Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika Ulimwengu wa Roho hakunaga jambo Dogo Waislamu husema Mtu akifa basi hunenwa Mema yake na yale mabaya huachiwa yeye mwenyewe na Mungu wa mbinguni Uzi huu si kwa ajili ya hawa Watumbuliwa...
28 Reactions
65 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa kuwa Mwakani ni uchaguzi Mkuu wa udiwani ,ubunge na Urais. Na kwa kuwa Fomu ni moja tu ya Urais ndani ya CCM kwa ajili na maalumu kwa Mama yetu mpendwa na Jemedari...
2 Reactions
115 Replies
4K Views
MBUNGE OLIVER SEMUGURUKA: WANAWAKE CHUKUENI FOMU MGOMBEE SERIKALI ZA MITAA Kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajia kufanyika mwezi Novemba mwaka huu, Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa...
0 Reactions
0 Replies
353 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika leo 22/07/2024 amezindua Mafunzo ya mapitio na tathmini ya sera ya Jinsia, Walemavu na ushirikishwaji wa Wanawake, Washa...
3 Reactions
5 Replies
501 Views
NI wazi kuwa hawa vijana wamekuwa wakitazamwa kwa makini kabisa na kiongozi wa nchi jinsi wanavyofanya kazi tangu awateue kumsaidia kazi amekusanya ushahidi wote juu ya utendaji wao, haya...
1 Reactions
4 Replies
513 Views
Kuelekea Uchaguzi mkuu 2025 Prof Kitila Mkumbo ameweka wazi kabisa Boniface Jacob wa Chadema aendelee kuuza Mayai swala la Ubunge pale Ubungo asahau kabisa Majibishano yao wameyafanya Ukurasani X...
3 Reactions
7 Replies
490 Views
Mambo ambayo hayajafanyiwa kazi katika ilani ya CCM ya miaka 2020 hadi 2025. Ni muhimu ili ilani mpya ya 2025 hadi 2030 iweze kutekelezwa vizuri. Herehapa mapendekezo yangu: 1. Ujenzi wa...
0 Reactions
0 Replies
615 Views
Tukumbushane zile kelele zenu za DP world ziliishia wapi? Na zile kelele za report ya CAG ziliishia wapi? Kwa ufupi watanzania wengi ni wasahaulifu na bendera fuata upepo, Ni vyema vijana...
3 Reactions
3 Replies
853 Views
Ikumbukwe kuwa wakati hayati JPM alipokuwa anazindua daraja la Kijazi Ubungo aliahidi kuanza na ujenzi wa barabara za Kimara lakini mpaka sasa hakuna barabara moja iliyotengenezwa. Ukienda Temeke...
1 Reactions
6 Replies
784 Views
Nape akiwa Waziri na akiwa amevaa kichwani kofia ya CCM amesema anataka kumfundisha Byabatto namna ya kushinda uchaguzi hatakama hapendi na wananchi wake. Amezitaja mbinu anazozifahamu na...
0 Reactions
0 Replies
336 Views
Wakuu, Tumeona mkeka wa mama, kamla kichwa Byabato, Makamba na Nape, huku baadhi ya watu wakikisia ni matukio yaliyotokea hivi karibuni ndio yamewaondoa kwenye nafasi walizokuwa wakikalia. Pia...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwa maoni yangu binafsi ninavyoona, Uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 unapokaribia, hali ya kisiasa nchini Tanzania inazidi kuwa na changamoto. Ninavyo ona ni kama vile...
1 Reactions
3 Replies
481 Views
Vijana wa upinzani Tanzania hasa kupitia vyama vikubwa vya chadema na act wazalendo ,wamejikita twita! Wanadhani kwa mabishano na kelele za twita wanaweza kuleta mageuzi yoyote katika nchi hii ...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Kama unaamini kuwa CHADMA ni Chama cha Siasa basi karibu umsikilize mchungaji Msigwa atakavyokuprove wrong. Mchungaji Msigwa anaijua CHADEMA nje ndani na ametuomba wana CCM tuamini anayosema kwa...
5 Reactions
85 Replies
5K Views
* Mama akikuteua acha kauli na maneno ya dhihaka dhidi ya watanzania * Uchaguzi uliisha kwa kuacha makovu na majeraha kwa baadhi ya watanzania Tutashinda kwa mkono au boksi haifai Vijana...
0 Reactions
3 Replies
362 Views
Tofauti ya binadamu na wanyama, ipo kwenye ustaarabu, lakini kwenye mambo mengine mengi, tunashabihiana. Wanyama wanakula kama tunavyokula wanadamu. Wanyama wanajamihiana, kama ilivyo kwa...
1 Reactions
0 Replies
393 Views
Nape na makamba kurudi CCM kuchukua Nafasi za uenes na ukatibu. Baada ya Tenguzi katika nafasi zao za Uwaziri January Makamba na mwenzake Nape watapangiwa majukumu katika Chama kutokana na uzoefu...
0 Reactions
6 Replies
951 Views
Pamoja na Nape kuwa bomu bingwa wa uropokaji, Chama changu kitukufu tuwe macho na Peter Msigwa staili yake ya kuzungumza bila kupima kauli zake inaweza kukiponza chama. Ana speed kali juzi Kawe...
2 Reactions
5 Replies
710 Views
Anapoikosoa chadema chama kilichompa utajiri alionao Leo anakosea sana. Hata CCM lazima wawe makini na mtu kama Msigwa. Iko siku atayachukua ya madhaifu ya CCM na kuyapeleka kwingine maana...
10 Reactions
65 Replies
3K Views
MWANASIASA mkongwe na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa amesema anamuunga mkono Mwenyekiti Chadema, Freeman Mbowe kuhusu uamuzi wa kutangaza kushiriki katika chaguzi zijazo hata...
3 Reactions
8 Replies
845 Views
Back
Top Bottom