Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Toa vitambulisho kwa Wajumbe , Wajumbe wengi mpaka sasa hawajapata vitambulisho. Hii haikubaliki. - Godblless Lema Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
=== CHADEMA kwisha habari yake, Poleni sana wanachadema, Sisi Wananchi hatuwezi kuishi kwenye tawi la CCM bora tuende kwenye mti wenyewe.
8 Reactions
51 Replies
3K Views
Nimefanikiwa kuusoma unaoitwa Waraka wa Mabadiliko 2013 uliotayarishwa na Samson Mwigamba, aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha, na kuhaririwa na Kitila Mkumbo, aliyekuwa Mjumbe wa...
2 Reactions
8 Replies
812 Views
Nakumbuka kwenye birthday yake ya kutimia miaka 75 kama sikusoe, namba moja mstaafu kutoka Butiama, alikejeli watoto wadogo wanaokufa wakiwa bado wadogo. Kama namnukuu sawa sawa, alisema, "vitoto...
24 Reactions
99 Replies
5K Views
Wasalaam Habari za uhakika kabisa kutoka ndani ya familia ya Freeman Mbowe ni kwamba amekubali ushauri wa wanafamilia na wazee wa CHADEMA kutogombea uenyekiti wa CHADEMA na badala yake...
36 Reactions
107 Replies
6K Views
Bwana Twaha! Sikia Mie, nilivuliwa uongozi wangu kwa maelekezo ya TAL Januari 9, 2025. Nami, siku hiyo-hiyo ya Januari 9, 2025, niwasilisha rufaa yangu kwa KM tena kwa hati ya dharula chini ya...
13 Reactions
20 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanajamvi. Lema kafanya press conference 3 ndani ya week hoja zake ni zile zile hana jipya. Uhuni wa Lema ni pale alipowaburuza wenyeviti wa mikoa wasiozidi wanne na kuwachanganya...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Akizungumza leo Januari 20, 2025 katika ufunguzi wa Kikao cha Baraza Kuu Mbowe amesema “kila mmoja wetu katika ukumbi huu waliofika Dar Es Salaam na watakaoendelea kuja Dar Es Salaam wote tuje...
1 Reactions
13 Replies
687 Views
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X (zamani Twitter), Lema ameonesha kushangazwa na mwelekeo wa chama kuelekea uchaguzi mkuu wake unaotarajiwa kufanyika kesho, Jumanne, Januari 21, 2025...
1 Reactions
4 Replies
461 Views
Ccm oyee,wazee taifa la leo
4 Reactions
75 Replies
4K Views
Mwaka wa uchaguzi ndio huoo, lakini umepooa kama uji wa mgonjwa? Hakuna zile amsha amsha tulizo zizowea kama kipindi kile cha mwaka 2015 ambapo vijana wa 4u Movement waliungana na vijana wa M4C...
0 Reactions
1 Replies
303 Views
Ili Chadema kiweze kuwa Chama mbadala, kinahitaji major overhaul ya kiuongozi na utendaji. Matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2010, yamoenyesha wazi kuwa safari ya Chadema kuinga Ikulu na kushika hatamu...
8 Reactions
162 Replies
20K Views
Mwenyekiti wa Chadema alipotambulishwa mbele ya Baraza Kuu na katibu mkuu mh Mnyika alisimama na kuwaamkia Wajumbe Mbowe: Shikamoo Wajumbe Chadema imeelekezwa kibra na TAL dadeki 😂😂 Sisi CCM...
18 Reactions
60 Replies
3K Views
Kama CHADEMA mtakataa kuwa tawi la CCM basi DP (Chama Cha Demokrasia) kitawafaa sana au njooni CCM, Mbowe aendelee tu na SACCOS yake. Haya ndio majibizano kati ya Mwanachadema na MwanaCCM...
3 Reactions
12 Replies
796 Views
Uchaguzi wote upo live, na hata waliokatwa kumbe sio wapiga kura wa kesho. Waliokatwa uchaguzi wao utakuwa kesho kutwa Sababu kubwa ni ipi?
1 Reactions
5 Replies
471 Views
Wasalaam, Kuna taarifa za uhakika kutoka kwa mjumbe mmoja wa kamati kuu kwamba CCM wameingilia kati uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha Mbowe anashinda na wajumbe wengi wametumiwa miamala kwa simu...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Baraza kuu la CHADEMA, kwa kauli moja, limekubaliana na maamuzi ya Kamati Kuu ya kuwaengua kina Twaha na genge lao kutogombea ujumbe wa kamati kuu kwa kupiga kura za wazi. Demokrasia inazidi...
4 Reactions
7 Replies
840 Views
Wajumbe wa Mkutano Mkuu salini kwa Mungu wetu ili mtuletee Mwenyekiti anayefaa hata kama mmepewa pesa. Hiyo si hoja Muogopeni Mungu wa Mbiguni. Hofu ya Mungu iwaongoze kesho. Usiku mwema.
0 Reactions
1 Replies
177 Views
Kura zinapigwa na wajumbe;nikiangalia muundo wa CHADEMA na wajumbe wapiga kura sioni Lissu anakura
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Katika vikao vya Baraza Kuu vinavyoendelea leo hii, tayari mambo kadhaa yameanza kutolewa maamuzi. La kwanza ni hili la kuidhisha mtanange wa Wagombea wa Juu wa uongozi wa Chama hicho. Taarifa...
13 Reactions
55 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…