Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Barua ya Wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Na Elia Wilinasi Sikanyika Mheshimiwa Rais, Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, napenda kuchukua fursa hii...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika mjadala uliofanyika katika mtandao wa clubhouse, Lissu alipata fursa ya kuongea na watanzania juu ya mambo mbalimbali ya kisiasa ya ndani ya chama chake na nje ya chama chake. Kijana...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Nimeona leo TRA wamekuwa wafhamini wa ndondo cup.. watasema sijui wanataka kujitangaza? TRA wanafanya biashara gani? Pesa za walipa kodi ndio wanatumia kwa upuuzi huu? Sijasema ndondo cup ki...
2 Reactions
16 Replies
775 Views
1. Wamasai waondolewe ili wawekezaji wajenge hoteli za kitalii. 2. Wamasai waondolewe ili waarabu wapewe vitalu vya uwindaji na wamilikisshwe hayo maaneo kwa miaka 99. 3. Wamasai wamesaliana...
4 Reactions
9 Replies
770 Views
Kwa hali halisi na mazingira ya sasa ya uelekeo wa upepo wa kisiasa nchini ni dhahiri kwa miaka kumi ijayo, wanawake wana nafasi kubwa mno, hasa kwa nafasi za juu za uongozi wa nchi kisiasa...
0 Reactions
1 Replies
336 Views
Mara kadhaa mnajichukulia sheria mkononi. Ikibidi paundwe mkoa maalum wa Kipolisi ikijumuisha Karatu, Longido, Kiteto, Monduli, Ngorongoro na Chemba.
1 Reactions
1 Replies
260 Views
Ukimpatia Lissu saa moja atatumia dk 45 kumdiss Mwalimu Nyerere kwa maneno makali kadri atakavyoweza. Alipoulizwa na Chief Odemba kwa maoni yake kuwa ipi ilikuwa awamu iliyoongoza kwa ukiukwaji...
8 Reactions
123 Replies
5K Views
Kama kitaandikwa Kitabu cha Maisha ya Shujaa Magufuli basi hayo mambo Mawili nadhani Ndio alipojichanganya. Hili la Viongozi kutoka Mbweni na Escort hadi Posta kiukweli linatusababishia usumbufu...
6 Reactions
6 Replies
637 Views
Marekani yazipa kampuni nchini dola milioni 8.3 SERIKALI ya Marekani kupitia Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la (USAID), imetangaza kuwekeza dola za Marekani milioni 8.3 kwa kampuni tisa za...
0 Reactions
0 Replies
682 Views
Update ya Msiba wa Mwana JF Mwenzetu, William Malecela (Le Mutuz). Kwanza natoa pole sana kwa familia ya Mzee John Malecela kwa msiba mkubwa na mzito wa mtoto wake, William Malecela, kwa jina...
59 Reactions
124 Replies
15K Views
Ukifuatilia historia yao enzi ya mkoloni, ardhi yao ilipunguzwa kwa asilimia 60 kwa upande wa Kenya na Tanzania kupisha makazi ya kudumu na kilimo kwa wazungu na leo ni waarabu. Serikali hii ina...
0 Reactions
3 Replies
496 Views
Wataalam wa mambo ya Bunge, Uwakilishi na Uchaguzi naomba kujua mbunge wa Ngorongoro kwa sasa anawakilisha akina nani Ahsante sana 😂 cc: Pascal Mayalla, The Big Show
0 Reactions
1 Replies
522 Views
Ni angalizo tu maana sisi Wakongwe tulishuhudia mengi wakati wa uanzishaji Vijiji vya Ujamaa Kila Mtu amefinyangwa Kwa udingo wa asili yake na Hapo ndipo ulipo ugomvi wa Israel na Mafala (...
5 Reactions
8 Replies
592 Views
Amboseli inamikikiwa na wamasai na wana hisa pale, the same na Masai Mara ambayo asilimia ya mapato inabakia kwa ajili ya wamasai wa Narok, Kuwahamisha pale ni labda kuazima Mabomu ya Nuclear...
4 Reactions
12 Replies
977 Views
Hii si nchi ya kusadikika uliyoisoma kwenye kitabu cha Hayati Shaban Robert, wala si nchi ya Wagagagigikoko na Mfalme wake Huihui dikiteta aliyepigwa na mgeni Bulicheka na akapoteza ufalme. Hii ni...
4 Reactions
5 Replies
561 Views
Huyu mama RPC Theopista Mallya unashangaa alifikaje kuwa askari afisa mwandamizi polisi. Kama kuna kulalamikiwa sana jeshi la polisi ni aina ya askari auofisa kama huyu. Si tu ameliaibisha Jeshi...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Boss lady atambue, hana uwezo wa kupambana na hila za wafitini wakimwamlia. Kasi yake ya kuongeza u hasama inaendelea kushika kasi kwa mwendo kasi wa ajabu! Kasi yake ya kujiongezea maadui...
0 Reactions
4 Replies
549 Views
Sijui mantiki au logic ya kununua magoli ni ipi, ila ninacho jua kuna makumi kwa maelefu ya Watanzania wanataabika sana mtaani unaweza zania nchi haijapata uhuru, Raia wanaaugulia majumbani hawana...
29 Reactions
106 Replies
3K Views
Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoriki Tanzania Daktari wa Falsafa na Padre ndugu Kitima amesema si haki na ni udhalilishaji wa wazi wanafanyiwa Wamasai wa NGORONGORO kwa kunyimwa haki...
10 Reactions
89 Replies
4K Views
Jana Mchana DW SWAHILI katika Kipindi cha meza ya Duara waliwaalika wanasiasa watatu nchini Tanznaia akiwemo John Pambalu Mwenyekiti wa BAVICHA, Steven Wasira Kada wa CCM, na Abdul Nondo...
11 Reactions
60 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…