Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya wilaya ya Arusha Ndg. John Kayombo amesema mvutano uliopo miongoni mwao na Wanachama na Viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa...
0 Reactions
0 Replies
423 Views
Kesho, tarehe 27 Novemba 2024, ni siku muhimu kwa Watanzania kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Hii ni fursa ya kipekee kwa wananchi waliojiandikisha kutumia haki yao ya kidemokrasia...
2 Reactions
5 Replies
520 Views
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wametakiwa kutojihusisha vitendo vya Uvunjifu wa amani katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na badala yake Wajitokeze kupiga kura kwa kuwachangua viongozi wa...
1 Reactions
0 Replies
255 Views
Aliyekuwa mgombea wa Mtaa wa Viwandani kata ya Unga LTD Jijini Arusha kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Jumatano...
0 Reactions
2 Replies
407 Views
Wakuu, Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefunga kampeni za wagombea wa serikali za vijiji kwenye Kijiji cha Kanyala, Kata ya Bulyaheke na kuwaomba wananchi kuchagua viongozi wanaotokana na CCM...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi, amehitimisha kampeni za chama hicho mkoani Mbeya kwa kuhimiza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Wakuu, Ndio maana Nyerere alikataa makabila makubwa kushika nafasi ya Urais, kuanza kutuimbia vilugha na kubaguana tu! ===== Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa Geita...
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Wakuu, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Momba, mkoani Songwe, kimehitimisha kampeni zake za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kufanya mikutano katika kata za Bonde la...
0 Reactions
1 Replies
346 Views
Chaguzi zote za serikali za Mitaa zilizopita tulikuwa na Hawa wazee Wetu ambao walihamikisha Kwa namna yoyote ile Armani inadumishwa Mungu wa Mbinguni awarehemu wazee Hawa Tukeshe Kwa Armani...
0 Reactions
0 Replies
218 Views
Wakuu, Huu ni ukorofi kabisa, CCM kama inapumulia mashine vile afu wanajaribu kutanua mapafu :BearLaugh: Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
Naibu katibu Mkuu huyo wa CCM, Taifa, John Mongella amefika Mkoani Shinyanga kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika novemba 27, mwaka huu. Sambamba na hilo Mongella...
0 Reactions
0 Replies
374 Views
Wakuu, Kumbe kuna watu wanapigana kupata nafasi ya kujua tanzanania tunaishije kama tupo Dubai na watu hamseni? Mna siri nyinyi :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh: Watanzania...
1 Reactions
13 Replies
879 Views
Wakuu, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dodoma Jawadu Mohamed amesema baada ya vyama vya upinzani kushindwa kuteua wagombea wenye sifa katika baadhi ya maeneo...
0 Reactions
0 Replies
273 Views
Jackson Kiswaga, mbunge wa jimbo la kalenga amefunga kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kata ya Nzihi kwa kusema kuwa uchaguzi wa kesho ni muhimu kwa ustawi wa maendeleo ya kata hiyo...
0 Reactions
0 Replies
338 Views
Inajulikana wazi kuwa CCM hawawawezi CHADEMA katika sanduku la kura, hivyo imeweka nguvu kubwa kwenye figisu na dhulma. CCM tayari wameonesha taa nyekundu ktk hatua za mwanzo kwa kuwaengua...
0 Reactions
8 Replies
642 Views
Wakuu. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anazungumza muda huu huko mkoani Singida kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea Tundu...
1 Reactions
2 Replies
569 Views
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC) amepokelewa katika ofisi za CCM Mkoa wa Njombe leo Novemba 26, 2024 kwa lengo la kufunga Kampeni Uchaguzi wa...
0 Reactions
7 Replies
814 Views
Kwa wale wote tutakao shiriki uchaguzi muhimu mno na wa maana sana wa serikali za mitaa, Nawatakia nyote matumizi sahihi uhuru na haki ya kikatiba, kwa kuchagua viongozi makini na watakao saidia...
2 Reactions
18 Replies
702 Views
Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya mjini, Dkt. Tulia Ackson, amewataka Wananchi...
0 Reactions
2 Replies
327 Views
Wakati God bless Lema wa Arusha na Pambalu wa Mwanza wakiendelea kulialia, Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu yuko Ikungi Singida na mambo yanakwenda vizuri Kadhalika mkoani Mbeya mh Sugu...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom