Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Askofu Benson Bagonza anaandika... "Naandika kupongeza. Sina pole za kutoa. Nawapongeza Mwenyekiti (CHADEMA taifa) Tundu Lissu na Makamu wake, mtani wangu John Heche. Hata mimi siamini kama...
14 Reactions
31 Replies
3K Views
Tayari baadhi ya nyumba hizo zilizotumia mabilioni ya pesa zimeanza kukamilika, Asante Mama WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama amewapongeza SUMA...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari ya wakati huu wadau, Nadhani ni wakati mhafaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambna na Rushwa kushughulika na tuhuma zilizokuwa zikienezwa na baadhi ya wagombea wakati wa uchaguzi wa ndani wa...
-1 Reactions
0 Replies
273 Views
Haya Wana Tanga, karibuni kwenye mapokezi ya kishindo ya wanetu Oddo Ummy na January; MAHALI: Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. TAREHE: 19 Agosti 2024, MUDA: Saa 8 Mchana. Chakula, Vinywaji na...
12 Reactions
54 Replies
4K Views
Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume baada ya picha iliyoonyesha wanaume tu wakiwa wamesimama kwenye jukwaa kuu katika mkutano uliomalizika jana Mlimani city...
10 Reactions
108 Replies
6K Views
1. Mwenyekiti kwa niaba ya wanachama wote tunakusihi ni busara kujiuzulu uongozi kwenye Chama umeshindwa kuongoza chama kwa yanayotokea. 2. Uchaguzi Mkuu ujao 2025 tutaangukia pua tena kama 2020...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Ukiangalia Ratiba kwa sasa imeshakua ngumu, Reform ni mchakato mkubwa unaohusisha mpaka Bunge, Bunge limebakiza takribani miezi sita tu kuvunjwa, hizo sheria na katiba atarekebisha nani? Mda...
0 Reactions
15 Replies
991 Views
Nimepata maono ya ajabu sana ya kimungu kuhusu Mh Mbowe. Nimeotehswa Mbowe kavaa jezi namba 17 sijajua maana yake kwa undani lakini nimeona ni share hapa
1 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakuu, Pia soma: Uteuzi: Rais Samia, afanya uteuzi wa Makamishna wa Jeshi la Polisi Desemba 9, 2024
4 Reactions
51 Replies
5K Views
Jinsi machawa sorry CCM walivyplazimika kumpitisha mtu wao, kuna haja ya kufanya uchaguzi na kupoteza fedha na muda? Kama wanaogopana na kuburuzana uchaguzi utanusurika? Najiwazia tu. Kama...
0 Reactions
2 Replies
491 Views
Mgombea uenyekiti wa CHADEMA Taifa na makamu mwenyekiti anayemaliza muda wake, Tundu Lissu, amemteua Godbless Lema kuwa wakala wake katika uchaguzi unaofanyika leo. Kuteuliwa kwa Lema, ambaye si...
8 Reactions
90 Replies
7K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amezungumza na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe baada ya matokeo kutangazwa. Pia soma Pre GE2025 - Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Natoa onyo kwa kikundi kinachoratibu Kufukuza wengine ndani ya CHADEMA, sitaki kuamini kwamba Katibu Mkuu na Mwenyekiti mpya mnaweza kupanga jambo hili duni na la kijinga, kemeeni jambo hili...
22 Reactions
93 Replies
4K Views
Dr Mwakyembe ataka watu waache kuuliza alipo Azory Gwanda. Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amewashangaa watu wanaofuatilia mahali alipo mwandishi wa habari...
5 Reactions
196 Replies
23K Views
Ukitafakari sana, bila kuwa na utando wa kishabiki kichwani, Lissu anaongea kitu cha maana na hapa tayari ameonyesha ku-compromise na CCM. Nimesikiliza mahojiano yake kwa makini sana. Pendekezo...
23 Reactions
134 Replies
6K Views
Wakuu natanguliza salamu , baada ya salamu hii naingia moja kwa moja kwenye hoja , Soko Kuu la Wilaya ya Kyela kwa miaka yote ya Uhai wake lilikuwa mali ya Halmashauri , lilikuwa ni mali ya umma...
15 Reactions
53 Replies
6K Views
Sasa naamini kabisa kuwa CCM hawakujipanga na ujio wa Lissu. Suala la Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA limewashtua na limewaumiza hakika! Kuanza kurudi kwa ma propagandists wa siku nyingi humu...
32 Reactions
146 Replies
5K Views
Siasa ina athari kubwa kwenye mfumo wa maisha ya mtu wa kawaida katika maisha ya kila siku kwa njia mbalimbali, ikiwemo: 1. Uchumi na Ajira: Sera za kisiasa, kama kodi, ruzuku, na sheria za...
0 Reactions
0 Replies
280 Views
"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi...
46 Reactions
629 Replies
79K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…