Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Viongozi wa mtaa wa Masewe na Ilemi kutoka mkoani Mbeya,Patrick Mwashuma na Lupakisyo Mwasasu, wamefanya hafla ya kuwashukuru wananchi wa kata hizo kwa kuwapigia kura katika uchaguzi wa...
0 Reactions
0 Replies
297 Views
Naomba nianze na taarifa yenyewe. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema kuwa Daisle Simion Ulomi, aliyekuwa ameripotiwa kwamba amepotea, alifariki dunia baada ya kupata ajali...
23 Reactions
120 Replies
8K Views
Basi huyu Mzee Mbowe huenda ana Mungu sana au ni mchawi sana au CHADEMA kwa sasa imezidiwa na machawa na uchawa. Kwaakili za kawaida hivi inawezekanaje mtu aongoze taasisi kwa miaka zaidi ya...
4 Reactions
18 Replies
917 Views
Ndugu zangu Watanzania, nimeona nitoe maoni yangu machache tunapoelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi. Mimi nilidhani tufanye yafuatayo:- 1. Kiundwe chombo cha kitaifa...
0 Reactions
1 Replies
385 Views
Wana bodies, Serikali mwezi December 2023 ilitangaza bei elekezi ya pembejeo zote ambapo bei hizo zilikuwa na ruzuku . Wakulima wa zao la tumbaku walikuwa miongoni mwa wanufaika wa ruzuku hiyo...
4 Reactions
10 Replies
709 Views
Haiwezekani Mtu ajiite Nyerere halafu akawa anachochea mitafaruku na utengano Madaraka Nyerere yuko sahihi kabisa Ahsanteni sana 😄
9 Reactions
8 Replies
653 Views
Waziri wa Sheria na Katiba, Mh. Ndumbaro, amewapa za uso Chama cha Wanasheria Tanganyika kwamba kinatoa matamko ya kukurupuka tu. =============== Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Katika kuonyesha kuwa Mikoa ya Pwani tuna vichwa. Hapo Wizara ya Ujenzi panaenda kuchangamka Muda si muda. ***Fly over nchi Nzima. Hongera Mheshimiwa Ulega!
1 Reactions
14 Replies
818 Views
Mahojiano yameanza dk.20 na.yanaendelea live power breakfast ua.clouds na Tundu lissu. Tutajazia nyama yanavyoendelea
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwenye Somo la Chemistry tulisoma kitu kinaitwa Buffer na PH. Yaani kemikali ikiwa kali inabidi uizimue kwa kuweka chemikali nyingine inayoitwa Buffer ili kupunguza ukali wa kimiminika hicho...
3 Reactions
13 Replies
596 Views
Kumbe ni kweli umekuwapo mvutano mkubwa kati ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Makamu wake Tundu Lissu. Lakini mvutano huo sio ugomvi kama mnavyo aminishwa na wapiga propaganda wa CCM...
12 Reactions
41 Replies
2K Views
Source Mtanzania. Msajiri wa vyama vya siasa nchini Tanzania bwana John Tendwa inadaiwa anakalia ofisi hiyo kimakosa huku mkataba wake wa ajira ukiwa umeshakwisha kwa maana hiyo anaendesha ofisi...
1 Reactions
74 Replies
9K Views
Leo katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV, mzee John Tendwa ambaye ni msajili (mlezi) wa vyama vya siasa nchini amekosoa harakati mbalimbali za kisiasa zinazoendeshwa na CHADEMA nchini...
5 Reactions
70 Replies
6K Views
Ninataka kujua mchango wa Chawa Yeriko Nyerere chadema Zaidi ya kukitumia chama kuuza vitabu fake ana mchango gani kwa chama?
7 Reactions
26 Replies
938 Views
Katika sehemu nyingi za dunia jamii zimekuwa zinawajenga au kuwatengeza wanaume kuwa viongozi kimfumo kwa kipindi chote cha maisha ya binadamu. Tukichukulia jamii zetu mtoto za sasa kwa mfano...
0 Reactions
0 Replies
302 Views
Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo. LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani...
7 Reactions
169 Replies
7K Views
Taarifa ya Chama cha ACT Wazalendo imeeleza "Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, Abdul Nondo anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aghakhan, Dar es Salaam kutokana na kuumizwa kwa...
11 Reactions
109 Replies
8K Views
Kila siku nasema kuwa akili ni nywele. Ukiwa na akili timamu, utajua tatizo ulilonalo ni lipi na utaweka na kutekeleza mipango sahihi ya kulitatua hilo tatizo. Wenzetu Kenya waligundua wana...
1 Reactions
2 Replies
339 Views
CCM ni akili kubwa sana halafu wengi wanauliza kwanini huwa tunatoa Fomu Moja katikati ya Mihula ya Rais wa JMT Ni simple, huwezi kumpambanisha Amiri Jeshi mkuu na mwanachama mwingine yoyote...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Kumekua na mijadala miingi mitandaoni zikimtaka Mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Mbowe kuondoka madarakani kwa kisingizio cha kuwa amekaa mda mrefu na hata kusema hana jipya tena kukipeleka chama...
1 Reactions
2 Replies
275 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…