Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba, Sheria na Kanuni, miongozo nk, vyama vya siasa vilitakiwa kuwasilisha ratiba zao za kampeni na kule Songwe alikokamatwa Mbowe na genge ratiba ilikuwa...
5 Reactions
52 Replies
3K Views
Nchi yetu ya ajabu sana, iliyojaliwa kuwa na viongozi wa ajabu pia, viongozi wanaobariki maovu alimradi maovu hayo yawe ni dhuluma ya kuwanufaisha CCM. Fikiria, waziri Mchemgerwa ndiye mwenye...
1 Reactions
3 Replies
435 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, kuna njama iliyoidhinishwa ya kutowaapisha Mawakala wa Chadema Nchi nzima. Mpango huu wa kishamba una lengo la kuhakikisha vituo vyote vya kupigia kura...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Wakuu, Tunawalipa CCM kwani wanatudai nini? ==== Mbunge wa Jimbo la Babati mjini Mhe. Paulina Gekul amewataka Wananchi wa Jimbo hilo kuhakikisha wanarudisha shukrani kwa Chama cha Mapinduzi...
0 Reactions
0 Replies
292 Views
Baada ya Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro kumshikilia Gervas Eliewaha Mgonja, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo mkoa wa Kilimanjaro kwa kosa la kutoa kauli za...
0 Reactions
2 Replies
560 Views
Wakuu, Mambo yameendelea kuwa sukari huko Singida kwenye kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa. Lissu akiwa anazungumza leo Singida amesema kuwa CHADEMA itashinda Uchaguzi wa Serikali za...
3 Reactions
10 Replies
696 Views
Ridhiwani Kikwete: Nikiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Cde. Mwinshehe Mlao Tumenadi Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi katika kata ya Bwilingu pamoja na kuendelea kuimarisha Chama kwa kuzindua...
0 Reactions
0 Replies
279 Views
Wakuu, Watanzania wanavipima vyama kwa haki kila inapofika uchaguzi nani katika hawa anaweza kutuongoza vizuri, na ndio maana marafiki zangu katika vyama vya upinzani napenda kuwashauri mara...
1 Reactions
3 Replies
335 Views
Saa chache kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa, vitongoji na vijiji kesho Jumatano tarehe 27 Novemba, 2024 Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe mapema leo Novemba 26, 2024 limefanya...
0 Reactions
8 Replies
667 Views
Zitto Kabwe ameonya vikali dhidi ya yeyote atakayethubutu kubebeshwa kura ya ziada, akisisitiza kwamba matokeo ya kitendo hicho hayapaswi kulaumiwa kwa mtu mwingine, kwani tayari dua imesomwa na...
0 Reactions
6 Replies
634 Views
Wakuu, Siku ya leo wakati wa kufunga kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Emmanuel Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM amegusia kuhusiana tabia ya baadhi ya wagombea kutumia matusi kuwasilisha hoja...
0 Reactions
0 Replies
301 Views
Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini, Mhe. Sebastian Simon Kapufi wakati akiwaombea kura katika Kampeni wagombea wanaotokana na CCM amewashukuru Wananchi wa Mpanda Mjini kwa kuwaamini wagombea wa CCM...
0 Reactions
0 Replies
372 Views
Ukiniuliza mimi ntasema mambo yangu matatu; siyo mageni sana lakini naamini yanaweza kuisadia CHADEMA kujiandaa na uchaguzi mkuu mwakani. Na wewe kama unayakwako yaweke labda katika wastani...
21 Reactions
72 Replies
2K Views
Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Balozi , Dk. Pindi Chana amekinadi Chama cha Mapinduzi huku akiwaomba wananchi kuchagua wagombea wa CCM katika...
0 Reactions
1 Replies
455 Views
*Asema CCM ni Chama Imara WAZIRI MKUU na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Kassim Majaliwa amewataka Wana-Liwale kuwachagua wagombea wote wa Chama cha...
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Waguu Mgombea wa Uenyekiti kupitia Chama cha ACT Wazalendo huko Kigoma amejitangaza kuwa ni mshindi kabla ya Uchaguzi wakati wa kuhitimisha Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (CCM) Mkoa wa Geita , Manjale Magambo amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27 Mwaka huu wanauita ni Uchaguzi maalumu ambao utakwenda...
0 Reactions
6 Replies
504 Views
Wananchi wa jimbo la Lupembe wameeleza utayari wao kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika leo Novemba 27, 2024 Nchi nzima huku wakiweka wazi Matarajio yao kwa viongozi wapya...
0 Reactions
0 Replies
342 Views
Wakuu, https://www.youtube.com/live/qJT6TyKWZeo?si=5cw59AnMyAIstTsK CCM imeweza kuweka wagombea takriban 49,000 katika nafasi mbalimbali za uongozi, hii inamaanisha wanakwenda huku wapinzani...
0 Reactions
0 Replies
450 Views
Back
Top Bottom