Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

JULIANA MASABURI: YALIYOFANYWA NA RAIS SAMIA YANATOSHA KUENDELEA KUIAMINI CCM Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania, Mhe. Juliana Didas Masaburi akihutubia mkutano wa hadhara amewaambia wananchi...
0 Reactions
3 Replies
510 Views
Wakuu, Mambo yanazidi kunoga, kapilipili kanazidi kukolea. CCM wakiongonzwa na UVCCM Kagera wanawazoom tu 🌚 🌚 ===== "Sisi tumevumilia sana kuibiwa, 2020 tumeibiwa, na safari hii wamejaribu...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Habibu Mbota ambaye pia ni balozi wa maji mkoa wa Tanga akiwa katika harakati za kampeni alisisitiza kuwa uchaguzi huu ni fursa muhimu kwa...
1 Reactions
2 Replies
393 Views
Wakuu, Haya si maneno yangu ni maneno ya kada wa CCM huko Mbeya akiwa anaongea na wananchi kwenye kampeni. Akiongea kwenye kampeni kada huyu amesema kuwa alipata taarifa kuwa kuna kuna vijana wa...
2 Reactions
9 Replies
780 Views
TAARIFA YA JESHI LA POLISI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia wanachama wa CHADEMA ambao ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Aikael Mbowe, Joseph Osmud Mbilinyi Mwenyekiti wa...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa za mwaka huu hakuna mgombea atakaepita bila kupigwa badala yake kutakuwa na kura ya NDIO au HAPANA kama itatokea mgombea ni mmoja katika...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Kuelekea siku ya Uchaguzi wa serikali za Mitaa, wasimamizi wa vituo vya Uchaguzi 1,213 wamepewa mafunzo na kuapishwa kwa ajili ya kusimamia uchaguzi huo utakaofanyika siku ya Jumatano ya Novemba...
-1 Reactions
15 Replies
799 Views
Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mhe. Sebastian Waryuba ameyasema hayo wakati aliposhiriki uchaguzi marathoni Wilayani Malinyi kwa lengo la kuhamasisha Wananchi kujitokeza kupiga kura Novemba 27, 2024...
0 Reactions
1 Replies
264 Views
Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga anaendelea na kazi ya kuhamasisha Wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Ruvuma ili waweze...
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwa jinsi kampeni zinavyoendelea nimejifunza kitu,Chadema ni chama kinachopendwa na wa Tanzania kutoka ndani ya Mioyo yao, haijalishi wanapitia kipindi kigumu kiasi gani, lakini watu bado...
2 Reactions
6 Replies
425 Views
Wagombea wa nafasi ya Uenyekiti mitaa ya Mwembetogwa, Azimio na Lumumba iliyopo kata ya Mwembetogwa Halmashauri ya mji Makambako, wakieleza sera zao kwa wananchi ili wawachague katika uchaguzi wa...
0 Reactions
0 Replies
387 Views
Wagombea uongozi wa mitaa kwa kata ya Salasala kwa ticket ya CCM wakiwa wamepiga magoti kuwaomba msamaha wananchi wa kata hiyo wa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kuwaletea maendeleo kwa...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu Akina mama wa CCM wapiga magoti ili kuwaombea kura wagombea wao kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Wakija kuomba kura mpaka wanatambaa, wakishazipata wanaanza kutupiga matukio, hata...
0 Reactions
4 Replies
593 Views
Mtaa au kijiji gani wagombea wa CCM wameenguliwa wakabaki wa upinzani kama CHADEMA na ACT pekee ambao watapigiwa kura za ndio na hapana? Kuna kitu nataka kujifunza.
0 Reactions
1 Replies
381 Views
Wasimamizi wasaidizi zaidi ya 600 wa vituo vya kupiga kura uchaguzi Serikali za Mitaa wa jimbo la Tabora wametakiwa kutokutanguliza uzoefu wa usimamizi wa chaguzi zilizopita katika uchaguzi wa...
0 Reactions
0 Replies
464 Views
Mtiania wa Nafasi ya Ubunge Jimbo la Momba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fanuel Siyame aivaa vikali Serikali ya CCM kwa kushindwa kuwapelekea maji safi na salama wananchi wa...
1 Reactions
1 Replies
374 Views
Msimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Songea, Wakili Bashir Mhoja, ametoa taarifa kuhusu maandalizi ya uchaguzi ulio karibu kufanyika. Akizungumza na waandishi wa habari, Mhoja amesema kuwa hali ya...
0 Reactions
0 Replies
274 Views
Wakuu, Justification ya kuzuia baadhi ya mikutano ya kisiasa na kampeni za vyama fulani ileee inawekwa kwenye mstari! Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza limevionya vyama vya siasa na kuvitaka...
1 Reactions
3 Replies
546 Views
Kura yako ni muhimu, jitokeze kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 27.11.2024, vituo vitafunguliwa saa mbili asubuhi na kufungwa saa kumi jioni.
0 Reactions
3 Replies
401 Views
Back
Top Bottom