Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh, Mapadre, Wachungaji, Manabii, Mitume na Watanzania wote, suala la Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi linatuhusu sisi sote. Katiba mpya na Sheria mpya za...
0 Reactions
0 Replies
403 Views
Shangazi la Taifa na Mwanaharakati wa mitandaoni anaeunga mkono Wapinzani bibie Fatuma Karume amehoji Nguvu na ushawishi wa Chadema na Viongozi wake kufuatia Wananchi kuwapuuza kwenye maandamano...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Wakuu, Mbowe amerusha kijembe huko kuwa suala la yeye kugombea haliwahusu watu wa nje, ni kama pilipili tusiyoulia inatuwashia nini? Suala la kugombea chama kitasema agombee au lah. Asema kuna...
16 Reactions
63 Replies
4K Views
Kumekuwa na nadharia nyingi sana kuelekea 2025 ndani ya chama 5 tena, kitaifa katiba ibadilishwe kuwe na tume huru ya uchaguzi tupate mtu kutoka nje ya mfumo wa CCM. Nimekuwa nikizungumza na watu...
12 Reactions
46 Replies
2K Views
Mh. Lissu wewe mwenyewe unaelewa kuwa ukiwa mwenyekiti wa chama inakunyima nafasi ya kuwa mgombea nafasi ya Urais. Wafuasi wengi hawaelewi hilo. Ombi langu kwako, badili upepo wa kisiasa ndani ya...
2 Reactions
8 Replies
747 Views
Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo Taifa, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amesema ACT Wazalendo haitakubali Zanzibar kufanyika kura ya siku mbili. Mheshimiwa Othman, ambaye pia ni Makamu wa Kwanza...
0 Reactions
3 Replies
749 Views
Wakuu, Makubwa! ==== Mkuu wa Wilaya ya Babati, Emmanuela Kaganda ametoa maagizo kwa taasisi zote za serikali ambazo hazijahudhuria kwenye sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania...
1 Reactions
10 Replies
861 Views
Hawa makada wameishia wapi na watakuwa wapi na upande gani kwenye uchakachuaji ujao mwakani?
1 Reactions
9 Replies
715 Views
Wakuu, Inaonekana mambo yanazidi kutokota ndani vya CHADEMA kadri siku zinavyozidi kwenda. Hivi karibuni, Dk. Slaa ameonyesha kukerwa na ukimya wa CHADEMA kuhusu tuhuma za rushwa zilizotolewa...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Uchaguzi umekaribia , ni vyema wagombea wa Upinzani wakawekwa wazi mapema watanzania tuwatathimini na kuwachambua. Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi, yupi unadhani pia anaushawishi?
1 Reactions
15 Replies
904 Views
Jaji Warioba akiongea na waandishi wa habari leo Desemba 4 amesema haya Ukiona mjadala wote uliofanywa tangu 2019 mpaka sasa, na imani iliyokuwapo kwamba uchaguzi wa mwaka huu (2024) hautofanana...
11 Reactions
89 Replies
5K Views
Wakati kwao wewe linaweza kuwa jambo la kawaida kuona Shule zikiwa karibu yako, kwa wakazi wa kata ya Nyamagoma shule ya Sekondari ilikuwa inapatikana umbali wa zaidi ya Kilomita 40 ambazo watoto...
1 Reactions
5 Replies
399 Views
Viongozi na wanachama 6 wa CHADEMA Ngazi ya Kata ya Muganza akiwemo Tumain Petro, Mwenyekiti BAVICHA wa Sasa wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi wakati wa tafrija ya Kusherehekea kukamirika kwa...
2 Reactions
16 Replies
850 Views
Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesisitiza jeshi la polisi kuwa wafanye uchunguzi kufuatia vitendo vya mauaji na utekaji na pale wanapopata taarifa...
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Kwa ufupi, Wanachadema wakati mnaendelea kuugulia maumivu haya ya kupoteza kila kitu lazima muanze kufikiria aina mpya ya siasa ya kufanya baada ya hii ya Mbowe kufeli kabisa. Niwakati Sasa wa...
10 Reactions
125 Replies
5K Views
📍Izigo_Muleba 🗓️Tarehe 07/12/2024 Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Comrade Faris Buruhani, ameongoza uzinduzi na makabidhiano ya nyumba ya Mama Asimwe sambamba na chumba kimoja cha...
0 Reactions
1 Replies
568 Views
Nakumbuka Mzee Tuntemeke Sanga aliporudi nchini kutoka ughaibuni akaulizwa na Mwalimu unataka cheo gani? Akasema Urais. Akapelekwa kizuizini kwao. Mzee Christopher Kasanga Tumbo alipopishana na...
4 Reactions
9 Replies
702 Views
Arusha kumekucha, kuna habari kwamba God bless Lema ameomba kuonana na Rais Samia. Wadau wa mambo wanasema kwamba hii inazua tetesi zaidi kwamba inawezekana ni katika maandalizi ya kujiunga CCM...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanabodi, Baada ya pilikapilika za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeendelea na zoezi imeendelea na mchakato wake wa kuboresha daftari la kudumu la mpiga kura Makamu...
0 Reactions
5 Replies
653 Views
Jeshi la Polisi limezuia mkutano wa hadhara Kilwa Kusini uliokuwa uhutubiwe na Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy. Katazo hili ni mwendelezo tu wa jeshi hilo kukubali Kutumika Kisiasa...
0 Reactions
0 Replies
425 Views
Back
Top Bottom