Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hata hivyo, sura zaidi ya sekeseke hili zinatarajiwa kujitokeza ikiwa ni pamoja na sura ya kizalendo na ile ya ukibaraka, nazo zitachukua mkondo wake kwa wakati muafaka. Mpaka sasa, tayari kuna...
4 Reactions
56 Replies
2K Views
Ezekiah Wenje ambae anagombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa Chadema taifa na ambae ni mfuasi wa Mbowe anasema "ndani ya Chadema huwa tunasema kama huna cheo basi utakuwa mkunja ngumi tu" Kwenu...
4 Reactions
15 Replies
885 Views
Tumesikia operation( Operesheni) nyingi lakini hii ilikuwa kiboko. Sikuwahi kusikia hii Operation, nyinyi wenzangu mliisikia? Au ni uongo wa hawa waandishi wa kuokoteza habari vichochoroni? Sawa...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Mtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao. Pia soma: Makonda kutoa mafuta lita 20,000 kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama Hayo yalisemwa na Mkuu wa mkoa wa...
7 Reactions
49 Replies
3K Views
Ni dhahiri Sasa Kuna Chadema mbili ile ya Matajiri inayafadhiliwa kwa c/I ya Wenje na hii Asilia ya Wakunja Ngumi ambayo Mzee Nyanga Bob Makani aliwaachia Bure Nyumba yake iwe ndio Makao makuu...
1 Reactions
4 Replies
339 Views
Hii ndio habari nimeona mtandaoni jioni hii: Mahojiano yatakuwa live kupitia YouTube. https://www.youtube.com/watch?v=PjKQHmASvCM
6 Reactions
21 Replies
1K Views
The – book – I – Read, 2024 Ni wakati mwingine tena wa mwisho wa mwaka, tunapoelekea kuhitimisha mwaka 2024, na kuimba ule wimbo maarufu wa “Auld Lang Syne, tukimaanisha ‘For the Sake of Old...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Miezi kadhaa imepita sasa Tunapenda kuhoji kama mradi wa SGR kipande cha Mwanza kimesimama au mradi unaendelea Maana siku zimepita bila kushuhudia wakandarsi wakifanya kazi katika mradi huo...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Watanzania tunaendelea kushangazwa sana na kimya kizito kinachoendelea Cha Rais Samia, kuhusu kifo Cha kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita. Nakumbuka Rais Samia...
23 Reactions
98 Replies
5K Views
Nimepita Jana kuelekea Mwanza na kujionea hali halisi ilivyo baada ya kufika eneo la mradi nimekuta walinzi tu wakilinda vifaa vya wachina hata hivyo baadhi ya watu waliopo kwenye mradi huo...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Mwaka 2015 Lowasa alisema akishinda atamleta Gavana mstaafu wa BoT Dr Balal aliyeaminika kuwa amekufa Kubenea akiwa Mbunge wa Chadema alisema anajua Msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema Mh Ben...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Lissu yupo straight hapindishi maneno kama alivyokuwa Magufuli koleo analiita koleo sio kijiko kikubwa. Enzi za Magufuli ukifanya kosa alikuwa hasubiri akuite ofisini anakutumbua hadharani, kina...
35 Reactions
105 Replies
4K Views
Uchaguzi ndani ya CHADEMA, umesimamisha mijadala ya vyama vingine vyote, hii ndio maana halisi ya chama chenye nguvu ndani ya nchi, japo hakiongozi Serikali
1 Reactions
2 Replies
191 Views
Kwa ukwasi alio nao Mboe. Sioni wa kumnyima kura
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Tangu nikiwa mdogo nilipenda kufuatilia visa vya viongozi waliotawala kwa mkono wa chuma kama vile Stalin, Mussolini, Lenin, Hitler, Suharto, Iddi Amin, Mobutu, Kagame, Bokassa na wengineo...
43 Reactions
231 Replies
13K Views
Nafikiri mmejionea wenyewe karma ilichomfanyia mtu wenu ambae baadhi yenu mlifika hatua ya kumfananisha na Mungu.
4 Reactions
13 Replies
723 Views
Ukifuatilia kwa umakini na ukaribu zaidi, uelekeo wa siasa za Tanzania, utagundua kwamba, Dr.Samia Suluhu Hassan, anakwenda kurekodi na kuandika historia mpya ya kuaminika zaidi kama Rais wa...
1 Reactions
14 Replies
997 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
𝐓𝐋𝐒 𝐘𝐀𝐋𝐀𝐀𝐍𝐈 𝐑𝐔𝐒𝐇𝐖𝐀 𝐊𝐀𝐓𝐈𝐊𝐀 U𝐂𝐇𝐀𝐆𝐔𝐙𝐈 WA 𝐍𝐃𝐀𝐍𝐈 WA 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀 Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kimetoa tamko rasmi kulaani vitendo vya rushwa vinavyoendelea katika uchaguzi wa ndani wa...
2 Reactions
15 Replies
785 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…