Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akitoa maoni yake na uchambuzi wa baadhi ya mambo yaliopo kwenye Vyombo vya Habari nchi na uhuru wake Pascal Mayalla amesema Waandishi wa Habari na Vyombo vya Habari hawatimizi wajibu wao...
6 Reactions
12 Replies
480 Views
“Tunajiita tuna uhuru wa habari, lakini tuna tatizo linaloitwa ‘media oga’, yaani media zetu ni waoga. Ni waoga kutangaza jambo wanapohisi kwamba serikali haitafurahia. Kwa maana hiyo, karibu...
5 Reactions
4 Replies
296 Views
Tanzania hawajawahi kufa kwa mkupuo kama vifo vya watoto wetu 29.10.2025. Ule haukuwa uchaguzi bali kutoa kafara watoto ili watu wakalie viti vya madaraka Kuna watu wanadhani hii ishu ya tarehe...
18 Reactions
26 Replies
761 Views
Mzalendo Alphonce Patrick Muyinga amewataka Watanzania kuwa makini na kile alichokiita pishi jipya la propaganda za hisia kuhusu Tume ya Uchaguzi na matukio yaliyotokea Oktoba 29. Muyinga amesema...
5 Reactions
18 Replies
329 Views
Akiwasilisha maadhimio ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Leo Septemba 19, 2026, Dkt. Rugemeleza Nshala, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA amesema; “Kamati Kuu inasema kile...
12 Reactions
29 Replies
441 Views
Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo. Leo, nimeizungumzia Ripoti ya Jaji Chande kwa kuwa mtu wa shukrani, kushukuru kwa hiki kidogo ili tupatiwe kikubwa...
7 Reactions
41 Replies
995 Views
Raisi wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi amesema katika Uchaguzi uliopita tusisahau kuangalia ndani ya vyama. Vyama vya siasa vimefanya nini? Ukweli ni kwamba mambo...
6 Reactions
7 Replies
209 Views
Mbunge wa Viti Maalum, Rahma Kisuo, akizungumza kwenye kipindi cha One on One cha Wasafi TV amesema wakati alipogombea ubunge, hakuombwa wala kutoa chochote ili kupata nafasi hiyo, bali...
1 Reactions
6 Replies
142 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche amesema kuwa iwapo ananufaika kisiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kuwa gerezani, basi mamlaka zinazomshikilia zimwachie ili manufaa hayo...
12 Reactions
12 Replies
451 Views
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Morogoro limeunga mkono agizo la Serikali ya Awamu ya Sita kutaka vyombo vya ulinzi na usalama kuchunguza vifo vilivyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu...
1 Reactions
13 Replies
454 Views
Odemba: Tarehe 29 Oktoba mwaka 2025 Tanzania ilifanya uchaguzi, uchaguzi ambao uligubikwa na fujo, uharibifu wa mali na mauaji ya raia ambayo haijawahi kutokea katika historia ya taifa hili tangu...
14 Reactions
85 Replies
1K Views
Katika mkutano wa hadhara wa Chama cha ACT Wazalendo wa Septemba 11, 2026, uliofanyika Kata ya Dutwa, Jimbo la Bariadi mkoani Simiyu, mwananchi Fulani amesimama na kumhoji Katibu Mkuu wa chama...
1 Reactions
4 Replies
191 Views
Sheikh Summercliff amewakosoa baadhi ya viongozi wa dini waliojitokeza na kutoa wito wa kuombea taifa kutokana na changamoto ya El Niño, akisema maombi hayo yanapaswa kuanza kwa kutubu na...
4 Reactions
14 Replies
211 Views
Kama unavyomsikia Bibi wa Taifa kwenye clip hapo chini, anasema maiti za wananchi waliouliwa wakati wa sekeseke la MO29 na kisha miili yao kuchukuliwa na kupelekwa kusikojulikana, ziliteketezwa...
9 Reactions
115 Replies
3K Views
Mwenyezi Mungu aiepushe nchi yetu na mabaya yote yaliyopangwa na hawa vijana. Nchi yetu imeshaona maendelea yanayoweza kupatikana uongozi ukiwa makini kama uongozi wa Magufuli,na uongozi huu wa...
5 Reactions
32 Replies
425 Views
Kuna maswali ambayo lazima tuwaulize Serikali, upinzani, wanaharakati, wasomi na viongozi wa kiraia kuhusu yaliyotokea Oktoba 29, 2025. Kuna jambo moja nataka nilianze kwa kulisema wazi: Mimi...
1 Reactions
10 Replies
166 Views
  • Featured
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othuman Masoud, amesema uchaguzi wa Zanzibar haukuwa “smooth” kama baadhi ya watu wanavyodhani, akieleza kuwa kulikuwa na matukio mbalimbali ambayo chama...
3 Reactions
10 Replies
792 Views
Akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo Septemba 08, 2026, mwanachama wa chama cha CHAUMMA na Katibu wa zamani wa chama hicho, Salum Mwalimu ametoa wito kwa wadau...
1 Reactions
9 Replies
230 Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Stephen Wasira, amesema kuwa dhana ya kuziita kesi zilizopo Mahakamani "kesi za kisiasa" si sahihi, kwani Mahakama zinasimamia sheria na kuwatendea haki wote...
1 Reactions
11 Replies
266 Views
Back
Top Bottom