Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, inayoendelea katika mikoa ya Kusini, akianzia Mtwara na sasa yuko Lindi, imewahamisha viongozi waandamizi wa...
2 Reactions
11 Replies
872 Views
Ni dhahiri sasa mama kaamua kufanya na kudhihirisha ubora wake, japo kuwa baadhi ya watendaji wake hawaendi kama anavyotaka yeye, na wao bila ya mijeredi na kushurutishwa, hawafanyi kazi kabisaa...
1 Reactions
6 Replies
850 Views
Na Mwandishi wetu WAKAZI wa Mchinga mkoani Lindi wamewaonya viongozi wa ACT Wazalendo,iwapo watamchagua Hamidu Bobali kuwa mgombea Ubunge 2025, katika jimbo hilo, kuwa wataelekeza nguvu kwa...
2 Reactions
3 Replies
715 Views
Nimekumbuka kuna siku tuliambiwa kuna mawaziri wanalipa watu wamtukane Mama mitandaoni. Wakati ule upepo wa matusi ulivuma sana kwa muda mfupi kisha ukazima Naamini mfumo ulifanyia kazi maelekezo...
0 Reactions
3 Replies
908 Views
Katika hali ya kushangaza, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amewaamuru madiwani wa Jimbo la Iramba ambao amewaweka yeye madarakani wasitishe uamuzi wa kujenga shule eneo la Ruruma kata ya kiomboi...
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Mzee Kinana Salaam, shalom!! Ndani ya chama Cha MAPINDUZI CCM, umewafundisha siasa vijana wengi sana, inawezekana wamefaulu machache kati ya mengi uliyowafundisha, Somo linalohusu uwajibikaji...
2 Reactions
8 Replies
925 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na swaiba wake Godbless Lema wameamua kumtukana hayati Magufuli kwenye ziara zao mikoa ya Tanga, Arusha na Kilimanjaro huku wakimwaga sumu hatari ya...
8 Reactions
101 Replies
13K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi leo alasiri anatarajiwa kuzungumza na wananchi wa Lindi kwenye mkutano mkubwa wa hadhara utakaofanyika Uwanja wa Mpilipili, Mjini...
0 Reactions
1 Replies
593 Views
Joto la siasa limezidi kupanda Mkoani Kilimanjaro hususani Jimbo la Moshi Mjini ambapo inasemekana baadhi ya Viongozi wa CCM Mkoani hapo wameanza harakati za kuusaka Ubunge kupitia makundi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mdau wa Jamiiforums mwanasiasa na mwandishi bora wa Vitabu Barani Afrika 2023 ambae pia anawania tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Barani Afrika kwa 2024, bwana Yericko Nyerere ameibuka kidedea...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Niimefurahi kujiuzulu Kinana nafasi yake ndani ya chama ili kutunza heshima yake. Kwa nini nimefurahi kwa sababu ni mtu namfahamu tangu tuko vijana shule. Ni mtu mwema na rafiki kwa kila mtu na...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Hatukutishi ila ni angalizo tu. Baada ya Samia atakuja Rais mkristo toka bara,2030-2040. Baada ya hapo 2040-2050 ni kijana wetu Ridhwani Kikwete Pengine unaweza kuona ni mbali sana la hasha, ni...
4 Reactions
9 Replies
790 Views
Miaka ya nyuma kulikuwa na wanaccm ambao walikuwa na ushawishi mkubwa ndani na nje ya ccm. Walikuwa ni jeshi la mtu mmoja. Walikuwa wakitishia kuhamia upinzani ccm wanatetemeka. Mfano Lowasa...
1 Reactions
7 Replies
458 Views
Katika hali isiyotarajiwa aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam kupitia Chadema Mstahiki Isaya Mwita amebwagwa vibaya sana katika Uchagizi wa Chama hicho Wilayani Kigamboni. Meya huyo...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Mwakani wagombea Urais wanatakiwa kufanyiwa mdahalo kama huu ulioendesha leo na Star Tv. Pia soma: Mdahalo wa Wagombea Urais Chama cha Mawakili Tanzania Bara (TLS) mwaka 2024 Kupitia...
14 Reactions
59 Replies
2K Views
CHAGUENI CHAMA CHA MAPINDUZI KWANI NDICHO CHENYE ILANI BORA INAYOTEKELEZEKA - BALOZI NCHIMBI. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akizungumza kwenye mkutano...
0 Reactions
14 Replies
696 Views
PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
9 Reactions
43 Replies
4K Views
Ki ukweli kutokana na uhuni unaofanyika kwenye uchaguzi mkuu hasa wizi wa kura nimeapa kutokuja kupiga kura tena. Mimi nimpenda demokrasia kwamba napenda nione nchi hii inakuwa na utaratibu mzuri...
1 Reactions
7 Replies
585 Views
Watu wa Mwambao wana utamaduni wao unayotokana na dini yao. Musiwapangie sawa na utamaduni wenu. Utafiti nilioufanya kwa watu wa mwambao huwaambii kitu, weshamchagua Samia kura ya Urais. Yaani...
1 Reactions
33 Replies
1K Views
27 July 2024 Ubaruku, Mbarali Tanzania Mbunge : Chama dola kongwe kina michezo michafu ndani ya CCM , awekwa bayana .... Modestus Dickson Kilufi fomu za ugombea ubunge ziliporwa na mgombea...
4 Reactions
4 Replies
926 Views
Back
Top Bottom