Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mara kadhaa viongozi waandamizi wa CCM wamesikika wakiwashauri Watanzania wasiwachague wapinzani katika nafasi ya Urais kwa madai kuwa vyama vya upinzani bado havijakomaa vya kutosha kuongoza...
2 Reactions
11 Replies
738 Views
Matokeo ya Mkutano wa Tundu Lissu;- Siasa zinaenda kubadilika sana kama Tundu Lisu ataingia madarakani nafasi ya Uenyekiti CHADEMA,huenda CCM ikatangaza Jambo lenye maamuzi magumu kuelekea...
5 Reactions
18 Replies
926 Views
Tundu Antipas Lisu ndiye Mwanasiasa pekee wa Upinzani asiye na Bei Hata mchungaji Mtikila rip alishindwa kuzikataa Fedha alizosaidiwa na Aziz Shujaa Magufuli alikiri Wazi kabisa kwamba 2020...
1 Reactions
3 Replies
486 Views
Kuelekea mwakani chama cha mapinduzi kinahitaji mtu jasiri atakayetangaza kugombea Urais na Mama Samia. Huku Lissu na Mbowe kule Fulani na Mama Samia nchi itachangamka hii
1 Reactions
2 Replies
257 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Tundu Lissu, amesema kuwa pamoja na kuwa na urafiki wa muda mrefu na Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Ikiwa ni saa chache tangu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu kutangaza kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa, wakati wa mkutano na...
0 Reactions
2 Replies
618 Views
Ni kawaida kabisa Bwana Lema huwa anakurupukaga na kutoa maoni yake hata kama ni ya ovyo haswa pale Kaka yake Mbowe anapoguswa kwa aina yoyote ile. Lema ni chawa namba moja wa Mzee Mbowe ila...
2 Reactions
16 Replies
958 Views
Kenya wana mfumo mzuri wa uongozi wa vyama vyao vya siasa na ndio maana hutakaa usikie sijui Raila apumzike, sijui Kalonzo sasa atupishe kule Wiper. Kenya chama kama ODM na vyama vingine wana...
1 Reactions
1 Replies
383 Views
Tamisemi wamekanusha taarifa zinazoenea kwa kasi kwamba Naibu waziri Dkt. Dugange amejiuzulu Tamisemi wamesema Dugange hajajiuzulu bado yuko hospitali amelazwa puuzeni Uzushi wowote. --- Ofisi...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuna taarifa za ndani juu ya ajali ya Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange kupata ajali ambapo inadaiwa ameumia sana. UPDATE Jioni hii makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefika...
59 Reactions
1K Replies
133K Views
Salamu kwa wote. Kutokana na kuporomoka kwa dollar, wafanyabiashara ya utalii wamejikuta wakipata hasara kubwa kutokana na exchange rate ya Tanapa kubaki kuwa 2609 Tzs huku thamani ya dollar...
1 Reactions
7 Replies
604 Views
Kamanda Tundu Lissu amekanusha madai yaliyotolewa hapo nyuma kidogo na Lema kwamba Mbowe ndio aliyeshika chupa ya damu wakati akipelekwa Nairobi kwa matibabu. Amesema aliyeshika chupa ya damu...
14 Reactions
125 Replies
9K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Ni maoni yangu kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania Karibuni
0 Reactions
0 Replies
190 Views
Mwanachama wa CHADEMA au Mtu mwingine yoyote anayeona ajabu, au anayechukizwa au kukwazwa na nia yangu ya kugombea nafasi ya Uenyekiti Chama chetu atakuwa ama hajui au amesahau au hataki kuenzi na...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Wakuu, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametajwa kwenye orodha ya wanawake wenye nguvu zaidi duniani. Samia ambaye alitajwa pia mwaka 2023 amewekwa kwenye nafasi ya 91...
2 Reactions
15 Replies
989 Views
Miaka zaidi ya 20 akiwa mwenyekiti wa Chadema imekuwa ni kama jinai kugombea kiti chake. Mbowe sasa anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa Tundu Lissu kipenzi cha wapenda haki ndani ya chadema...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Kila nikiona mambo yanavyoenda kwenye taifa letu chini ya ccm kuna kila dalili wafuasi wa ccm hawaoni shida yoyote ya katiba tuliyonayo yaani ni kama wameishaifikia nchi ya ahadi. Ndipo hunijia...
1 Reactions
8 Replies
654 Views
Lissu hana sifa ya kuwa kiongozi bora, kwasababu huwezi kwenda hadharani kusema madhaifu ya Chama chako wala kuwasema viongozi wa Chama chako hadharani badala yake unatakiwa kufikisha malalamiko...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Leo nimemkumbuka John Pombe Joseph Magufuli. Jamaa alijua kututenda kama watu na taifa. Huwa siachi kujiuliza ni vigezo gani alitumia kuwapa mamlaka watu wanafiki na wa hovyo waliokuwa wkimsifia...
1 Reactions
4 Replies
479 Views
Je wamekumbwa na tatizo gani? Habari ya mwisho ni ile ya mkutano wa Freeman Mbowe. Je, waliishiwa bando, walisahau au nini kimetokea? Erythrocyte unaweza kuwa na majibu au na wewe ni kama Yericko...
0 Reactions
8 Replies
627 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…