Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wagombe wawili watangaza hadharani kumuunga makamu mkiti wa chadema Taifa... Ushauri wangu kwao wawe na akiba ya maneno 6h
1 Reactions
1 Replies
271 Views
Nimeshangaa sana mtoto wa Mjini na Kiongozi wa siasa Kwa Miaka 34 Mzee Freeman Mbowe kuamini kuwa Kura zikihesabiwa mbele ya Camera ndio hazijaibiwa Kwa Maana hiyo Chadema mko nyuma sana kifikra...
1 Reactions
10 Replies
592 Views
GTs, Dkt Samia na jopo lake asilaumiwe kwa yanayoendelea. Dogo ndiyo tatizo, yaani Muliro mcheki sura yake yaani mwili na roho havisomani kabisa na ukizingatia ni January.
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma, Hemed Chale, ametoa msaada wa chakula kwa wahanga wa maafa yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha tarehe 28 Desemba 2024...
2 Reactions
3 Replies
362 Views
Nimekuwa shocked na maelezo ya Mbowe yakionyesha kumbe kwa muda mrefu amejua watekaji na wauaji ni nani, kwamba kilikuwa kikosi maalumu kilichoundwa na serikali kwa madhumuni ya "amani na...
10 Reactions
15 Replies
1K Views
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema katika utendaji wake asitarajiwe kuonekana zaidi ofisini bali atajikita kwenye ziara kukagua miradi mbalimbali ikiwemo barabara, ili kuona uhalisia wa...
2 Reactions
10 Replies
837 Views
Anaandika Absalom Kibanda Katika hili kundi lililofungiwa sina cha kuficha hata kimoja. Usitumie moyo au ulimi kufikiri. Jeuri na nguvu ya CHADEMA leo ni matokeo ya kazi ya kutukuka ya Freeman...
19 Reactions
78 Replies
5K Views
"Bila shaka hii ni kwa sasa, vinginevyo labda kwa siku za usoni." Hoja hupingwa kwa hoja. Anaandika msomi, tukisubiria za kina Sugu: "Ubunifu wa Mbowe miaka ya nyuma ulikuwa asset kubwa kwa...
11 Reactions
22 Replies
1K Views
Yamekuwa yakisikika maneno: "JF ni Raha sana." Kwa hakika ni kwa maana yake kamili. Hayo ni pamoja na kuwaona baadhi ya wajumbe wakijitutumua kujaribu kuwazodoa watu ambao dunia Kwa ujumla wake...
21 Reactions
134 Replies
4K Views
Rais DK.Samia anazidi Kujipambanua na kujitofautisha na watangulizi wake Kwa kuacha alama. Kutokana na sera yake ya kufungua Uchumi wa Nchi, Halmashauri ya Jiji la Arusha inatarajia kukusanya...
3 Reactions
63 Replies
3K Views
Hawa ni watu wa karibu zaidi wa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambao kama atashinda basi atavuka nao kama watu wake wa mkakati. Hawa kama hamjui ndiyo walipewa dili la Join The Chain...
20 Reactions
73 Replies
4K Views
Mwalimu Nyerere ndiye aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu wa kwanza baada ya Tanganyika kupata Uhuru na Tanganyika ilipoungana na Zanzibar kuunda Tanzania. Mwalimu yeye ndiye aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu...
14 Reactions
174 Replies
8K Views
Ilikuwa kama utani na ilianza tetesi kwamba Tundu Lissu ameamua kupambana na Mwenyekiti wake ili kumpata kiongozi mpya atakayekiongoza chama hicho kwa miaka mitano ijayo Sasa ni rasmi mafahali...
14 Reactions
142 Replies
5K Views
Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni...
17 Reactions
106 Replies
5K Views
Wamesikika chawa wa Mama wakijinasibu na tafsiri zao kuhusiana na alichosema Mbowe Mwanza. Kwamba Mbowe kalazimika kusema kushughulika na CCM ni kama hivi: Na bado chawa wa Mama wanakenua...
4 Reactions
48 Replies
2K Views
Lissu amkomalia JK MNADHIMU wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu, ameendelea kumwandama Rais Jakaya Kikwete, akisema baadhi ya majaji aliowateua hawana sifa, na kwamba viongozi wa...
50 Reactions
231 Replies
38K Views
Kwa kuangalia jinsi Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA, na Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, wanavyoishi na kushirikiana kisiasa, ni dhahiri kwamba kuna hali ya kutatanisha. Naamini...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Wanaojiita Watanzania waishio nje ya nchi wametangaza kutoa takrima kwa yeyote atakayeripoti habari ya kinachoitwa rushwa kuelekea Mkutano Mkuu wa Chadema Januari 21 Katika Tangazo linalosambazwa...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Ni katika kupata kuwafahamu vizuri kama tulivyomuassess Mzee Lowassa 2015 Nimekaa pale Lumumba nasubiri Majawabu Navalonge swela 🐼😂
1 Reactions
10 Replies
482 Views
Ni wazi ukomavu wa kisiasa na kidemokrasia ndani chama cha demokrasia na maendeleo chadema, miongoni mwa wanaogombea uongozi wa kitaifa, wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa wanachama na...
0 Reactions
22 Replies
943 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…