Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Vyama vya upinzani vinakosa visionary people and great thinkers. CCM hawana mbinu za kutawala, kuongoza wala kutoa mwelekeo sahihi wa nchi . Ila unfortunately vyama vya upinzani vinakwama sehemu...
2 Reactions
6 Replies
501 Views
Wasalaam, Leo naandika kwa uchungu sana kuhusu tabia ya makampuni ya simu hasa hawa tigo kukwepa kodi kila baada ya miaka 5. Serikali ina viongozi ambao wengi wapo pale kwa maslahi yao na si...
0 Reactions
1 Replies
334 Views
Natoa tu angalizo baada ya kumsikiliza kwa makini KC mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe Tusijekuwa kama Jirani ambao sasa wanamtegemea Raila ndiye Kawa baba wa taifa Namuona Makongoro...
0 Reactions
0 Replies
222 Views
Wakuu, Huyu Zahoro Matelephone ni nani kiasi cha RC anakwenda kuzindua kiduka chake? Yaani ni kama Vile Chalamila ameenda kariakoo akazindua kaduka maeneo hayo akaenda na makamera kabisa kuonesha...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wahenga walishaonya kuwa kusikia kwa kenge ni mpaka damu masikioni, inasikitisha sana genge la chadema liliongoza kumtukana na kumchafua hayati Edward Lowasa bila ushahidi wowote ndiyo hilo hilo...
3 Reactions
10 Replies
448 Views
Wazungu wanamsemo wao mashuhuri sana unaosema, there is no honor among thieves, wakimanisha kwamba wahalifu hawaheshimiani linapokuja suala la maslahi ama kugeukana. Sasa kwa watu wa namba...
9 Reactions
38 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Chama cha Mapinduzi kinatoa shukurani za dhati kwa wanachama wake, wakereketwa,wafuasi na watanzania wote kwa ujumla wake kwa kukipigia kura nyingi za ndio na hivyo...
0 Reactions
0 Replies
279 Views
Hii Unyakuo wa Bwana wetu Yesu Kristo yawezekana ulishapita Sisi wala hatuna habari bado tunamsubiri tu Yaani Vyama vilivyopata vijiji, Vitongoji na Mitaa vinalia Uchaguzi haukuwa huru Vyama...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakuu, Wananchi tunaangusha hii nchi, kubaki kulalamika vitendo 0, ikifika muda wa kupiga haoooo tunaenda kupigia mifuko ya sukari na vitenge🤦‍♂️🤦‍♂️ ==== Ni kweli kama maaskofu wa tanzania...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu, Haya tuendelee na unafiki! ===== Taasisi ya Focus on Tanzania (FOTO) imesema imeridhishwa na mchakato wote wa uchaguzi kwa namna ulivyoendesha kwa mujibu wa utafiti waliofanya na...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Utendaji wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia serikali ya awamu ya sita anayoiongoza umekua sumu kali kwa upinzani nchini kwani umewanyima wapinzani agenda za kusimama nazo kwenye majukwaa...
3 Reactions
8 Replies
531 Views
Wabunge wa Umoja wa Wanawake (UWT) Zanzibar (Wabunge wa Majimbo na Wabunge wa Viti Maalum) tarehe 28 Novemba, 2024 wameanza ziara rasmi kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali ya...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Poleni kwa uchaguzi walioshidwa, na hongereni, kwa washindi . Ukiwa mwanasiasa ni muhimu sana uwe smart na creative sana katika kufanya mamuzi sahihi na wakati sahihi. Lengo la kuwa mwasiasa...
3 Reactions
15 Replies
886 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), leo tarehe 29 Novemba, 2024...
1 Reactions
4 Replies
670 Views
Wenyeviti na wajumbe wote wa serikali za mitaa wametakiwa kuweka tofauti zao za kisiasa pembeni na badala yake wahamasishe na kuelimisha umma kushiriki katika shughuli za maendeleo. Akitoa rai...
0 Reactions
0 Replies
275 Views
Sasa ni rasmi kwamba Mifumo ya Uchaguzi Tanzania imeparalysis. Mfano: CCM ni chama kinachotawala( Chama cha Mapinduzi) Mchengerwa ni Mpiga kura wa CCM, Mwanachama wa CCM na Mbunge wa CCM...
1 Reactions
4 Replies
583 Views
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera. Wakuu wa mikoa 10 wamebaki...
18 Reactions
537 Replies
74K Views
Leo Novemba 29, 2024 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuwa kwa taarifa alizonazo, CCM ina makada sita waliofanyiwa vitendo...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakuu, Tumeona ni chama kimoja tu ndio kilikuwa na sintofahamu kidogo kutoka kwao, kwahiyo hapa alikuwa anamaanisha ushindani ulikuwa kwati ya wao na CHADEMA pekee? ==== Katika mkutano wake...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
VIONGOZI WALIOCHAGULIWA WAKATATUE CHANGAMOTO KWENYE MITAA, VIJIJI NA VITONGOJI VYAO. Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makalla akizungumza na Waandishi wa Habari...
0 Reactions
2 Replies
418 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…