Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bila shaka umewahi sikia kuhusu msemo Pyrrhic Victory. Msemo huo unamaanisha ushindi uliopatikana kwa gharama kubwa kiasi kwamba umekuwa sawa na kushindwa. Miaka kama 300 kabla ya Yesu mfalme...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Hongera sana Mhe Devotha Minja kwa ushindi huu mkubwa kwako kwa chama chako na familia yako. Naona uwewanyoosha machawa sawa sawa sasa piga kazi mpaka watu washangae
23 Reactions
118 Replies
5K Views
Katikati ya tetesi za mapendekezo ya watumishi kustaafu wakiwa na miaka 65 ili kuiokoa mifuko hii ya hifadhi ya jamii., mifuko hii ambayo kimsingi ni mahututi, NSSF wanakuja na hoja ya kujenga...
4 Reactions
15 Replies
923 Views
Viongozi wakuu wa CHADEMA wanaonekana kutomuunga mkono Tundu Lissu kwa madai hatoshi na hana weledi wa kuongoza chama! Freeman Mbowe anaonyesha haamini kama akikiacha chama mikononi mwa Lissu...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Wasalaam. Mababu zetu zamani zile walikua na misemo ya konakona na mingine imenyooka, hatimae ule usiku wa deni umefika kesho tarehe 21/12/2024 mh mbowe atatoa msimamo wake kuhusu uenyekiti ndani...
1 Reactions
12 Replies
583 Views
CHADEMA msimchukulie Mh Mbowe kirahisi, alijitoa sana sadaka kwa kuuza mali zake nyingi ili ajenge chama, msidhani CHADEMA imefika hapa ilipo kirahisi Tundu Lisu ni kivuruge ni mwanasiasa mzuri...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Picha inachezea hivi, Kuna kamati imeundwa kubomoa CDM kutoka kule, kunapesa mingi imetengwa kutoka kule na kwenda kule. Mh. FAM anataka mzigo zaidi ili aendelee kukomaa Mh TAL anamwambi endelea...
9 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakuu, Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS? Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720. Kwa hiyo kwa mwaka...
10 Reactions
89 Replies
4K Views
Kwa nini Lowassa (mtuhumiwa wa fisadi) alipata kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa 2015 kuliko alizipoata Willibrod Slaa (msafi) mwaka 2010? Ni mvuto wa kisiasa, pesa, sera, upadri wa Slaa au...
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Usahihi wa Makonda; Inaweza ikaamsha watendaji kuwahi majukumu yao kwa haraka na kwa wakati.........si mbaya. Usahihi wa Mchengerwa; Desturi hii ikiingia katika akili na damu za watu wetu, ambao...
0 Reactions
2 Replies
442 Views
Wakuu habari ya muda. Kuna msemo kuwa Duniani hakuna jipya mengi yamisha fanyika ni muda tu ndio unafanya tuone mapya. Tutakumbuka hili swala la Lissu linaendana kabisa na issue ya Seif Sharif...
0 Reactions
0 Replies
408 Views
Ndio hivyo. Baraza kuu lote let, akileta hoja inapigwa chini, na pale Wenje anabaki kama kiungo mchezeshaji. Haijaisha mpaka iishe, atapigiwa hata kura ya kutokuwa na imani
0 Reactions
1 Replies
285 Views
Dar es Salaam. Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amesema marufuku ya kisiasa iliyowekwa na Serikali, kwa kiasi kikubwa, imemlenga Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ambaye anamuelezea...
5 Reactions
54 Replies
10K Views
Kauli hiyo aliitamka Lissu kwa kejeli akiwakejeli wasioona nguvu ya Lowassa ndani ya nchi, Nawaambia hakuna mtu mwenye nguvu dhidi ya taasisi yeyote imara, labda kwa CHADEMA ndipo mwenyewe Mbowe...
5 Reactions
40 Replies
10K Views
Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Mhe Victoria Mwanziva amewasisitiza wakala wa barabara mjini na vijijini TARURA Wilaya ya Lindi kusimamia ubora na thamani ya fedha kwenye ujenzi wa Mradi wa barabara ya...
1 Reactions
2 Replies
384 Views
Salaam, Shalom!! Tumeambiwa kuwa, tembo na simba hawali madini, lakini hatukuambiwa wakati madini yakichimbwa ndani ya Serengeti, hao Simba watakuwa wapi!!? Kutoa lesseni ya uchimbaji ndani ya...
13 Reactions
57 Replies
3K Views
Swala la kuchimba madini kwenye hifadhi za Taifa kuna Move kari sana inachezwa ni kama zile Move za Kihindi, Stering wa move atakufa akiacha move ikiendelea. Target ya kutaka kuchimba Madini...
18 Reactions
92 Replies
3K Views
Wakuu... Kumbe wala hatuhitaji Katiba Ili kuiondoa CCM madarakani kama tulivyokuwa tukiaminishwa,. Pamoja na Katiba mbovu tuliyo nayo sasa bado CCM wanaweza kung'oka madarakani , Tatizo letu ni...
1 Reactions
10 Replies
662 Views
TUSIPOVAMIA TUTAENDELEA KUVURUGANA. Na, Robert Heriel. Naiona future ya nchi yetu ikizidi kudidimia. Nakiona kizazi hiki kikiwa na mwisho mbaya wa kusikitisha. Kwa kweli tunayosababu ya kuchukua...
11 Reactions
62 Replies
5K Views
Habari. Uzi huu uwe mwendelezo wa kila kinachojiri katika mpambano huu wa kukata na shoka. Siku ya kesho December 21 kuanzia saa 5 asubuhi Mdude CHADEMA kuongea n vyombo vya habari. Dec 21...
0 Reactions
3 Replies
531 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…