Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito kwa viongozi wa kisiasa, wanaharakati, na jamii kwa ujumla kuacha kurejea matukio yaliyotokea wakati wa...
1 Reactions
26 Replies
889 Views
Idara ya BBC Africa Eye imetangaza kuja na uchunguzi mpya maalum unaoitwa “STATE OF FEAR” unaohusu matukio ya kikatili na mauaji yaliyotokea mwaka jana october 29, 2025 nchini Tanzania wakati wa...
41 Reactions
124 Replies
4K Views
Baada ya kufanyika maandamano ya Oktoba 29, 2025, yaliyokabiliwa kwa nguvu za kijeshi na vyombo vya ulinzi na usalama, Novemba 3, 2025 Rais Samia Suluhu Hassan, alidai kuwa waliohusika kwenye...
2 Reactions
8 Replies
429 Views
Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini 2026 yenye kauli mbiu ‘Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya...
2 Reactions
18 Replies
614 Views
  • Redirect
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi amewasihi viongozi nchini Tanzania kuwa waangalifu na kauli zao, akisisitiza kuangalia maneno yao watakayoyasema hasa pale...
0 Reactions
– Replies
– Views
Umeitwanna tume ya Chande jana. Tueleze ulihojiwa kujusu nini na what is your take home message from your casual observation ya tume yenyewe! Inclination yake ni ipi? Uliwahoji kwanini wanazima...
1 Reactions
1 Replies
177 Views
Salaam Wakuu, Hapa chini ni barua ya aliyekuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT WAZALENDO, ndugu Luhaga Mpina kwenda kwa Onorius Njole Katibu wa tume ya...
20 Reactions
17 Replies
767 Views
Kama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
6 Reactions
68 Replies
2K Views
Siku chache baada ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Songea Vijijini, Thomas Masorwa, kwa tuhuma za rushwa zinazohusiana na madai ya kushawishi wapiga kura kumpigia Victor Mhagama wakati...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Haya ndugu zangu, Bunge ndo hilo limeanza mmewaonaje hawa wabunge wanawake waliotokana na Uchaguzi wa 2025? Binafsi nimemiss kuona wanawake aina ya kina Halima Mdee bungeni lakini sasa hivi...
0 Reactions
0 Replies
95 Views
Tarehe 29 Oktoba 2025, Tanzania iliingia kizani kimawasiliano baada ya Mamlaka kuzima Mtandao wa intaneti (internet), upande wa pili Serikali ikidai kufanya hivyo kumeweza kuwadhibiti waandamanaji...
0 Reactions
2 Replies
224 Views
Umeua maelfu ya Wananchi wako. Wananchi wana hasira kiasi wakipata nafasi watakunyonga live dunia ishuhudie. Viongozi wa dini ya kikristo wamekukataa waziwazi. Waislam wenye akili na hofu ya...
37 Reactions
90 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, ameshukuru muitikio wa wasimamizi wa vyombo vya habari nchini waliokutana kujadili na kutoka na Azimio la pamoja...
2 Reactions
27 Replies
920 Views
Habari za wakati huu ndugu popote mlipo. Baada ya kukaa na kuwaza juu ya tukio la tarehe 29 October 2025 nimeanza ku-develop theory ambayo nimepata wakati mgumu kutoa hitimisho. Je, hili tukio...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Huo ndio ukweli Sababu zinazotafutwa hapa ni kufungia kanisa katoliki au kuvunja kufuta usajili wa TEC. Hii nayo itakuwa mission impossible.
5 Reactions
40 Replies
1K Views
Victor Mhagama, mtoto wa marehemu Jenista Mhagama, amejitosa kuwania kurithi nafasi ya ubunge ya Peramiho iliyoshikiliwa na mama yake kwa zaidi ya miaka 20 kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)...
6 Reactions
62 Replies
3K Views
Akizungumza na waandishi wa habari leo Nov 25, Waziri Mkuu amesema kuwa raia mwenye uraia pacha aliyekamatwa naa mabomu baada ya kuhojiwa alisema kuwa amebeba mabomu hayo kwa ajili ya kujihami kwa...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
" Niwaombe watanzania wenzagu hii nuru tuliyonayo si kitu cha bedha wala siyo kitu cha kutikisa na kwenda kujaribu, na wasahili wanasema sumu haijaribiwi kwa kuonja tumejionea sisi wenyewe...
2 Reactions
17 Replies
527 Views
Wakati wa kujadili hotuba ya Rais Samia, Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini (CCM), Ester Bulaya, kwenye Bunge la Kumi na Tatu, Mkutano wa Pili, Kikao cha Kwanza Januari 27, 2026, amepongeza juhudi na...
1 Reactions
9 Replies
337 Views
"Amani tuliyonayo ni matokeo ya kuheshimiana, kuzingatia misingi ya haki, wajibu na kila mmoja wetu kutimiza wajibu wake." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu Amesema hayo Januari 27, 2026 katika...
0 Reactions
5 Replies
208 Views
Back
Top Bottom