Kuelekea 2025 LGE2024 Kwa kipigo hiki cha CHADEMA, Mbowe achia chama kwa Heche kubadili kabisa aina ya siasa ya kufanya hiyo yako haina matokeo tena na haiaminiki kwa umma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Bezecky

JF-Expert Member
Apr 28, 2024
256
239
Kwa ufupi,

Wanachadema wakati mnaendelea kuugulia maumivu haya ya kupoteza kila kitu lazima muanze kufikiria aina mpya ya siasa ya kufanya baada ya hii ya Mbowe kufeli kabisa.

Niwakati Sasa wa Heche na Lissu kuchukua njia mpya za kukipeleka chama hicho kwaajili ya 2025 vinginevyo kutakuwa na kilio na kusaga memo.

Mungu ibariki Tanzania,

Toronto-Canada
 
Kwa ufupi,

Wanachadema wakati mnaendelea kuugulia maumivu haya ya kupoteza kila kitu lazima muanze kufikiria aina mpya ya siasa kufanya baada ya hii ya Mbowe kufeli kabisa.

Niwakati Sasa wa Heche na Lissu kuchukua njia mpya za kukipeleka chama hicho kwaajili ya 2025.

Mungu ibariki Tanzania,

Toronto-Canada
Njia ya Mbowe imefeli vipi kabisa?

Amandla...
 
Kwa ufupi,

Wanachadema wakati mnaendelea kuugulia maumivu haya ya kupoteza kila kitu lazima muanze kufikiria aina mpya ya siasa kufanya baada ya hii ya Mbowe kufeli kabisa.

Niwakati Sasa wa Heche na Lissu kuchukua njia mpya za kukipeleka chama hicho kwaajili ya 2025.

Mungu ibariki Tanzania,

Toronto-Canada
mbona wewe huna faida kwa wanaokuzaa na unaitwa mtoto wao na hawajakukana ...next time andika sense na siyo rubbish!
 
Kwa ufupi,

Wanachadema wakati mnaendelea kuugulia maumivu haya ya kupoteza kila kitu lazima muanze kufikiria aina mpya ya siasa kufanya baada ya hii ya Mbowe kufeli kabisa.

Niwakati Sasa wa Heche na Lissu kuchukua njia mpya za kukipeleka chama hicho kwaajili ya 2025.

Mungu ibariki Tanzania,

Toronto-Canada
Mbowe bado anahitajika Chadema kwa usalama na uhai wake. Mawakala wa CCM ndio wanataka Mbowe aondoke, asiondoke abaki hadi demokrasia itengemae nchini.
 
Kwa ufupi,

Wanachadema wakati mnaendelea kuugulia maumivu haya ya kupoteza kila kitu lazima muanze kufikiria aina mpya ya siasa ya kufanya baada ya hii ya Mbowe kufeli kabisa.

Niwakati Sasa wa Heche na Lissu kuchukua njia mpya za kukipeleka chama hicho kwaajili ya 2025 vinginevyo kutakuwa na kilio na kusaga memo.

Mungu ibariki Tanzania,

Toronto-Canada
Katiba mpya bora ni muhimu ili tuwe na chaguzi huru na haki kweri kweri !
Au nasema uongo ndugu zanguni ???!!
 
Ukitaka uonekane huna akili na mazombi ya Mbowe, wewe sema Mbowe atoke pale kwenye uenyekiti, mimi naungana na wadau wengine muda umefika Mbowe kupisha akili mpya
Uzuri wa Mbowe ni kuwa ana ruhusu mawazo mbadala. Lissu anasema wazi kuwa kuna maamuzi alikuwa haku alianza nayo na hamchukulii hatua. Juzi wakina Lema wametofautiana Arusha, akasema ndio demokrasia. Msigwa alitofautiana wazi wazi na wenzake kwenye suala la Ngorongoro na hakufukuzwa. Naamini baada ya uchaguzi watakaa wote na kutathmini matokeo na kupanga nini cha kufanya. Kwa kiasi kikubwa uchaguzi umeonyesha jinsi dhana ya uchaguzi wa haki ilivyokuwa bado ni ndoto.

Usitegemee lolote kwa akili ile ile ya Mbowe, ni muda muafaka kuachia madaraka
 
Back
Top Bottom