Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna wale wanasema Samia hafanyi chochote bora Chadema lakini Msigwa kawaproove wrong na kuhamia CCM kumaanisha Samia is an icon of a nation in all aspects. Kuna wale wanasema Samia anafanya...
4 Reactions
20 Replies
728 Views
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa kuna wanasiasa malaya, na akaongeza kuwa wanasiasa malaya wana bei. Ukiifikia bei yake, ananunulika. Ukweli huu wa mwalimu unaishi mpaka leo. Tuna wanasiasa...
13 Reactions
26 Replies
1K Views
Kila siku kumbuka kuwa mfuasi binafsi wa Rais. Rais hawezi kukusaliti. Rais ni nchi. Nchi ni Rais. Urais ndio cheo cha juu cha kisiasa kote Duniani. Hakuna zaidi ya hapo. Chama cha Rais ni nchi...
0 Reactions
8 Replies
698 Views
Chadema ikiongozwa na Freeman Mbowe imeingia Kwa Msisi, eneo ambalo viongozi wa ccm wanaogopa kwenda kutokana na dhuluma walizowafanyia wananchi wa huko kwa muda mrefu (wanaogopa kulogwa)...
2 Reactions
9 Replies
565 Views
Doyo Hassan Doyo ambaye alikuwa akiwania nafasi ya kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) amesema amekata rufaa kuping matokeo ya uchaguzi wa nafasi hiyo akidai kuna...
0 Reactions
3 Replies
490 Views
Nafasi ya Mwenyekiti kwamba inaitwa Mwenyekiti wa maisha hata makamu anachagua yeye yale mnayoyaona ni kiini macho kuwa kuna DEMOKRASIA. Na kwamba ni kijana wa CCM, yale makelele mkiona anaanza...
5 Reactions
38 Replies
1K Views
Tupazie sauti Sisi wakazi wa Kigamboni hali ya karudi majumbani kwetu ni mbaya Sana Sasa tunalazimika kuvuka Kwa mitumbwi ya Kasia bila life jacket na Hali ya hewa ya mvua Boti za Zanzibar na...
10 Reactions
79 Replies
4K Views
Neno "MAMA" dunia nzima linavuma. Lissu anatembea nchi nzima akitukana "mama" kqtikati ya nchi yenye nyimbo za kumsifu mama. Katikati ya nchi ya watu wanasema waiolelewa na single mother baada ya...
1 Reactions
31 Replies
1K Views
Nilifika sehem moja kinyerezi kwa casto. Nilishangaa maji yanauzwa wakati maeneo mengine hayatoki. Ni hujuma. Na Nadhani sio pia inahusika. Ili mama asipite 2025. PIA SOMA - Dar: Waziri wa Maji...
0 Reactions
0 Replies
412 Views
Mkuu wa shule ya Zanaki ( mwenye hijabu katikati) akipokea vifaa vya tehama Shule kongwe nchini Tanzania, Sekondari ya Zanaki, iliyoko jijini Dar es Salaam, hatimaye imefanikiwa kujiunga katika...
0 Reactions
1 Replies
821 Views
Je, kuendelea kuamini itikadi za kisiasa bado ni relevant kwa karne hii ya siasa za kisasa zaidi? Hapana. Nini kifanyike? Achana na itikadi za kisiasa. Baki kuwa mfuasi binafsi wa Rais. Kila...
1 Reactions
17 Replies
673 Views
Nimetafakari kauli za Msigwa baada ya kuhamia CCM anaonekana kujivua nguo na CCM walivyo wanjanja wanamwachia abwabwaje wao wanamsikiliza tu. Bora anyamaze tu,kwani mbona awali hakuyasema yote...
2 Reactions
14 Replies
606 Views
1. Sijamsikia akisema lolote kuhusiana na kijana kutekwa, kupigwa risasi, na kutupwa Katavi National Park. Labda hajasikia au imekumbusha machungu ambayo hajapata nguvu ya kuzungumza hadi akae...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Huo ndio ukweli baada ya Shujaa Magufuli kushughulikia Chadema katika Mikoa ya DSM, Mwanza, Kagera, Kilimanjaro, Manyara, Morogoro na Arusha nguvu ya Chadema ikabakia Mara, Mbeya na kwetu Iringa...
1 Reactions
12 Replies
537 Views
Wanaharakati na marafiki wa kijana Japhet Matarra, anayetumikia kifungo cha miaka mitano gerezani kwa makosa ya mtandao kupitia mtandao wa X, wamechangisha Sh8.5 milioni kwa ajili kumtoa gerezani...
0 Reactions
0 Replies
526 Views
Habari wana JF. Leo nataka niseme, hali yakuendekeza njaa kwenye kila kitu imesababisha kutengeneza mifumo mibovu inayokuja kuleta waropokaji na watu wa deals wengi kuliko watendaji wa maendeleo...
2 Reactions
16 Replies
627 Views
Darwin proposed that species can change over time, that new species come from pre-existing species, and that all species share a common ancestor. In this model, each species has its own unique set...
4 Reactions
66 Replies
2K Views
Nawasalimu ndugu zangu wapena maendeleo. Hivi karibuni serikali imeamua kurudisha kodi ya MAJENGO kwa halmashauri kwa kigezo cha kuziongezea halmashauri mapato. Ila kwangu mimi Kodi kurudisha...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Iko wapi Rasimu ya katiba ya walioba? Mbona haiongelewi popote wakati iligharimu mabilioni ya pesa za watanzania pamoja na muda wa watanzania Nani awajibike juu ya Hilo? Na Nina wa...
1 Reactions
0 Replies
349 Views
Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote. Hivyo ataendelea kukitumikia...
11 Reactions
85 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…