Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Tofauti na muonekano wa wengi, nina dhubutu kusema kwamba miradi ya kimkakati ya serikali, ina mchango mdogo sana kwenye kukuza uchumi wa nchi na kuleta maendeleo ya kudumu. Sio jambo...
0 Reactions
0 Replies
353 Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Hamza Johari amepiga kura katika eneo la llazo jijini Dodoma Amepongeza Waandaaji na Waratibu wa Uchaguzi kwa mpangilio mzuri uliopo kwenye vituo unaofanya watu...
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Wakati upigaji kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji ukiendelea maeneo mbalimbali nchini, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi)...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mkoa wa Mbeya ni moja kati ya mkoa iliyopo katika Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watukatika Mkoa wa Mbeya ni...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
MKUU wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge ameongoza wakazi wa mkoa huo kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa. Kunenge amekuwa kati ya wananchi waliopiga kura katika kituo cha mkoani A...
0 Reactions
0 Replies
375 Views
Chama kama kinakubalika na wapiga kura Kuna haja Gani ya kutumia nguvu kubwa namna hii na wizi wa kura ata uchaguzi wa serikali za mitaa? Aya ni maajabu mengine nayashuhudia Tanzania Kwamba kura...
1 Reactions
6 Replies
521 Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt.Tulia Ackson ameshiriki zoezi la kupiga kura na kumchagua kiongozi amtakaye huku akisisitiza wananchi...
0 Reactions
1 Replies
386 Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amewataka wananchi wa Chamwino kujitokeza kwa wingi kupiga kura kuchagua viongozi wao ambao watawasaidia katika kuwaletea...
0 Reactions
0 Replies
282 Views
CCM ni sawa na yale magenge ya Madawa za kulevya kule Mexco, ambako kila mbinu ikijulikana huingia chimbo na baadae kuja na mbinu mpya ya kusafirisha Dawa za kulevya. CCM baad ya kugundua mbinu...
0 Reactions
0 Replies
346 Views
Moja moja kwa mada: Ili kuondoa haya malalamiko ya wagombea wa CCM kuanzisha vurugu na kuwasingizia wapinzani ili watolewe nje na Police then wao wanabadilisha matokeo then mawakala wanarudishwa...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amepiga kura yake katika Kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kilimani, kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali ya...
0 Reactions
0 Replies
288 Views
Wakuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Momba, mkoani Songwe kimeeleza kusikitishwa kwake na baadhi ya vitendo visivyofaa kwenye zoezi la uchaguzi ulioanza mapema leo...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Naomba kujua tu 1. Sijaona kupata msuko msuko kwa vyombo vya dola wakati wa kampeni 2. Sijasikia kuenguliwa kwa wagombea wake 3. Sijasikia kupata msuko msuko kwa wakala wake Hii tofauti na...
5 Reactions
36 Replies
1K Views
Wakuu, Ingia hapa kupata matukio yote ya uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari za uchaguzi Wakuu! Nafikiri siku ya Leo imeenda kinyuma na lengo lilivyopangwa. Serikali iliiweka siku ya Leo kama siku ya mapumziko ili kutoa fursa kwa watu kupata muda wa kwenda kupiga...
0 Reactions
3 Replies
401 Views
Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Dk. Frederick Sagamiko ameonya tabia ya viongozi wa vyama vya siasa kujipitisha katika Vituo vya Kupiga Kura wakati wa...
0 Reactions
4 Replies
402 Views
Halmashauri ya Lushoto imebidi kuongeza vituo vya kupigia kura 64 katika maeneo mbalimbali kutokana na kuwepo malalamiko ya baadhi ya wananchi kuwa kuna sehemu vituo vipo mbali na hawataweza...
0 Reactions
4 Replies
423 Views
MWENYEKITI WA CCM SIMIYU AHAMASISHA WANANCHI KUPIGA KURA. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed, ameendelea kuhamasisha wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi...
0 Reactions
1 Replies
390 Views
Nimefika kupiga kura kituoni mida ya saa 5 asubuhi. Watu hawakuwa wengi na walikuwa wanakuja taratibu, wengine wapo shambani wanasubiri wapigiwe simu zamu yao ikikaribia. Kilichoniudhi ni kukuta...
3 Reactions
6 Replies
533 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…