Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Watanzania, Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na namna ya kupokezana madaraka, uvumilivu na demokrasia...
10 Reactions
115 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Katika mabadiliko ya kawaida ya Baraza la Mawaziri yameshuhudia Mheshimiwa Innocent Bashungwa akihamishwa kutoka wizara ya Ujenzi kwenda wizara ya mambo ya ndani. Hii na...
4 Reactions
108 Replies
7K Views
Kwanza nitangaze Mgongano wa Maslahi kwamba mimi pia ni Shabiki wa Lissu, naheshimu mchango wake katika kupigania mabadiliko ya nchi hii na natambua na kuheshimu gharama alizolipa kwa kwa kazi...
7 Reactions
64 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hili ni jambo la wazi kabisa lisilo hitaji shahada ya sayansi ya siasa kutoka UDSM au Elimu kubwa sana.hili ni jambo ambalo kwa mwenye akili timamu na mwenye akili huru na...
6 Reactions
117 Replies
3K Views
Nchi za jirani kama Kenya, Malawi na Zambia hata zisizo jirani kama vile Botswana wameangusha vyama tawalaa. Soon, Afrika ya Kusini na Msumbiji wanaweza kujikomboa na vyama hivi manyang'au. Je...
0 Reactions
4 Replies
366 Views
Pamoja na ukweli kwamba Watanzania tunapenda kujidanganya lakini cha ajabu tunadanganya mpaka vizazi vijavyo. Bila katiba mpya ambazo zitatoa mfumo imara wa sheria, bunge na utawala bora...
0 Reactions
2 Replies
447 Views
KUna watu wanaamini kuwa Zanzibar ni nchi na wanaamini hivyo kwa sababu Katiba ya Zanzibar inasema hivyo (toleo la 2010). Ni muhimu kukumbuka kuwa kabla ya mabadiliko ya 10 ya Katiba ya Zanzibar...
48 Reactions
743 Replies
72K Views
Kimsingi Binadamu hafundishwi Uongozi bali anafundishwa jinsi ya Kutawala na Kusimamia Uongozi ni Kipawa, Kipaji na Karama ambayo imewekwa ndani ya roho na Ubongo wa Watu wachache sana tuseme...
1 Reactions
10 Replies
628 Views
Muonekano wa nje wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Kilindi Kata ya Matiri Wilaya ya Mbinga vijijini Mkoani Ruvuma Mtibabu anakaa hapo chumba cha kwanza. Ni kiasi gani Samia kaelekeza Ruvuma...
26 Reactions
93 Replies
5K Views
Kuna watu wamekuwa kero kama kelele za mbu karibu na sikio. Wanalinganisha mafanikio ya Raisi Samia na yale aliyofanya Raisi Nyerere enzi za uraisi wake. Wanashindwa kabisa kutambua Nyarere kama...
22 Reactions
59 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Karibuni tupeane Raila Odinga: "Young people now begin the day checking the phone battery and data bundles. Something to wear, something to...
0 Reactions
1 Replies
320 Views
Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe amesema kulinganisha Kung'atuka kwa Nyerere na Kutong'atuka Viongozi wa Chadema siyo sahihi kabisa Mbowe amesema Nyerere alikuwa Mtumishi wa Umma anayelipwa...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Salaam!! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu sikumbuki ni lini Mama janeth first lady wa 5 alionekana hadharani kupitia runinga. Zimefanyika sherehe mbali mbali ambazo kwa nafasi yake alitakiwa...
13 Reactions
77 Replies
8K Views
Wakuu, 1. Muharami Shabani Mkenge: Mbunge wa Bagamoyo Nafasi ya Sasa Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Unadhani ni nini kimewavutia hata wakuamua kukimbilia zaidi CCM kuliko vyama vingine vya siasa? Ni ukata wa fedha wa kutisha ulioko ndani ya vyama hivyo vya siasa nchini au ni ufinyu wa fursa za...
3 Reactions
74 Replies
3K Views
Kwako Mhe. Rais, Mhe. Rais wetu mpendwa, Suluhu Hassan, Nakupongeza kwa jinsi unavyo tujali watanzania, na roho yako ya upendo, kama ulivyosema unatumia maneno ya mama. Siku zote mama uwa na...
9 Reactions
34 Replies
4K Views
Niliposikia pongezi toka kwa mgombea wa chama tawala aliyeshindwa uchaguzi mkuu wa kule Ghana akimpongeza mpinzani aliyeshinda ikanifanya nikumbuke kwamba Ghana iliwahi kuongozwa na kiongozi...
2 Reactions
6 Replies
623 Views
Wakuu, Sarakasi za kuelekea Uchaguzi Mkuu zimeanza rasmi. Sasa hivi kuna watu wameshaanza kujitengenezea njia za kuwa wabunge na viongozi mwaka 2025 na mmojawapo ni mume wa Zamaradi Mketema...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Jesca Jonathan Msambatavangu – Mbunge wa Iringa Mjini Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kura katika Uchaguzi wa 2020: 41,401 (alishinda dhidi ya Peter Msigwa wa CHADEMA) Elimu: Shule ya Msingi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Mbunda Jonas William - MBUNGE WA MBINGA MJINI Chama: Chama cha Mapinduzi (CCM) Kura: 26698 (2020) Elimu na Taaluma Yake Strathclyde University, UK: Master of Science in Finance (2005–2006)...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…