Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ktk hali ya kawaida, kwa wanasiasa wenye tamaa ya madaraka na uroho wa kutumia vibaya rasilimali za Wananchi sio rahisi mwanasiasa kusema bora tuache kwanza uchaguzi aliyepo aendelee ili apate...
2 Reactions
5 Replies
438 Views
Aliyemuelewa huyu mheshimiwa Babu Tale meneja wa Wasafi ambaye kwa sasa ni mbunge,aeleweshe na wengine
10 Reactions
57 Replies
7K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani Juma Kassim Ndaruke ametoa rai kwa wa Umoja wa wanawake wa Chama cha Mapinduzi Kibiti kusimama kidete na Rais Dkt Samia Suluhu...
0 Reactions
0 Replies
359 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
2 Reactions
16 Replies
636 Views
Leo nimekusikiliza ukiongea kwenye kikao kazi cha wakuu wa taasisi za umma Dodoma. Umeongea mambo mengi mazuri, makubwa na ya msingi kwenye hotuba yako ya ufunguzi. Umezungumzia changamoto...
1 Reactions
1 Replies
470 Views
Ziara ya Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe yazidi kupamba moto Jimboni akiongozana na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya na Sekretaileti ya CCM Wilaya ya Kibondo chini ya...
0 Reactions
1 Replies
340 Views
Je, ni dhamira na nia yake njema kwa Taifa letu pekee? Au ni kwa namna alivyofanikiwa kuliunganisha taifa kwa falsafa yake ya 4Rs na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu? Au ni...
6 Reactions
74 Replies
2K Views
LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) inatarajiwa kusimama kwa takriban wiki moja kupisha michuano ya Samia Women Super Cup inayotarajiwa kuanza kesho, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha. ...
4 Reactions
4 Replies
838 Views
Hivi kuweka free and fair election ni kitu kimewashinda KABISA? KWAMBA hii nchi Ina milikiwa na CCM? Huwa napata mashaka sana ndani ya icho chama kama Kuna wasomi walio eleweka na walio na...
13 Reactions
40 Replies
1K Views
Wakuu Katibu Tawala Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mahida Waziri Amekabidhi zawadi ya Mitungi ya Gas kwa kutoka kampuni ya Taifa Gas na Kiwanja kwa washindi wa shindano la Kupika Pilau...
1 Reactions
4 Replies
599 Views
Hivi ndivyo Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu alivyomuelisha Kada wa ccm Balile wa Jukwaa la Wahariri Lissu amedai kwamba Watumishi wa Tanzania wanawajibika kwa Rais na wanaweza kutimuliwa kazi...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Wana madai ya Msingi sana. UHALISIA ULIVYO Kiukweli mazingira yaliyopo kwasasa katika chaguzi zetu hayatoi nafasi kwa upinzani kushinda nafasi yeyote ile isipokuwa kwa hisani, huruma...
4 Reactions
35 Replies
1K Views
Picha mbalimbali zikimuonesha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akishiriki shughuli ya mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya...
2 Reactions
2 Replies
448 Views
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema kumekuwa na mwitikio mkubwa kwa wananchi kujitokeza katika vituo mbalimbali vya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaofanyika mkoani...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
Wakuu Umoja wa Madereva na Makondakta wa Daladala Mbeya Jiji (UDEKO) umetoa wito kwa Mbunge wa Mbeya Mjini na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, kugombea...
0 Reactions
3 Replies
419 Views
Balile na pascal Mayalla hawana weledi katika uandishi wa habari. Naomba waendelee na siasa za kusifu na sio habari.
4 Reactions
11 Replies
835 Views
Wale wezi wa kura wasioheshimu sanduku la kura,wanaishi kwa mbeleko Msijione washindi kwa wizi wa kura kimsingi mnaua morali ya wapiga kura kushiriki katika chaguzi mbalimbali hapa nchini...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Whethe mpango huo wa kitapeli utafanikiwa ama laa, lakini mwisho wa siku pesa ndio itakayo wagombanisha na kuvuana nguo hadharani uongozi mpya wa chadema. Ni suala la muda tu kwa jambo hilo...
1 Reactions
38 Replies
1K Views
Mh Raisi na mama yetu mpendwa SAMIA SULUHU HASANI mimi kama mwananchi wa kijiji cha kwasekinga kuna malalamuko kutoka kwa wananchi wa vijiji vya kwasekinga,lugulu na kanza katika jimbo la Same...
0 Reactions
7 Replies
798 Views
Hatumtaki Januari Makamba sisi wananchi wa jimbo la bumbuli kwa umoja wetu kutoka kata zote za jimbo hili hatutamchagua tena. Imetosha kwa miaka kumi na tano sasa bila huduma za kijamii...
9 Reactions
17 Replies
961 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…