Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ushindi wa Mwabukusi huko Dodoma kwa hakika utaleta mambo mengi ya kufikiri. Moja, TLS sasa ina vijana na wamemchagua kijana mwenzao. Pili, uchaguzi huu umefuatiliwa kwa makini karibu sehemu...
15 Reactions
62 Replies
3K Views
HAPPY SIMBA DAY Mnajua mimi sio mwanasimba; Lakini buana, 1) Simba wameasisi hii mambo ya Matamasha ya Vilabu- hili ni jambo zuri. 2) Wameset viwango vya mechi na mafanikio Kimataifa na Mimi ni...
0 Reactions
0 Replies
399 Views
Huu ushindi utarejesha imani kwa wananchi kuwa CHADEMA sio Saccos? Kwamba Mwabukusi atasaidia kufuta upigaji wa Mbowe wa michango ya Wabunge na wanachama alizokwapua (Shahidi ni Msigwa) Kwamba...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezungumza na wananchi wa Dumila mkoani Morogoro na kuwaunga kwa kununua nyanya, bamia, tangawizi, mahindi yeboyebo na vitu vingine vilivyokuwa vikiuzwa na...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwako mbunge wa Bumbuli January Makamba, 1. Uliwaahidi kuwatengenezea uwanja pale Toghotwe! Ukaishia kuuchimba uwanja ule bila kuumalizia hilo haliwezi kukuacha salama. Ni bora ungeuacha...
11 Reactions
34 Replies
3K Views
Ilisemwa mambo ya Samia hayataenda asipokuwa na hao wawili. Ajabu leo hii mambo ya Samia yapo muswano. Ilisemwa na kudaiwa jamaa hao wasioridhika na kukubaliana na hali halisi eti...
3 Reactions
6 Replies
840 Views
Pamekuwa na hekaheka ya Wazazi wa Wanafunzi wa Shule za Msingi kuitwa shuleni kupokea zawadi za magodoro madogo ya Watoto Tunamshukuru Mungu wa mbinguni kwa hilo na tungependa tu kujua zawadi...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Seif Swai ameendelea na Ziara yake mkoani Arusha Kuhamasisha watu kujitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura na kutembelea...
0 Reactions
4 Replies
524 Views
Sasa Ndio Chadema wamegundua uRais ni Taasisi tofauti kabisa na Nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Siasa kama alivyo mh Mbowe hapo Chadema HQ Mikocheni Mpendwa Wetu Mh Rais Samia ameamua kumuenzi...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Kwa Mbungi linaloendelea ndani ya CCM sijui kama hakutakua na kumalizana Juu kwa Juu inaonekana huku ambako ni makazi mapya ya Bwana Msigwa kunawaka moto kuliko Kule alikotoka bwana msigwa. Hali...
10 Reactions
59 Replies
4K Views
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewaomba Wakazi wa Ukonga kumshika Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia ni Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Jerry Silaa kwakuwa ni Waziri...
0 Reactions
1 Replies
573 Views
Ni dhahiri kwamba Emmanuel Nchimbi hana ushawishi wowote wa kisiasa ndani na nje ya ccm, hana ushawishi Jukwaani wala ofisini (Haifahamiki waliomteua walilenga nini), Matokeo yake ndio haya ...
14 Reactions
77 Replies
5K Views
Sasa hivi CCM inazungumzwa kila mahali kwenye mitandao, mashambani, maofisini na hata kwenye mikutano ya wapinzani wenyewe wanaizungumza CCM. KATIKA hili wacha tukipongeze kitengo cha propaganda...
0 Reactions
17 Replies
724 Views
Taarifa yake hii hapa === “Niliahidi kwenda Mahakamani, naomba kutoa taarifa kwamba ndani ya Saa 24 nitakuwa nimeshafungua kesi zote zinazohitajika kama ifuatavyo, kesi dhidi ya kupingwa...
21 Reactions
126 Replies
7K Views
Katibu Mkuu wa UVCCM mh Jokate amesema Bodaboda Ndio Injini ya Ukuaji Uchumi wa taifa letu Ndio Sababu Serikali ya Awamu ya 6 ya Rais Samia Inawapenda, amesisitiza Boss huyo wa UVCCM --- Katibu...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Nilishuhudia mdahalo wa wagombea Urais wa TLS, uliofanyika katika kituo Cha luninga Cha Star TV, ukiongozwa na mtangazaji wao mahiri, Chifu Odemba, ulioendeshwa Kwa takribani masaa mawili na nusu...
6 Reactions
74 Replies
3K Views
Habairini za kazi ndugu Watanzania, Ni maoni au mapendekezo yangu na baadhi ya Watanzania wachache pia ambao tupo advanced kimawazo, hakika ningefurahi zaidi Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka 2025...
3 Reactions
4 Replies
465 Views
CCM wakiongozwa na Mwenyekiti Mama Samia wameanza kukonga mioyo ya wafuasi wa hayati Magufuli kundi ambalo ni kundi kubwa kuliko yote ndani ya CCM na nje ya CCM - mitaani. Ushauri kama Upinzani...
2 Reactions
17 Replies
963 Views
Chadema Kanda ya Nyasa ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoa wa Njombe, Rose Mayemba, Inaingia Jimbo la Ileje kwa kimbunga cha Mikutano ya hadhara mfululizo yenye lengo la kukata mnyororo...
2 Reactions
6 Replies
731 Views
Katika Mkutano wake na Mchifu leo Rais Samia atoa wito kwa machifu wawaelimishe Wanasiaa kuwa vyeo havipitani kwa kuua watu wala kutumia viongo vyao. Akiongeza kuwa uonozi unatoka kwa Mungu...
4 Reactions
85 Replies
5K Views
Back
Top Bottom