Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wanawake (UWT) Taifa, Halima Nassor amechukua fomu kuwania Ubunge Viti Maalumu kundi la...
0 Reactions
5 Replies
859 Views
Pongezi nyingi kwa jeshi la polisi kwa nzuri wanayofanya, hatuna budi kutambua kwamba uhalifu unaozuiliwa na jeshi la polisi ni mkubwa kuliko unaofanyika. kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu...
5 Reactions
53 Replies
4K Views
Emily Noah Sanga amechukua Fomu kugombea Ubunge katika jimbo jipya la Uyole. Itakumbukwa pia Tulia Akson Mbunge wa Mbeya mjini anayemaliza muda wake alitangaza nia ya kugombea ubunge kupitia jimbo...
1 Reactions
1 Replies
549 Views
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na Kada wa muda mrefu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhandisi Dkt. Gwamaka Samwel Mafwenga leo, Jumamosi Juni...
0 Reactions
4 Replies
542 Views
Kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Magambo Samwel amejitosa katika mbio za ubunge wa Jimbo la Kishapu kwa kuchukua fomu leo hii. Magambo amekabidhiwa fomu na Katibu wa CCM wilaya ya...
1 Reactions
2 Replies
515 Views
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tumaini , Richard Kayemba, amechukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM.Z
0 Reactions
1 Replies
335 Views
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Itilima mkoani Simiyu, Njalu D. Silanga amerudisha fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo hilo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Itilima jiioni ya leo June 28...
0 Reactions
1 Replies
582 Views
Mapema leo Abdallah Said Kirungu alifika Ofisi za CCM Wilaya ya Ulanga iliyopo mkoani Morogoro kwa ajili ya kuchukua fomu ya kutia nia ya ubunge katika Jimbo la Ulanga.
0 Reactions
1 Replies
357 Views
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Borondo Zacharia Chacha, amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kigamboni. Akizungumza baada ya kuchukua fomu, Chacha amesema hatua hiyo ni...
0 Reactions
1 Replies
360 Views
Kada wa chama cha mapinduzi (CCM) comrade Evance Emmanuel Kamenge amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Missenyi Kagera. Hatua hiyo inaashiria dhamira yake yakuchangia maendeleo kikamilifu kwa...
0 Reactions
0 Replies
329 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Moshi Vijijini, Yuvenal Shirima, (Kwenye Picha Kulia) amejitokeza rasmi kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika Jimbo la...
0 Reactions
1 Replies
400 Views
Mbunge wa Jimbo la Kalenga Mhe Jackson Kiswaga amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea kwa awamu nyingine ubunge katika jimbo hilo. Mhe Kiswaga amechukua fomu hii leo June 28, 2025 siku moja...
0 Reactions
1 Replies
290 Views
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Catherine Magige amechukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia...
0 Reactions
4 Replies
750 Views
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Lovenes Sarungi, amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana mkoani Tanga, akisisitiza dhamira yake ya kuwatumikia vijana...
0 Reactions
4 Replies
407 Views
Zoezi la uchukuaji fomu za kugombea nafasi za Ubunge limeanza rasmi ambapo leo June 28 watia nia kutoka sehemu mbali mbali katika Jiji la Dar es salaam wamejitokeza kuchukua fomu hizo. ‎ ‎ Siaga...
0 Reactions
1 Replies
461 Views
Leo mitandao yote imezima, CCM imezima takataka zote za uhaini, za no reform no election, hakuna cha Heche wala mamake Heche leo, leo ni mwanzo mwisho CCM. Hivi kwa mziki huu wa watu wenye majina...
0 Reactions
3 Replies
340 Views
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tabora Manispaa Deusdedith Katwale amechukua fomu ya kugombea ubunge Chato Kusini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea...
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Tabora Agrey Mwanri amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi CCM ili kugombea ubunge jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro. Mwanry amechukua...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Jimbo la Kigamboni lililokuwa likishikiliwa na hayati, Dkt. Faustine Ndugulile limeanza kuwaniwa na watia nia wa Chama Cha Mapinduzi ambapo leo hii Juni 28, 2025 Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa...
0 Reactions
1 Replies
391 Views
Mwenyekiti wa Wazee Arusha afunguka kuhusu CHAUMMA nakusema kuwa mwanzo aliwaambia wali[po anza kufanya mikutano yao. Soma ,pia: Baba Bony acharuka: aonya G-55 kwa kupinga msimamo wa 'No Reforms...
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Back
Top Bottom