Kwanini ni mbowe na si lipumba

Kwanini ni mbowe na si lipumba

brownjosephati

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2024
Posts
616
Reaction score
758
Kumekua na mijadala miingi mitandaoni zikimtaka Mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Mbowe kuondoka madarakani kwa kisingizio cha kuwa amekaa mda mrefu na hata kusema hana jipya tena kukipeleka chama mbele, wakati wanapambana na mbowe wanasahau kuwa hata Lipumba ana miaka 25 na sasa anagombea tena mingine 5.

Wanaotoa hoja hizo ni kutoka vyama tofauti tofauti wakiwapo wa CUF
SASA NAJIULIZA NI KWANIN MBOWE TU?
 
Back
Top Bottom