Kada wa Chama Cha Mapinduzi na Aliyekuwa Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM Tawi la Chuo Cha Kodi na Mjumbe wa Seneti ya Dar es Salaam Mwaka 2021/2022. Farid Amanzi ametangaza Nia ya Kuchukua FOMU...
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Makurumla,Bakari Kimwanga, amechukua fomu kitetea nafasi hiyo ambayo ameiongoza kwa miaka mitano iliyopita
Leo Juni 29,2025 amekabidhiwa fomu na Katibu wa Kata wa CCM...
Mbunge wa Viti maalum Christina Mzava achukua fomu ya kugombea Ubunge kwa mara nyingine katika ofisi ya UWT mkoa wa Shinyanga.
Kumbuka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefungua rasmi mchakato wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nipo kimya na nimetulia kwa utulivu mkubwa sana huku macho ,masikio na mawazo yangu yote yakiwa yameelekezwa katika kufuatilia kwa kina sana na kwa ukaribu mkubwa sana...
Mwanaccm Mwenzake Easter Bulaya tayari kishachukua fomu Bunda Mjini, Yeye anasubiri nini?
Wengi wanadhani huenda akajitosa Siku ya Jumatatu katika Jimbo ambalo halijawekwa Wazi.
Ngoja tusubiri...
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa anayewakilisha Wilaya ya Ilemela, mkoani Mwanza, Kafiti Kafiti, leo Jumapili Juni 29, 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la...
Waziri wa Maji na Mbunge wa Pangani Mhe. Jumaa Aweso amechukua na kurejesha fomu ya kugombea tena Ubunge wa jimbo la Pangani mkoani Tanga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Fomu hiyo...
Mbunge anayemaliza muda wake wa jimbo la Arusha mjini na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa huo Mrisho Gambo @mrisho_gambo amechukua tena fomu ya kuwania nafasi ya kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi...
Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango, Jamal Kassim Ali amechukua fomu ya Ubunge Jimbo la Magomeni visiwani Zanzibar, akiwa na dhamira ya kutetea kiti chake hicho cha ubunge kwa...
zaidi ya miongo mitatu Tanzania ikiwa chini ya mfumo wa vyama vingi chini ya katiba ya chama kimoja,iliyovishwa viraka vya mfumo wa vyama vingi, ikiendelea bila mfumo sahihi wa uchaguzi wa...
Kada maarufu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ,Ndugu Mawazo ngwelenje amejitosa katika mbio za Ubunge wa jimbo la Liwale Mkoani Lindi kwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa.
Ngwelenje amekabidhiwa fomu...
IRAMBA KUMEKUCHA, ENG. JUMBE KATALA ACHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA IRAMBA MAGHARIBI.
Wakati ambapo joto la watia Nia katika majimbo na kata mbalimbali nchini likiendelea kuongezeka kwa upande wa...
Kiongozi wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fortunatus Muhalila amechukua fomu ya kugombea ubunge Muleba Kaskazini, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Muhalila amekabidhiwa fomu hiyo leo...
Mwanasiasa kijana na mtaalamu wa masuala ya udhibiti wa bidhaa za tiba, Japhari Saidi, amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa Jimbo la...
Dk Aloys Rugazia, Mkufunzi wa Haki za Binadamu, Utawala Bora na Usaidizi wa Kisheria kutoka Shule ya Mafunzo kwa Vitendo Tanzania (kulia), akikabidhiwa fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge...
Katibu wa Diaspora wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Masoud Hassan Maftah, akichukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Amesema amefanya hivyo kufuata utaratibu kama...
Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Bovan Mwakyambiki achukua Fomu ya kugombea Udiwani Kata ya Mkimbizi Manispaa ya Iringa katika uchaguzi Mkuu wa Oct 2025.
Akizungumza mara baada ya Kuchukua...
Wakuu,
Kwa sasa jimbo hilo halina Mbunge baada ya aliyekuwapo Dk Tulia Ackson kutangaza kugombea Jimbo jipya la Uyole katika uchaguzi mkuu ujao.
Mpaka sasa makada watano wa CCM, wametia nia...
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo, Janeth Ritte, ametangaza kwa msisitizo kuwa wanawake wa chama hicho wako tayari kumpigania na kumuunga mkono Dorothy Semu, Kiongozi wa Chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.