Lissu: Ni upumbavu kujifanya humuoni tembo ndani ya uwanja wa mpira,

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Kauli hiyo aliitamka Lissu kwa kejeli akiwakejeli wasioona nguvu ya Lowassa ndani ya nchi,
Nawaambia hakuna mtu mwenye nguvu dhidi ya taasisi yeyote imara, labda kwa CHADEMA ndipo mwenyewe Mbowe ana nguvu kuliko chama, na hii inamifano mingi, ipo siku tutaijadili ,
Lakin kwa Taasisi imara kama CCM au Democrat au Republican za USA mtu hana nguvu dhidi ya chama, Leo hii hata Magufuli anaiogopa CCM kama ukoma hawezi kuchezea misingi yake, wakiamua wanamuweka pembeni mapema,

Tuangalie suala la Lissu kuamini katika Lowassa na si kuamini katika CHADEMA, ni ama Lissu alikuwa n.a. aibu akiwa anaongea bila kuwaza mantiki ya anachoongea, au aliteleza, maana kwa uwezo wa Lissu so mtu wa kuyumba kwa kipindi kile, ni bora angekaa kimya kama Mnyika, Lema na Kubenea,
Ilikuwa ni kama watu hawaelewi Slaa anamaanisha nini,

Nakumbuka mambo yafuatayo
1. Prof Safari aliichana barua ya Slaa kujiuzulu na kuiweka kwenye koti la Slaa kwa nguvu akisema ataaribu mipango,

2. Mbowe alimkaribisha Lowassa kwa bashasha na kumnadi kana kwamba ndo mkombozi mkuu wa Taifa ili,

3. Slaa alivamiwa kwake asiseme.chochote mpaka akahama nchi, na kusemekana alitishwa sana,

4. Lissu wenda hata kupigwa kwake Risasi ni malipo ya unafiki katika siasa,
Alisema Dr slaa alifungiwa kwenye gari na Josephine hivo na kumfanya ajiuzuru,

5. Alipoulizwa kwanini amekubali.Lowassa ajiunge na CHADEMA akasema kwa kujibu hivi

"Ni ujinga kujifanya humuoni tembo ndani ya uwanja wa mpira" kwamba Lowassa ana nguvu sana na atawafanya kuingia ikulu asubuhi, hihihihihi nilimcheki Lissu nikasema hiiiii,

6. Dr slaa ni msaliti kashawishiwa na mke wake, inamaana chama chenu mliruhusu vipi katika kuwa na watu wasio na.msimamo?

Je bado unaamini Lowassa ni Asset au Liability?

Dr slaa wengi walikubeza lakin muda huu wanaanza kuyaona,

Je Lowassa ni tembo mkubwa ndani ya uwanja wa mpira kama alivyosema Lissu huku akijiuma uma?

Hawakujua kwamba Lowassa pamoja na hasira zake zote ye alihamia CHADEMA kwa faida zake na wala so kwa CHADEMA wala nchi,

1. Waliomchafua ndo walimtakasa nchi nzima wakiwepo watu nguli kama Lissu na Mbowe,

2. Azma yake ya kugombea urais kwa njia yeyote imetimia,

3. Title yake itaendelea kuwa kubwa kama mgombea wa urais aliyeshindwa maana tittle ya uwaziri mkuu wake ina doa la kufukuzwa( kwa mujibu wa maelezo ya Slaa,Mtikila na kikwete
 
Last edited:
"Ole wake mkurugenzi atangaze mpinzani kashinda wakati namlipa mshahara, posho na gari nimempa mimi" Rais Magufuli

"Mh Spika nakuagiza wale walopokaji (wabunge wa upinzani) ndani ya bunge watoe wote waje waropokee huku nje, na wakija huku nje wasikokuwa na immunity yoyote na Mimi nitadili nao" Rais Magufuli
 
"Ni bora kuingia Ikulu hata kwa nguvu ya Shetani"

Hahahaaaa shetani huwa hataniiii,anakuchekea,halafu baadae anakuonyesha sura yake kamili.
Ref:wimbo wa bahati Bukuku "mzee tupatupa.
 
ww umepewa mkoa au wilaya au ndio bado unachangamkia fursa ukumbukwe
 
Lowasa alikuwa na impact sana. Kweli alikuwa ni Tembo ndani ya Upinzani. Ila Hakuna kitu kisicho na mwisho. Kama sasa sio Tembo, haimaanishi kwamba wakati anahama hakuwa Tembo. Huwezi ukawa Tembo milele. Hata kikwete hakupata kura nyingi Mara ya pili kama ilivyokuwa Mara ya kwanza. Mara ya kwanza alikuwa Tembo.
 
....."Leo hii hata Magufuli anaiogopa CCM kama ukoma hawezi kuchezea misingi yake, wakiamua wanamuweka pembeni mapema""',

Hizi sijui tafiti za wapi!!
Misingi ya CCM ni kutishia kupiga shangazi wa PM?! Mauaji ya kwenye viroba,na binduki kwa kina Lissu na Nape je?!!
 
Last edited:
Kauli hiyo aliitamka Lissu kwa kejeli akiwakejeli wasioona nguvu ya Lowassa ndani ya nchi,
Nawaambia hakuna mtu mwenye nguvu dhidi ya taasisi yeyote imara, labda kwa CHADEMA ndipo mwenyewe Mbowe ana nguvu kuliko chama, na hii inamifano mingi, ipo siku tutaijadili ,
Lakin kwa Taasisi imara kama CCM au Democrat au Republican za USA mtu hana nguvu dhidi ya chama, Leo hii hata Magufuli anaiogopa CCM kama ukoma hawezi kuchezea misingi yake, wakiamua wanamuweka pembeni mapema,

Tuangalie suala la Lissu kuamini katika Lowassa na si kuamini katika CHADEMA, ni ama Lissu alikuwa n.a. aibu akiwa anaongea bila kuwaza mantiki ya anachoongea, au aliteleza, maana kwa uwezo wa Lissu so mtu wa kuyumba kwa kipindi kile, ni bora angekaa kimya kama Mnyika, Lema na Kubenea,
Ilikuwa ni kama watu hawaelewi Slaa anamaanisha nini,

Nakumbuka mambo yafuatayo
1. Prof Safari aliichana barua ya Slaa kujiuzulu na kuiweka kwenye koti la Slaa kwa nguvu akisema ataaribu mipango,

2. Mbowe alimkaribisha Lowassa kwa bashasha na kumnadi kana kwamba ndo mkombozi mkuu wa Taifa ili,

3. Slaa alivamiwa kwake asiseme.chochote mpaka akahama nchi, na kusemekana alitishwa sana,

4. Lissu wenda hata kupigwa kwake Risasi ni malipo ya unafiki katika siasa,
Alisema Dr slaa alifungiwa kwenye gari na Josephine hivo na kumfanya ajiuzuru,

5. Alipoulizwa kwanini amekubali.Lowassa ajiunge na CHADEMA akasema kwa kujibu hivi

"Ni ujinga kujifanya humuoni tembo ndani ya uwanja wa mpira" kwamba Lowassa ana nguvu sana na atawafanya kuingia ikulu asubuhi, hihihihihi nilimcheki Lissu nikasema hiiiii,

6. Dr slaa ni msaliti kashawishiwa na mke wake, inamaana chama chenu mliruhusu vipi katika kuwa na watu wasio na.msimamo?

Je bado unaamini Lowassa ni Asset au Liability?

Dr slaa wengi walikubeza lakin muda huu wanaanza kuyaona,

Je Lowassa ni tembo mkubwa ndani ya uwanja wa mpira kama alivyosema Lissu huku akijiuma uma?

Hawakujua kwamba Lowassa pamoja na hasira zake zote ye alihamia CHADEMA kwa faida zake na wala so kwa CHADEMA wala nchi,

1. Waliomchafua ndo walimtakasa nchi nzima wakiwepo watu nguli kama Lissu na Mbowe,

2. Azma yake ya kugombea urais kwa njia yeyote imetimia,

3. Title yake itaendelea kuwa kubwa kama mgombea wa urais aliyeshindwa maana tittle ya uwaziri mkuu wake ina doa la kufukuzwa( kwa mujibu wa maelezo ya Slaa,Mtikila na kikwete
Mbona mnaumia hivi so mmesema chadema itakufa, na jiwe amejiapiza kuiua chadema kabla ya 2020, nadhani ni wakati wenu kufurahi, au MNA andamwa na guilty consciousness, kwamba mnaua taasisi isiyokuwa na hatia,
acha chadema ifee kwa nguvu za dola, sioni mantiki ya mantiki ya kuinanga chadema wakati mlishajiapiza mpaka kuzimu ife
 
"Ni bora kuingia Ikulu hata kwa nguvu ya Shetani"

Hahahaaaa shetani huwa hataniiii,anakuchekea,halafu baadae anakuonyesha sura yake kamili.
Ref:wimbo wa bahati Bukuku "mzee tupatupa.
We nawe kuwa balozi Sweden unaona umepata. Huo ubalozi utaisha 2021, utarudi bongo kusugua matako. Alafu tunakudai shule ulituahidi, kabla ya kwenda canada
 
Magufuli uyu aliesema atamchapa shangazi waziri mkuu? Au Magufuli uyu anaeteua waliotoka upinzani na kuacha vijana wanaopigania chama? Magufuli ni mkubwa zaidi ya ccm na hakuna wakumuambia chochote.
Kavuruga kanuni za chama kwa kupitisha watu wake, Mtulia kapitishwa na Magufuli na hakuna aliefungua mdomo kuongea chochote.
 
"Ole wake mkurugenzi atangaze mpinzani kashinda wakati namlipa mshahara, posho na gari nimempa mimi" Rais Magufuli

"Mh Spika nakuagiza wale walopokaji (wabunge wa upinzani) ndani ya bunge watoe wote waje waropokee huku nje, na wakija huku nje wasikokuwa na immunity yoyote na Mimi nitadili nao" Rais Magufuli
Naam!!kama unaropoka ovyo ufanywe nini?Kwani nini maana ya kuropoka?Je dawa yao ni nini?Pili ngeomba uje na clip ya hiyo quote ya kwanza na ukifanikisha kuleta hiyo clip Ntaamba nipigwe ban maisha.
 
"Ole wake mkurugenzi atangaze mpinzani kashinda wakati namlipa mshahara, posho na gari nimempa mimi" Rais Magufuli

"Mh Spika nakuagiza wale walopokaji (wabunge wa upinzani) ndani ya bunge watoe wote waje waropokee huku nje, na wakija huku nje wasikokuwa na immunity yoyote na Mimi nitadili nao" Rais Magufuli
 
Mbowe alimkaribisha Lowassa kwa bashasha na kumnadi kana kwamba ndo mkombozi mkuu wa Taifa ili,
Kama hamuhusiki na hiki kinachoendelea ndani ya CHADEMA bado hamjajifunza kosa walilo lifanya CHADEMA kwa kumchukua Lowassa aliyetemwa na CCM? kwa kufanya makosa yaleyale yaliyofanywa na CHADEMA,kwa kuyachukua makapi yaliyofukuzwa na CHADEMA na kuyatumia kama turufu ya kujipatia ushindi kwenye uchaguzi.
 
We nawe kuwa balozi Sweden unaona umepata. Huo ubalozi utaisha 2021, utarudi bongo kusugua matako. Alafu tunakudai shule ulituahidi, kabla ya kwenda canada

Hapo utasubiri sana best.Kusugua matako!!!!!
Tatizo la watanzania kutwa kuwaombea watu mabaya.
Mlimsogeza Chura kwenye kusima cha maji...anaogelea kwa sasa.
 
"Wabunge wa kusini wako wangapi?Sioni shida kufukuza wote,hata waziri mkuu ningeanza kupiga shangazi zake"

"ingekuwa Mimi kipindi cha JK,NEC wakaniimbia wana imani Na mtu Fulani,ihhiiiiiiii ningefukuza hata nusu ya wajumbe uanachama!"
 
Back
Top Bottom