Wakuu,
Kama mnavyojua tumetoka kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa tunauchungulia Uchaguzi Mkuu pale Oktoba 2025. Tumeshuhudia karibia na uchaguzi wa serikali hali ya media ilivyokuwa...
Wakuu,
Huu uchawa nyie🤣🤣😂 hivi Samia ashtuki kufanywa kituko kama hivi jamani? Chawa wanazidi kumharibia maskini, soon atakimbia akiwa anabubujikwa machozi ya huzuni.
Imagine jinsi Marais...
Habari za kuikaribisha wikiendi....na poleni na majukumu ya kutwa nzima na wiki nzima.
Kichwa cha uzi ni usemi uliovuma sana miaka hiyoo niko jeshini...na waliotamka usemi huo walikuwa na maana...
Wakuu,
leo ntwara tangu asubuhi kila huduma imefungwa watu wapo kimakundi makundi wanasikiliza bunge hasa bajeti ya wizara ya nishati na madini,ni magari ya ffu tu ndio yapo barabarani nayo...
Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
.
Kuhusu bandari mimi siungi mkono ubinafsishaji wake hata kidogo! Ibinafsishwe ili sisi tufanye nini? Kwani uendeshaji wake unagharimu nini ambacho hatukimudu kama nchi? Mbona ATCL inapewa ndege...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira, ni mbinu ya kimkakati ya chama hicho ili kuzuia mijadala kuhusu Katiba Mpya.
Akizungumza...
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema haoni sababu ya kumhofia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche iwapo atagombea nafasi ya Ubunge...
Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kuita uchaguzi wa aina hii ni wa 'HURU NA HAKI'. Dunia nzima inaishangaa Tanzania, mbaya zaidi ni pale inapojinasibu huko duniani kote kwamba ni nchi...
Wakazi wa Ikungi, Singida, wanapinga kauli "Hakuna marekebisho, hakuna uchaguzi" kwa sababu eneo hilo ni nyumbani kwa mwanasiasa Tundu Lissu, ambaye ni mkosoaji mkubwa wa serikali. Hivyo...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi, Wakili Dickson Matata amesema kuwa viongozi wa nchi ya Tanzania wamekuwa na changamoto ya kutoheshimu sheria na katiba...
Kuendekeza njaa na maslahi binafsi kwa wana CCM kumekifanya chama hicho kuwa kwenye wakati mgumu sana kupingana na hoja ya CHADEMA na Lissu kuwa No Reform No Election.
Utafiti wangu umeonesha...
Mkoa wa Tabora unapatikana katikati ya Tanzania, unapakana na mikoa ya Shinyanga, Singida, Kigoma, Katavi, na Mbeya. Mkoa wa huu una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 76,151, na ni miongoni mwa...
Habari za jioni ndugu na marafiki,
Poleni sana kwa wote mnao endelea kuathirika na ajali zinazo endelea kutokea barabarani.
Hili jambo limelilazimu kukaa chini namimi nitoe mapendekezo yangu ili...
Wakuu
Baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu leo Februari 14, 2023, wabunge watajadili maelezo ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kuhusu nyongeza ya bajeti na Muhtasari wa Tamko la Sera ya Fedha...
Akizungumza mwishoni mwa wiki, kamishna wa Miradi ya PPP bwana David Kafulila amesema kampuni ya COVEC ya China inapanga kutumia zaidi ya Trilioni 2.7 ($1bln) kwaajili ya kujenga Barabara 10 za...
Msatahiki Meya wa Manispaa ya Mpanda, Hidary Summry, ametimiza ahadi yake kwa kuwapatia baiskeli 20 Makatibu wa Jumuiya na Makatibu wa Matawi katika manispaa hiyo.
Kupata nyuzi za kimkoa...
Ulitahadharishwa kutokea mapema juu ya uchaguzi huu wa serikali za mitaa na kasoro zake tokea uandikishaji kama waziri mwenye dhamana ukadharau.
Ukashauriwa hiki na kile pia ukapuuza hadi...
Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu anaonesha umakini mkubwa sana kwenye Uongozi
Kwa mara ya kwanza Nchini Chama Cha siasa kimepata mabadiliko ya kweli ya Uongozi
Mabadiliko haya ya...
Wakuu,
Kunazidi kuchangamka!
===
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAVICHA) taifa, John Pambalu amewashauri wanachama wa chama hicho...