Uimara wa CHADEMA kwenye siasa za ushindani

Uimara wa CHADEMA kwenye siasa za ushindani

Mqk

New Member
Joined
Dec 20, 2024
Posts
2
Reaction score
1
Uchaguzi ndani ya CHADEMA, umesimamisha mijadala ya vyama vingine vyote, hii ndio maana halisi ya chama chenye nguvu ndani ya nchi, japo hakiongozi Serikali
 
Licha ya madhaifu yao ila wameweza kuteka hisia za wafuasi wao na wananchi kwa mwezi mzima. Hiki sio kitu kidogo NCCR,. TLP au CUF hawawezi kufanya hicho kitu
 
Back
Top Bottom