WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Simiyu. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite...
Mkoa wa Ruvuma umepewa jina kutokana na Mto Ruvuma, ambao ni mpaka wake wa kusini na Msumbiji. Mkoa huu unapakana na Ziwa Nyasa na Mkoa wa Morogoro upande wa magharibi, mikoa ya Iringa na Lindi...
Mkoa wa Rukwa ulianzishwa mwaka 1974 baada ya kugawanywa kutoka mikoa ya Tabora (Mpanda) na Mbeya (Sumbawanga). Mwezi Julai 2010, Serikali ya Awamu ya Nne iligawa Mkoa wa Rukwa na kuanzisha Mkoa...
Mkoa wa Njombe ni mmojawapo kati ya mikoa mipya nchini Tanzania wenye postikodi namba 59000, ukiwa ulianzishwa rasmi mwaka 2012. Unapakana na mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya, na Iringa.
Kutokana...
HISTORIA
Kwa mujibu wa tovuti ya Mkoa wa Manyara, Mkoa huu ulianzishwa kwa tangazo la Serikali Na. 367 lililotolewa tarehe 27 Julai, 2002 na kuchapishwa katika gazeti la Serikali tarehe 2 Agosti...
Mkoa wa Katavi una Halmashauri tano (5) na majimbo ya uchaguzi matano (5) ambapo Jimbo la Mpanda Vijijini linaongoza kwa kuwa na watu wengi (371,836) likifuatiwa na Jimbo la Mpanda Mjini (watu...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mwanza. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kagera. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite...
Mkoa wa Dodoma unapatikana katikati ya Tanzania, unapakana na mikoa ya Manyara, Morogoro, Iringa na Singida. Mkoa wa Dodoma una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 41,310.
Dodoma ni mji mkuu wa...
Mkuu wa mkoa wa Kagera Khajati Fatma Mwassa akiwa kituo cha kilima hewa kata Kashai akiangalia namna wanavyoendelea kujitokeza kwa wingi kupiga kura .Pia ametumia fursa hiyo kuwaomba wananchi...
Wakuu,
"Uchaguzi huu tuufanye kwa amani na utulivu, aliyeshinda atangazwe na ambaye hajashinda asitangazwe. Niwaombe watu wote waliojiandikisha wasiache kuja kutumia haki yao ya kikatiba...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mtwara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite...
Mkuu wa Mkoa Wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko akiwa kwenye foleni kusubiri kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa katika kituo Cha shule ya Msingi Ilembo manispaa ya Mpanda Mkoani...
Wakuu,
Si ndio huko mpaka saivi mgombea kashashikwa na kura zilizopigwa, mnaambiwa muamini mawakala, watafanya kazi nzuri kama malaika!:KEKWlaugh::KEKWlaugh:
Asema usipoelewa utaelimishwa, na...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Lindi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite...
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Pwani. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki...
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite...
Wakati zoezi la upigaji wa kura za kuchagua viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa likiwa limeanza tangu saa 02:00 asubuhi nchini, hali ni tofauti kwa jimbo la Mikumi, wilayani Kilosa, mkoani...
Wakuu wakati zoezi la kupiga kura linaendelea katika maeneo mengi nchini. Baadhi ya maeneo wapiga kura wamendelea kutoa changamoto wanazokutana nazo.
Sasa Katika zoezi la kupiga kura kwa viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.