Wakuu,
Baada ya wasanii na mashirika mbalimbali kuunga mkono juhudi sasa CCM wameanza kwenda hadi kwa raia wa kigeni.
Kuna muda CCM wanapenda tu watu tuongee mseme watu wanakosoa kila kitu...
Kuna watu humu nimeona nao wanachangia kwa upotoshaji,akiwemo mtu anaitwa Tume ya Katiba juu ya namna Lissu alivyotoka Tanzania kwenda Nairobi.
Kwanza naomba ku-declare kuwa nilishiriki...
Kuna idadi kubwa ya wakimbizi wa congo nchini Burundi nao wanasema malengo yao ni kufika Tanzania kwenye kisiwa cha amani.
Ukweli ni kuwa jamii ya watu wa ngara inavinasaba na ile ya Rwanda ya...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho kuheshimu viongozi waliopo madarakani hadi muda wao utakapokamilika rasmi kwa...
Mbunge wa Tanga Mjini, Ummy Mwalimu, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuangalia uwezekano kuvirejesha viwanda vya mkoa huo ili kuchochea ajira na maendeleo ya kiuchumi.
Akizungumza katika...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa mapambano ya uhuru wa kiuchumi na ustawi wa kijamii katika nchi za Kusini mwa Afrika yanaendelea kwa kasi...
Hali hiyo imetokana na chama hicho kujikita zaidi kutafuta pesa za matumizi ya viongozi wakuu wa chama hicho kwa mgongo wa matumizi ya chama na kuhamasisha wananchi kutokushiriki uchaguzi mkuu huo...
Ili kampeni ya TONE TONE ifanikiwe, ni lazima iambatane na mambo yanayogusa wananchi moja kwa moja na zaid yanayogusa watu wengi.
Kwa maneno mengine, ni lazima CHADEMA waonyeshe na watangaze...
Baada ya malalamiko ya waalimu wasio na ajira kuishinikiza serikali kutatua changamoto zao sasa inaonekana kuna kundi jingine la vijana wasio na ajira linaibuka.
Ukiachana na hayo makundi mawili...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Fedha ya chama hicho Godbless Lema ameeleza kuwa mkakati wa Tone Tone ni mpango wa kuchangia...
Napenda kutoa mapendekezo muhimu kwa Serikali ya Tanzania (GOT) na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuhusu umuhimu wa kuchapisha noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000. Pendekezo hili lina lengo la...
Ndugu zangu Watanzania,
Katika picha hii unaweza kujua na kupata Picha Namna gani Lissu anachukuliwa na kiwango cha thamani na heshima yake ndani ya CHADEMA.
Hapa unaweza kuona na kutambua...
Boniface Jacob (Boni Yai) ni mmoja ya waliotokea kwenye tukio la uzinduzi wa mkakati maalumu wa Kidigitali 'Tone Tone' wa kuwezesha CHADEMA kupata fedha za kuendeshea shughuli za Chama.
Fuatilia...
Hongera Serikali na TPA.Hakikisheni Bandari ya Bagamoyo inajengwa Kwa kushirikiana na Private sector.
Hiyo Bandari ni mojawapo ya miradi mikakati ya kutufikisha kwenye mafanikio ya Dira ya 2050...
Mrisho Gambo sasa anatakiwa kula chakula alichowalisha wenzake kwa muda mrefu sana, chakula chenye sumu ya fitna. Katika foleni, hakuna aliyebaki isipokuwa ni yeye, na mgawa chakula anamuangalia...
Najiuliza kama hawa wakipewa mkopo au kudhaminiwa Benki wapate mkopo wafungue shule binafsi, na mkopo uwe na suspended interest.
Wanajiunga vikundi vikundi tu, wa kufungua nursery haya, primary...
Wananchi wa Bumbuli mkoani Tanga wamechukizwa na tabia ya mbunge wao January Makamba kuwapa ma draft kwa ajili yakuchezea wakati barabara ni mbivu na huduma zingine nizashida sehemu hiyo.
Najua hawa jamaa ni wa mikoani na hawajui protocol za mavazi kimamlaka.
Tai nyekundu ni ishara ya mamlaka na huvaliwa na the topmost kimamlaka.
Kama the top boss yupo, wa chini yake anatakiwa...
Wadau, niko Tanga mjini hapa na katika pitapita zangu nimekutana na vijana wakizungumza kwa furaha kwamba kesho hakuna shule ni mapumziko. Nikafikiri nimepitwa na nyakati kuna holiday halafu...
Wakuu,
Mpaka tunaingia kwenye ballot box mwezi Oktoba tutaona mambo mengi sana kutoka kwa hawa wanasiasa.
=======================================================
Mkuu wa Wilaya ya Muheza mkoani...