Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

John Heche amesema hakuna hata senti moja ya mchango itakayopotea kwani fedha hizo huwa zinakaguliwa hadi na CAG. Amesisitiza pia kuwa CHADEMA kuna uwazi hivyo watu waendelee kuchangia. Kupata...
3 Reactions
11 Replies
669 Views
Wakuu, Vitendo vya kuwaingiza watoto kwenye uchawa vinaongezeka kwa kasi sana, CHADEMA walianza kule Mbeya ila baada ya spana za wananchi naona walijifunza. Mbali na kuwaweka watoto kwenye...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Maimuna Pathan, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, mapema jana Februari 27, 2025, amekabidhi kiasi cha shilingi milioni 2 kwa ajili ya Ujenzi wa Nyumba ya Mtumishi wa UWT Wilaya ya Liwale...
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Hii misafara ya viongozi wetu inakera sana.Leo nimeonja adha ya hii kero haba mbezi karibu na standi kuu ya mabasi ya magufuli. Nina mgojwaa nawahi hospitali lakini gari zimezuiwa na nimejaribu...
1 Reactions
6 Replies
498 Views
Heche amesema wana mpango wa kujenga miundombinu mbalimbali katika eneo lenye hekari 130 karibia na Kibaha. Miongoni mwa miundombinu hiyo ni kumbi na vyuo. "Tunataka watu wetu tuwa train pale...
0 Reactions
2 Replies
477 Views
Wako hoi kiuchumi ,taabani kifedha. Makao makuu ya Chadema yana ukata na njaa kali....mara wanakimbilia ubalozi wa Norway tusipate misaada (dola milioni 7.)kila fiscal year.Mara uchaguzi mkuu...
4 Reactions
38 Replies
1K Views
Kukosekana kwa chama kikuu cha upinzani kushiriki uchaguzi mkuu katika nchi kunaweza kuwa na athari kadhaa za kisiasa, kijamii, na kiuchumi. Hizi ni baadhi ya athari zinazoweza kutokea: 1...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mgolobyo, Kijiji cha Mgolobyo Kata ya Miganga mkoani Singida wameelezea Furaha yao mara baada ya kupokea Taulo za kike ( Pads) kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa...
0 Reactions
8 Replies
584 Views
Heche amesema lengo la kampeni ya Tone Tone ni kujenga jamii itakayokuwa na uwezo wa kuhoji na kusimamia vitu kwa sababu na wao wanakuwa na mchango katika kujenga chama "Tunataka kujenga jamii ya...
1 Reactions
2 Replies
476 Views
Luka 19:17 Akamwambia, Vema, mtumwa mwema; kwa vile ulivyokuwa mwaminifu katika neno lililo dogo, uwe na mamlaka juu ya miji kumi. Kuna uhusiano wa uwezo wa uongozi, na uwezo wa kuzalisha faida...
2 Reactions
6 Replies
265 Views
Niende moja kwa moja, nawashauri chadema mkitaka kufanikiwa, wekezeni sana kwenye mitandao ya kijamii, ajirini watu kabisa ikiwezekana. 1. Israel na Hamas vita yao kubwa ilikuwa ardhini, lakini...
0 Reactions
2 Replies
320 Views
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa wilayani Muheza mkoani Tanga katika siku ya tano ya ziara yake ya kikazi, amempisha mwanafunzi kiti chake cha urais akalie kwa muda.
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanabodi, Niko hapa jengo la Acacia, kwenye Stanbic Biashara Incubator, kuhudhuria debate ya Policy Forum kwenye Breakfast kujadili kuhusu kitu kinachoitwa Illicit Financial Flows (A Burden to...
2 Reactions
2 Replies
480 Views
Wakuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongeza utendaji wa Mbunge wa Jimbo la Muheza ambaye pia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo...
2 Reactions
4 Replies
508 Views
Wakuu, Msanii Mabodo Afrika akitoa burudani maalum kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika hafla ya utoaji wa bima za afya kwa wananchi 9,000 wa Jiji la...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Usikose kujiunga nasi katika Mjadala wa "Je, 'Uchawa' unakwamisha Uwajibikaji?" Alhamisi hii ya Februari 27, 2025, kuanzia Saa 12 jioni hadi 2 usiku, kupitia Xspaces ya JamiiForums 'Washtue'...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imewataka baadhi ya Wabunge pamoja na Madiwani wanaojipitisha katika Maeneo mbalimbali na kuhalalisha mitano tena kupitia nafasi zao...
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na sekta Binafsi (PPP), Bwana David Kafulila amevitaka vyuo vya umma nchini kutumia sekta binafsi kujenga mabweni/Hosteli na miradi mingine...
21 Reactions
108 Replies
4K Views
Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja amewaomba wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi katika zoezi la uandikishwaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura lengo likiwa ni kuhakikisha wanakwenda...
0 Reactions
0 Replies
247 Views
Wakuu. Wabunge wa CCM washaanza kutoa siri za kambi Mbunge wa viti maalum Jesca Kishoa hivi karibuni akiwa nanaongea na wananchi amefichua kuwa aliwahi kushauriwa na kiongozi mmoja wa kisiasa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…