Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Wananchi wa Mtaa Sinza B, Wilaya ya Ubungo Dar Es Salaam wamelalamikia kutokubandikwa kwa majina yao nje ya kituo cha kupiga kura cha Shule ya Sekondari Mashujaa jambo linalopekea wao...
0 Reactions
0 Replies
432 Views
Wakuu, Bwana Bumunda na wanchi mbalimbali wajitokeza kupiga kura uchaguzi wa serikali ya mtaa kama mnavyoona kwenye picha. Hivi ndio walisema saa nne matokeo yanakuwa tayari eeeh? :BearLaugh...
2 Reactions
0 Replies
312 Views
Wakuu, Sarakasi za Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa zinaendelea huko Mbeya mambo yameanza kuchanganya! Zoezi la upigaji kura katika kata ya Ubaruku limesitishwa kwa maelezo kutoka kwa Mkurugenzi...
1 Reactions
4 Replies
551 Views
CHADEMA iliingia kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu 2024 ikiwa na malengo mawili. Kwanza CHADEMA walikusudia kuonesha kwamba kwa kutumia mfumo huu wa uchaguzi unaopendelewa na CCM...
26 Reactions
75 Replies
4K Views
Mjumbe wa kamati kuu CHADEMA taifa Patrick Ole Sosopi Patrick ole Sosopi akielezea uovu waliokutana nao wakati wa kuapisha mawakala wa chama hicho wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kata ya Idodi...
0 Reactions
0 Replies
279 Views
Vyombo vya habari vitaelekeza macho Leo Ikungi Kwa Mhe. Tundu Lissu. Na iwapo ikitokea CHADEMA wakashinda vijiji vingi kulinganisha na CCM hii inaweza kuzima kabisa mtanzamo wa jumla na kuonekana...
2 Reactions
3 Replies
437 Views
Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, kwa kushirikiana na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kagera, Mhe. Oliver Daniel Semuguruka, wamehitimisha kampeni za wagombea nafasi za uongozi...
0 Reactions
9 Replies
651 Views
Wakuu, Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amewataka vijana wa Mwandiga, mkoani Kigoma kuhakikisha wanapiga doria katika eneo lao siku ya uchaguzi ili kuzuia mtu yeyote asiyekuwa...
1 Reactions
2 Replies
479 Views
Hivi karibuni huko Tanzania Bara kumekuwa na mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo leo Novemba 27, 2024 Wananchi wanapiga kura. Mimi kama mdau wa siasa na mifumo ya Uchaguzi Zanzibar...
6 Reactions
3 Replies
636 Views
MNEC Salim Abri Asas akizungumza na waandishi wa habari mkoa wa Iringa baada ya kupiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa leo Kituo Cha chuo Cha Afya kata ya Gangilonga Anasema “Wananchi...
0 Reactions
0 Replies
423 Views
WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Geita. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite...
1 Reactions
3 Replies
807 Views
Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zimehitimishwa rasmi hapo jana, Jumanne Novemba 26.2024 huku leo, Jumatano Novemba 27.2024 zoezi linalosubiriwa na wengi ni la upigaji wa kura, ambapo...
0 Reactions
1 Replies
422 Views
MAKAMU wa pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla amewataka Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutowachukia wagombea wa vyama vingine waliojitokeza kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa...
0 Reactions
0 Replies
342 Views
HISTORIA Mkoa wa Arusha ni moja kati ya Mikoa 26 ya Tanzania Bara, wenye ukubwa wa KM za mraba 34,515.5. Idadi ya watu kwa ongezeko la 2.7% kwa mwaka na inakadiriwa kufikia jumla ya watu wapatao...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amesema kampeni za chama hicho zilizofanyika kwa siku sita katika majimbo nane ya mkoa...
0 Reactions
0 Replies
296 Views
Mbunge wa Makete (CCM), Festo Sanga ni mmoja kati ya Wabunge ambao wamejitokeza kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024 katika Mikoa yote Nchini. Sanga...
1 Reactions
1 Replies
471 Views
Kuna kauli za kipuuzi zimetolewa na baadhi ya watu eti mtu akipiga kura aondoke, asishuhudie hatua nyingine, eti aende nyumbani asubirie kuambiwa nani ameshinda uchaguzi! Wengine wakathubutu hata...
0 Reactions
0 Replies
262 Views
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma kimesema kimejipanga kwa njia zote kuhakikisha kinalinda amani kabla ya Uchaguzi na baada ya Uchaguzi ikiwemo kuwadhibiti wale wote wenye nia mbaya (ovu) ya...
0 Reactions
10 Replies
498 Views
Wakuu, Hiyo siyo kawaida kwamba CCM wanajiamini sana na kuamini mawakala wao kuwa mambo yataenda vizuri. Kuja jambo linapangwa; 1. Mapolisi kuwa standby wapinzani wakifanya nywi kitatembezwa...
3 Reactions
4 Replies
328 Views
Back
Top Bottom