Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu anaonesha umakini mkubwa sana kwenye Uongozi Kwa mara ya kwanza Nchini Chama Cha siasa kimepata mabadiliko ya kweli ya Uongozi Mabadiliko haya ya...
13 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu, Kunazidi kuchangamka! === Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAVICHA) taifa, John Pambalu amewashauri wanachama wa chama hicho...
1 Reactions
3 Replies
615 Views
Kwanza naomba kuanza kwa kukupongeza kwa mikakati yenu ikiwemo kuzungumza na Viongozi wa Dini ili kuunga mkono kazi nyeti mnayoifanya ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu. Watu hawa ni...
21 Reactions
65 Replies
3K Views
Uchawa wa wasanii wetu umezidi sana! Samia saluti zako umejuwa kutenga anga lako kwenye kila sekta =========== Wasanii maarufu wa Tanzania, Ay, Made na Chege, wamesema Kundi lao la Watu wa tatu...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi Addis Ababa nchini Ethiopia kuanzia tarehe 15 - 16 Februari, 2025 kushiriki Mkutano wa...
1 Reactions
4 Replies
578 Views
https://youtu.be/NRRV25wKN9U?si=Z82mG6EFcURTQFPr ➡Hii combination ya Tundu Lissu na John Heche sio mchezo. Ni wote wanajua kujenga hoja ➡Maelfu ya umati huu Sirari - Tarime leo wakimsikiliza...
1 Reactions
3 Replies
762 Views
Kwanza poleni na majukumu, pia poleni na misiba ya wazee wetu, misiba ambayo inahisiwa ama kuhusishwa moja kwa moja na Covid19. Ama hakika ugonjwa huu upo hivyo tuendelee kuchukua tahadhari zote...
13 Reactions
146 Replies
20K Views
Shujaa Magufuli 2020 akiwa Ikungi alikiri mbele ya Wazee wa Lisu kwamba alitamani sana kufanya kazi na kijana Wao lakini alikataa Leo Tundu Lisu alikuwa anapangikia maneno kama wale Wanasiasa...
12 Reactions
73 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara Chacha Heche amesema katika chama hicho hakuna vibaka wala sio kweli chama hicho kilikuwa kinachukua vijana kutoka Tarime na...
2 Reactions
2 Replies
852 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza dhamira yake ya kuendeleza na kuimarisha ushirikiano wa ndani na kimataifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
539 Views
Tanzania tumeshasema tumechoka kuburuzwa na kundi dogo ndani ya nchi linalojiona lina hatimiliki ya nchi , tabia hizi za kuvunja katiba ya chama hususani mchakato wa uteuzi wa wagombea urais wa...
1 Reactions
12 Replies
671 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni. Hotuba hiyo itafanyika Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, waandishi wote wa...
24 Reactions
156 Replies
8K Views
Wakuu, TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Majaji wa Mahakama ya Rufani, Wenyeviti wa Bodi na kumpangia...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Hii ndio Taarifa Mpya inayotamba mitandaoni kwa sasa Habari kamili hii hapa
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Watu wasiopenda mabadiliko na hasa kutoka CCM wameanza kuamka usingizini na wengine kuingiwa na hofu ya hatma yao baada ya hotuba ya mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. Wengine wanalalamika kama...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa sasa kilio kikubwa cha vijana ni ajira ukosefu wa ajira ni bomu linalosubiri kulipuka. Bahati mbaya hakuna mwanasiasa yoyote Tanzania mwenye majibu namna gani atapunguza ukosefu wa ajira kwa...
3 Reactions
66 Replies
2K Views
Najiuliza tu kwanini wafuasi wa Chadema waliokuwa wanamchukia Shujaa Magufuli ndio hao hao Leo wanamchukia mno Tundu Antipas Lisu Akina Maranja, Yeriko na Boni Yai wakiongoza Sijajua tatizo ni...
0 Reactions
6 Replies
608 Views
Hiki Chama ama kweli kimenivutia. Hiki chama kweli kimeshakuwa na sasa kinaonesha ni chama kinastahili kuwaongoza Watanzania. Walianza kwa kuwaonyesha Watanzania namna gani Uchaguzi huru na haki...
25 Reactions
66 Replies
3K Views
Nani kawahi kumsikia Lissu au Heche kuzungumzia maswala ya jamii? Wao kutwa kuzungumzia uchaguzi, kubishana na Wasira. Lkn kuhusu nini watafanya katika sera za elimu, afya, miundo mbinu sijawahi...
0 Reactions
12 Replies
655 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…