Makamu Mwenyekiti wa ACT - Wazalendo isihaka mchinjita anasema iwapo watashinda kiti cha Urais, jambo la kwanza hawataligeuza Eneo la Tanganyika Packers Kawe kuwa eneo la Mtume Mwamposa kuombea...
Wakuu, Nipo nafatilia Hotuba ya Luhaga Mpina Mkutano mbele ya Maelfu ya Wanakisesa .
Huyu MPINA anapendwa sana ,umati mkubwa ulojaa hapa umethibitisha ubora wake wa kiutendaji, hakika watu...
Alichosema Mwanasheria mkuu wa serikali juu ya No reform no election sio sahihi.
Sababu mabadiliko ya sheria za uchaguzi yaliyofanyika 2024 hayajakidhi vigezo vya kuwa na tume huru ya uchaguzi...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameanza rasmi kampeni ya kufungua barabara za mitaa kwa mtindo wa kitongoji kwa kitongoji, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha miundombinu na kurahisisha...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameishukuru Serikali kwa kutoa vivuko vinne vitakavyotoa huduma za usafiri kwa wananchi wa Buchosa
Kauli hiyo ameitoa alipokuwa akizungumza na wananchi wa kata...
Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa awasilisha ripoti maalumu ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM kwa miaka mitano jimbo la Mkoani Pemba
Akiongea na Viongozi pamoja na wanachama...
Hivi Samia Hana ata aibu, yaani nchi iteketeze sh 1 trillion afu contenders wake ni Rungwe,Dovutwa,na Lyemba.
Afu atatangazwa Kwa ushindi wa 98% na yeye kuchekelea.
Waangalizi wa kimataifa...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametimiza ahadi yake ya kufunga taa za barabarani, hatua itakayowasaidia wananchi kuendesha shughuli za kiuchumi na kibiashara hata nyakati za usiku.
Ufungaji wa...
Na Mwandishi Wetu,
Kahe
Wazee wa mila wa kabila la Wakahe na Wamaasai kutoka Kata ya Kahe Magharibi, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kijiji cha Ngasini, Mhe. Goodluck Meshack Mlay, pamoja na wazee...
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa kupitia chama cha ACT Wazalendo, Janeth Rithe, ametaka Wanawake nchini kutomchagua tena Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi ujao, akidai kuwa kiongozi...
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimetangaza kuwa kitaanza oparesheni maalum ijulikanayo kama C4C Tusonge Mbele kuanzia Mei 30, 2025 jijini Mwanza, kwa lengo la kuwafikia wananchi wa mikoa...
Dua ya Sheikh wa Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke mbele ya Rais Samia
"Nchi yetu ina utamaduni wake ina culture yake, ina aina ya maisha yake. Tunakuomba vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi mwaka...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amesema anashangazwa na kauli ya “No reforms, no election” ikizingatiwa kuwa mabadiliko ya kisheria yaliyopendekezwa na vyama vya siasa tayari...
Watanzania wamehimizwa kuhakikisha wanashiriki uchaguzi Mkuu ujao ifikapo mwaka 2025 Oktoba huku wakiaswa kushiriki uchaguzi huo kwa amani na kutoiga mataifa mengine ambayo yanaingia kwenye vurugu...
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Ritte ametoa wito kwa wanawake kuungana na chama cha ACT Wazalendo ili kuitoa CCM madarakani kwa kile alichodai kuwa baadhi ya matukio...
Katika hali isiyo ya kawaida mahakamani, leo Juni 16,2025 Hakimu alitangulia kuingia ukumbini kabla ya mtuhumiwa, Mbunge wa zamani na Mwanasheria, Tundu Lissu. Mara baada ya Hakimu kuingia...
Akizungumza katika uchambuzi wa Bajeti Kuu ya Serikali 2025-2026 uliofanywa na ACT Wazalendo, Mwenyekiti wa chama hicho Dorothy Semu amesema,
"Kwa mwaka mwengine tena tunaenda kwenye uchaguzi...
Naibu Spika na Mbunge wa Ilala (CCM), Mussa Zungu, amewaaga wabunge na watumishi wa Bunge leo Ijumaa, Juni 20, 2025, akiwahimiza kuwa na ushupavu na kuzingatia mambo matano muhimu...
Shangwe Ayo, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), ametangaza kuwa...
ACT WAZALENDO YAPINGA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA UCHAGUZI MKUU
Chama cha ACT Wazalendo kinapenda kuwajulisha wananchi wote wa Tanzania kuwa katika muktadha wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.