Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Almasoud Dauda Kalumuna (KAMALA) leo Juni 28, 2025 amechukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ikumbukwe Kamala mwaka 2020 alichukua fomu na mara...
2 Reactions
3 Replies
453 Views
Shabani Rashidi Said, amechukua fomu ya kuwania udiwani wa Kata ya Bukoba Mjini. Ikumbukwe Ndg. Shabani ndio alikuwa diwani wa kata Bakoba 2020 mpaka 2025.
0 Reactions
4 Replies
398 Views
Mwenyekiti wa Uchumi, Uwezeshaji na Fedha katika Kamati ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Maria Alphonce Sebastian, amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la...
1 Reactions
6 Replies
795 Views
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Manonga wilayani Igunga, Seif Gulamali amejitosa tena kuchukua fumo ya kuwania nafasi hiyo. Gulamali amekabidhiwa fomu hiyo leo katika ofisi za Chama cha Mapinduzi...
0 Reactions
5 Replies
600 Views
Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa. Tusirudie hayo...
20 Reactions
123 Replies
5K Views
Kwa kauli zenye kujirudia kwa miaka na miaka kutoka kwa viongozi wa CCM kuwa hata wasipo pigiwa kura hawa stuki watashinda tu. Lazima ujiulize. 1. Unajikuta unaona kuna maana gani ya mimi kwenda...
13 Reactions
73 Replies
3K Views
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilolo Mh Justin Lazaro Nyamoga mapema June 28 ameanza safari ya kutetea tiketi ya kuwania Ubunge kwa awamu nyingine Jimboni Kilolo Mh Nyamoga baada ya kuchukua fomu...
0 Reactions
0 Replies
297 Views
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram mtangazaji wa kabumbu wa Azam Tv, na msemaji wa Timu ya Azam FC ametangaza nia yake ya kugombea ubunge wa jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro. ==...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini 2010 - 2020 Mchungaji Peter Msigwa amechukua fomu za kugombea Ubunge Jimbo la Iringa Mjini katika ofisi za CCM wilaya na kukabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
COSMAS BULALA ATUHUMIWA KUANZA KAMPENI JIMBO LA KWIMBA Kampeni za kisiasa zimepamba moto katika jimbo la Kwimba mkoani Mwanza baada ya wagombea ndani ya chama cha mapinduzi CCM kuanza kupigana...
0 Reactions
4 Replies
794 Views
Kinyang’anyiro cha Ubunge wa Viti Maalum kundi la Vijana kinaendelea kukolea moto baada ya Monalisa Daniel, Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa (UVCCM), kuchukua...
3 Reactions
5 Replies
435 Views
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Alqama Kihaku amethubutu na kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama chake ili kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya Likongowele, Wilaya ya Liwale mkoani...
0 Reactions
1 Replies
219 Views
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na baadaye Mbunge wa Viti Maalum Esther Nichoulas Matiko amethibitisha kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
2 Reactions
10 Replies
697 Views
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tabora Mjini Emmnauel Adamson Mwakasaka amejitokeza mapema leo asubuhi kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya Chama cha Mapinduzi ili apate nafasi ya kuwania Ubunge...
1 Reactions
5 Replies
548 Views
Nimestushwa na utitiri huu wa Makada wa CCM ambao wanajitokeza kuchukua fomu hasa za Ubunge Majimboni katika siku ya kwanza ya Mchakato huo!Wapo ambao unaweza kusema walikuwa wamekata tamaa kabisa...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
MBUNGE wa Jimbo la Same magharibi mkoani Kilimanjaro, Dkt. David Mathayo amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika jimbo hilo kwa awamu nyingine. Mbunge huyo ambaye ameongoza kwa vipindi 4 mfulizo...
0 Reactions
10 Replies
950 Views
Mtaalamu mahiri wa masuala ya uchumi nchini, Dkt. Bravious Kahyoza, amechukua rasmi fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Muleba Kusini mkoani Kagera kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma Pia...
0 Reactions
16 Replies
897 Views
Wananchi wa Jimbo la Uyole Mkoani Mbeya wamemchukulia fomu ya kuwania Ubunge Dkt. Tulia Ackson katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2025 hapa nchini. Akizungumza baada ya...
0 Reactions
8 Replies
972 Views
Afisa Manunuzi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bi. Zaitun Maketa (Kulia) amechukua fomu leo Juni 28, 2025 Ofisi ya Chama CCM Mkoa wa Lindi ya kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya ubunge Viti...
1 Reactions
5 Replies
424 Views
Mwenyekiti wa UVCCM Faris Buruhani aliyesema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie kuwania ubunge Bukoba Vijijini. Kama ni 'mtu asiyejulikana' akiwa UVCCM unafikiri hali itakuwaje atakapokuwa...
0 Reactions
2 Replies
365 Views
Back
Top Bottom