Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama cha ACT Wazalendo inaitaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa taarifa rasmi kuhusu hali ya usalama ya wanajeshi wetu walioko katika operesheni za kulinda amani nchini Jamhuri...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwaka huu iwe mwisho wa upinzani uchwara Tanzania kuingia kwenye uchaguzi kama hisani ! Wagombea ATI hawajui kujaza fomu ! Au Kuna mahali mtu anapita bila kupingwa ,au tunasikia mpinzani...
1 Reactions
13 Replies
821 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema anaamini uchaguzi mkuu utakuwa huru ambapo mwenye haki ya kushinda atatangazwa mshindi. Soma Pia: Amos...
1 Reactions
5 Replies
443 Views
MADELEKA: NI AIBU MAGEREZA KUKOSA GARI LA KUBEBA WATUHUMIWA DAR: Wakili Peter Madeleka akizungumzia kitendo cha Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa kukwama kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
6 Reactions
96 Replies
7K Views
Naona jamaa yupo tu mstari wa mbele huko ziarani alipo Mh. Rais. Jamaa yupo bize na kalamu na karatasi anaandika tu kama Gerson Msigwa. Kitaalam imekaaje wakuu?
4 Reactions
71 Replies
12K Views
Anaandika Ngurumo kwenye X. Nimepigiwa simu na BAWACHA waliomtembelea Mwenyekiti Tundu Lissu jana. Ujumbe: "Tulienda kwa upendo, lakini tumeondoka na hisia za visasi. Uongozi mpya haumtaki...
8 Reactions
143 Replies
8K Views
Machawa ni watu wanaojipendekeza kwa wenye mamlaka kwa lengo la kupata manufaa binafsi kwa kuwapongeza na kuwafurahisha kupita kiasi, mara nyingi kwa gharama ya ukweli na uadilifu. Wanaishi kwa...
1 Reactions
8 Replies
625 Views
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri. Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini...
21 Reactions
335 Replies
36K Views
Naona sasa wamendelea kutia nguvu katika harakati zao za kampeni mpaka mashuleni sasa si ndiyo? ================== Tabia za wazazi Wengi kushindwa kuwalea watoto katika malezi yenye maadili mema...
0 Reactions
1 Replies
333 Views
Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Arusha Saipulani .A. Ramsey amesema wao kama mkoa wanamuombea Mungu Rais Samia Ushindi wa Heshima na watanzania wote wakae tayari kuyapokea maisha mazuri...
0 Reactions
0 Replies
459 Views
Wananchi wa vijiji vya Lwega na Mwese vilivyopo halimashauri ya wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wamesema kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia inapaswa iwe endelevu kwani imewajengea...
0 Reactions
0 Replies
382 Views
SADC imeitisha kikao cha Pamoja na EAC Ili kuzuia Vita isisambae Kikao kitafanyika wakati wowote kuanzia Sasa Source Citizen TV
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa mapema leo Viongozi,Wananchi, Wafanyabiashara, Viongozi wa Serikali na siasa wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Taasisi na Watumishi wamefanya usafi wa...
0 Reactions
0 Replies
290 Views
Naona wazee wamesha lamba asali na imekolea utamu! Mpaka nao hawana maana wamekalia uchawa! Tunaenda wapi? Taratibu CCM wanaanza kuingiza mambo za kupita bila kupingwa, tusipokaa vizuri hii...
1 Reactions
1 Replies
460 Views
Mjumbe Kamati ya Siasa (CCM) Wilaya ya Ubungo Hamis Abeid Baruani ameiomba serikali kutoa uhuru wa kufanyika kwa siasa za majukwaani ili Chama Cha Mapinduzi CCM kiweze kushindana kwa hoja na...
0 Reactions
2 Replies
385 Views
Video kwa wale wasio na mihemko na wanaoelewa Kiingereza tu.
11 Reactions
55 Replies
3K Views
Anaandika Lieratus Mwangombe Yesterday, the High Court ordered the Kisutu Court to hear and process Amb. Dr. Slaa's bond today. Shockingly, President Samia's Govt has maliciously failed to bring...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Wabunge na wafanyakazi wengine wa Bunge wakishiriki kwenye shindano la kula kwenye kilele cha Bunge Bonanza 2025. Pia, Soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu...
6 Reactions
102 Replies
4K Views
Nakumbuka namna Tundu Lisu alivyoufafanua mgogoro wa Palestine na Israel kupitia Hamas na IDF na kusoma mwishoni Hamas wataibuka Washindi Na Kweli Hamas ni Washindi Kwa sababu Israel imetii...
2 Reactions
18 Replies
662 Views
Wiki hii taarifa kutoka shirika la misaada la USAid kwenda kwa Taasisi mbalimbali ikiwemo Taasisi ya Benjamin Mkapa juu ya kusitisha ufadhili wa miradi inayohudumia waathirika wa ugonjwa wa UKIMWI...
0 Reactions
2 Replies
517 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…