Habari zenu wanaJF wenzangu
Ndugu Lisu kwanza napenda nianze kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Najua hatujuani, lakini hilo haliwezi kuwa sababu ya mimi kuacha kukushauri...
Hofu isiyoonekana ni ugonjwa wa akili mbaya sana sana, Hofu inahitaji tiba ya kisaikolojia, Jambo linaloisumbua Chadema ni hofu ya kumpa uenyekiti wa chama mtu tofauti na Freeman Mbowe
Wana...
Nchi hii haikosi vituko. Ukiamua kununa ni wewe mwenyewe tu umeamua. Kuna kila aina ya vichekesho nchi hii kuanzia kwa viongozi mpaka kwa wananchi.
Lakini kinachochekesha zaidi ni kuwa...
Habari wana JF ,hivi kuna haja gani kwa Chama kushika Nchi zaidi ya miaka 45 na bado nchi nzima kukawa bado ukosegu wa Huduma za Msingi kama Maji safi ,Afya na miundombinu mibovu kwa Nchi yenye...
Chama kikuu Cha upinzani Lakini hakina kiongozi wa Juu mstaafu hata mmoja
Kwa mfano CCM Kuna Kikwete, Malecela, Msekwa, Makamba, Mangula, Kinana, Chongolo, Mpogoro, Dr Bashiru, Polepole, Nape...
WanaChadema wanaomkosoa Mbowe wamekosea timing kwani nini sasa ni sio enzi hizo kama kweli alikosea ? Wanaonekana wana cheap propaganda za uchaguzi
Lisu kaunda kamati ya fitina na majungu yeye...
Swali, Je, huenda Freeman Mbowe akajitoa ili kulinda heshima kidogo aliyonayo au yuko tayari kubeba aibu kwa gharama ya chawa wake||
Taarifa za chinichini ni kwamba,
Mtia nia wa nafasi ya...
Habari zenu waungwana, natumaini mko poa na mnaendelea vizuri sana na majukumu na mapumziko ya mwisho wa mwaka. Kwa kuwa leo ni siku ya mapumziko nimaemua kuitumia kuwaandikia na kuwahimiza...
Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa
"Nimepewa taarifa na mtu wa heshima sana kuhusu maandalizi ya vurugu kwenye uchaguzi.
Kuna watu wanaandaliwa waje...
Au Kwa Chadema Ulinzi wa Makomandoo ni Kwa viongozi Wote wa Juu?
Kwa vyama vingine kikiwemo CCM kwenye Siasa huwezi kuona Makomandoo wakiwa sehemu ya Ulinzi wa viongozi Wakuu Merry Christmas 🌹
Maandishi ya Ben Saanane
Kuanzia nilipoibua mjadala wa Uhalali wa Phd ya Mhe.Magufuli niliacha rasmi kumu-address kama Dr.Magufuli na kutumia Ndugu au Mheshimiwa tu hadi itakapothibitika ni...
Salaam wana bodi ,kwanza niwatakieni siku kuu njema ya krismas na heri ya mwaka mpya wa 2025.nirudi kwenye madam yangu.hivi inawezekana mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ,kuwa sahihi wakati...
Mpaka hivi sasa tunavyoongea, Mwenyekiti Mbowe hajawahi kusafishwa na mahakama wala serikali wala chombo chochote nchini kuwa tuhuma za serikali kwa Mbowe kuhusu Ugaidi zilikuwa za uwongo. Sisi...
Siasa za Afrika zina matatizo mengi sana, tukubali tu kuongozwa na CCM kikubwa waendelee kutii muongozo wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, CCM ndicho...
Utajiri wa Freeman Mbowe umeibua maswali na hoja kutoka kwa baadhi ya wanachama na wachambuzi wa kisiasa kuhusu namna ambavyo haunufaishi chama moja kwa moja. Hapa kuna sababu na mifano dhahiri...
Hiyo ndio Organization chart ya Chadema
Juu kabisa pale Kwa Mbowe ni pa kudumu
Na chini kabisa Kwa John Mrema ni pa kudumu
Hapo katikati ndio Kuna wanasiasa wanaobadilishana wamepita akina...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano ya amani Januari 24 mwaka huu mkoani Dar es Salaam kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni ya wadau kuhusu masuala ya uchaguzi...
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Willibrod Peter Slaa akizungumza hivi karibuni kupitia jukwaa la Kumekucha la mtandao wa Clubhouse.
"Mimi kwa maoni...