Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndio hivyo..!😎 Katika kusherekea siku ya kuzaliwa ya Rais Samia, Jumuiya ya Wanawake wa CCM (UWT) mkoa wa Iringa imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wanafunzi wenye Ulemavu na usonji wanaosoma...
0 Reactions
2 Replies
405 Views
Wakuu Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuamini kwenye nguvu ya wasanii katika mikutano yake hakina msaada kwa chama hicho hata kwenye uchaguzi wa...
6 Reactions
58 Replies
4K Views
Wale watuhumiwa wa ufisadi na wizi wa mali za umma wengi wapo mitandaoni wanamshauri Mwanamziki Gozibeth asingechoma moto gari bali angewapa wahitaji au kulirejesha. Kuna baadhi ya wanafiki...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika hatua iliyoshangaza wengi, Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa agizo maalum la kuwekwa hadharani kwa taarifa za siri zilizofichwa kwa miongo kadhaa. Kuhusu mauaji ya Rais John F...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa wito kwa mamlaka zinazohusika na usimamizi wa haki kuhakikisha Dkt. Wilbroad Slaa anapatiwa haki yake ya dhamana, kufuatia kukamatwa kwake...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Lisu kwa nini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ? Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya? Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi. Elimu...
24 Reactions
334 Replies
31K Views
Hakika jeshi limekuja kivingine, ukiweka ugoko wanaweka jiwe. Hii ni moja ya zana ya kisasa ya kudhibiti wahuni kipindi cha uchaguzi, nyingine bado hazijaonyeshwa. Nasubiri nione dizaini ya...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu, Balaa sana, japokuwa tunajua hii mitungi imetoka CCM, hivi si wakirudi kuanza kulialia kwa watanzania kuomba msaada tuwakache? ===== Baadhi ya wasanii wa filamu nchini kwa kushirikiana...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Infact, Itakua ni mwisho wa unafiki, migawanyiko, chuki binafsi, tamaa ya madaraka na vita ya maneno miongoni mwa viongozi wake waandamizi na miongoni mwa wanachadema kwa ujumla. Itakua ni...
2 Reactions
63 Replies
2K Views
Kwa nini viongozi huwa wanaapishwa? Unadhani ule ni utani? Ni agano kati yako na Mungu ukienda kinyume itakutafuna tu,kama sio wewe ni kizazi chako. Kiapo cha mapadre ni hatari sana nina mifano...
0 Reactions
9 Replies
586 Views
Jambo moja nililoona kuhusu Chadema ni kwamba mnashindwa kutumia matukio ya kila siku kuwafunua macho wananchi kwa nini serikali ya CCM haipo madarakani kwa faida yao. Hii ni pamoja na matumizi ya...
7 Reactions
91 Replies
4K Views
Baada ya Rais Samia kupitishwa na wajumbe wa Ccm kuwa mgombea Urais 2025 ambapo kimsingi walifanya maamuzi ayo bila kufata katiba ya Ccm Kwa Kuwa Mgombea aliyepitushwa kwa mijibu wa katiba ya Ccm...
1 Reactions
4 Replies
745 Views
Hii habari imenisikitisha sana Kuna mwanafamilia mmoja wa Mwandishi huyo alisoma nae Tambaza anasema Mwandishi huyo maarufu humu JF aliteswa sana baada ya yale maswali. Ilifika mahali alitamani...
28 Reactions
96 Replies
7K Views
Orodha ya Viongozi watakaohudhuria 1. Bola Tinubu (Nigeria) 2. Ibrahim Traore (Burkina Faso) 3. Felix Tshisekedi (Congo DR) 4. Bassirou Diomaye Diakhar Faye (Senegal) 5. Lazarus Chakwera (Malawi)...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Matembezi haya yenye lengo la kukiimarisha chama na kuleta umoja kati ya Wanachama na makundi mbalimbali ndani ya CHADEMA. Lengo pia ni kuunga mkono demokrasia ndani ya chama na kusapoti msimamo...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya...
1 Reactions
10 Replies
842 Views
Wanabodi, Hili ni bandiko lililotokana na makala yangu hii, kwenye Safu yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa", kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili. Kila nipatapo muda, huja na hizi makala...
21 Reactions
106 Replies
10K Views
Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huwaletea mfufululizo wa makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni bandiko la pongezi na ombi. Pongezi ni kwa Rais Samia, kusafiri kwa kukwea pipa...
18 Reactions
68 Replies
8K Views
Wanabodi! Japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa na sio Chadema, ila mimi ni political advisor mzuri tuu, nimeisha wahi kuwa hired kuwa a political advisor wa taasisi mbalimbali kubwa tuu za...
15 Reactions
61 Replies
5K Views
Tunakumbushana tu Kwa wale wahenga Hii mambo ya kufunga barabara kuna Uchumi wa Watu Wadogo Wadogo unakandamizwa Dominica Njema 😄
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…