies
492 Views
Mgombea wa CCM kwenye Uchaguzi wa serikali za Mitaa ndugu Mfaume Zuberi amesema Katika Uongozi wake atasisitiza Wananchi kuzishika Amri 10 za Mungu tena Wapigie mistari Amri ya 4 hadi 8 Zuberi...
0 Reactions
3 Replies
306 Views
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA taifa John Pambalu akiwa mkoani mwanza wakati wa kufanya kampeni kuwanadi wagombea wa chama chake kuelekea uchaguzi serikali za mitaa amesema vijana wamesoma...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Usisahau pia kwamba alilala Polisi baada ya Mamluki RPC wa Songwe kutumikishwa na CCM kwa lengo la kudhoofisha Kampeni za Chadema Sasa angalia Hapa Mbeya Mjini, Baada ya Mikutano mingine 8...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Tulishazoea miaka ya nyuma, nafasi zinatangazwa kwa ajili ya wanaotaka kusimamia Uchaguzi. Leo ni takribani wiki moja kabla ya uchaguzi, hakuna tangazo lolote la Tume Huru ya Uchaguzi kuhusu...
1 Reactions
15 Replies
930 Views
Wakuu, CCM na polisi, bila manyanyaso kwa wapinzani mnaweza kutoboa kweli? ===== Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread...
11 Reactions
40 Replies
2K Views
Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu akizungumzia zoezi la uokoaji wahanga wa ghorofa lililoporomoka Kariakoo November 21, 2024 mkoani Mara amesema anashangaa kuona watu...
20 Reactions
89 Replies
4K Views
Ndato Rungwe imesimama, mapokezi ya mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe. Ni mwendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Serikali za Mitaa mkoa wa Mbeya Kuengua Wagombea, kumewakosesha fursa ya...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Uongozi wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Songwe, umevitaka vyama vingine vya siasa kudumumisha amani katika kipindi chote cha kampeni pamoja na siku ya uchaguzi wa...
0 Reactions
1 Replies
292 Views
Baada ya kuona makamanda wameikimbia ngome yao muhimu kama Moshi na Arusha wakati wa ufunguzi wa kampeni basi hii ni ishara rasmi kuwa CCM imedhibiti vilivyo ngome hii. Ndio maana Mbowe kaanzia...
1 Reactions
13 Replies
808 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimeendelea kuimarisha kampeni zake za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kufanya mkutano wa hadhara uliofanyika katika Mtaa wa Mtakuja, Kata ya Vingunguti, Jimbo la...
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Mkutano wa asubuhi leo Novemba 23, 2024 uliofanyika katika Kijiji cha Ipinda, Kata ya Kyela, Mbeya na kuhutubiwa na mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe Mbowe amesema chadema inasimamia...
1 Reactions
4 Replies
554 Views
Mkutano wa asubuhi leo Novemba 23, 2024 uliofanyika katika Kijiji cha Ipinda, Kata ya Kyela, Mbeya na kuhutubiwa na mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe Pia, soma: LGE2024 - Songwe: Viongozi...
2 Reactions
2 Replies
634 Views
1. Jeshi la Polisi Kulinda Mikutano ya Kampeni, Raia na Mali zao Kusimamia Ratiba ya Mikutano. 2. Vyama vya Siasa Kuzingatia Sheria Kanuni, Miongozo na Ratiba ya Uchaguzi. Kuepuka Rushwa...
0 Reactions
0 Replies
557 Views
Wakuu, Vijana hawa waelewa na wenye akili ndio akina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah na ChoiceVariable? :BearLaugh: :BearLaugh: ==== Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za...
5 Reactions
18 Replies
942 Views
Wakuu, Upinzani wakifanya hivi kwenye maeneo ambayo wagombea wa chama kimoja wapo wameenguliwa watafanikiwa kuwazidi CCM? ==== Naibu Waziri Kivuli wa Viwanda na Biashara wa Chama cha...
0 Reactions
6 Replies
604 Views
MBUNGE AMINA MZEE & TAUHIDA GALLOS: DODOMA MJINI ICHAGUENI CCM, HAMTAJUTA KUICHAGUA CCM Wabunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Amina Ali Mzee na Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo (MNEC) wamewasihi Wananchi...
1 Reactions
12 Replies
573 Views
Msichoke, kila hatua ikemeeni kama haitendi haki. sasa kampeni , wapinzani wanaonewa sana, serikali , polisi for that matter, imeonesha ushenzi mkubwa. Wakemeeni na kumtanguliza mungu wa...
1 Reactions
2 Replies
341 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe anaingia Jimbo la Kyela kwa ajili ya kuwanadi wagombea wa Chama chake kwenye Uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za mitaa...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Back
Top Bottom