Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewasihi Waislamu na Watanzania wote kwa ujumla kutounga mkono vitendo na kauli kutoka kwa Mtu au kikundi cha Watu zinazolenga kuchochea...
Hizi karibuni Rais Samia alisema mapungufu yalikuwepo katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wamejipanga uchaguzi mkuu kuendeshwa kikanuni na sheria zilizowekwa.
Nafikiri kila mtu anapaswa...
Balozi wa Mazingira na mhamasishajI Michael Msechu amehamasisha wakazi wa Mkoa wa Pwani kuhusu ujio wa Mwenge wa Uhuru wa Kitaifa 2025 na kuhamasisha umoja na maendeleo ya Miaka minne ya Rais...
Hakika masikitio na maumivu ni makubwa kama umefuatulia report ya CAG. Kiufupi pesa zimepigwa, pesa zimemumunywa, pesa zimelambwa, everywhere pesa zimepigwa na Rais Samia amepongeza kuwa matumizi...
Ukitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na...
Wanabodi
Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Karibuni...
Mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA James Mbowe ameeleza kuwa Kitendo cha Chadema kukaa kimya kwa siku takribani saba tangu kushambuliwa kwa Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa...
Naelewa na ninafahamu ni ukweli wa wazi kwamba CHAGUZI zilizopita zilijaa dhuluma, ukiukwaji wa haki na hata vifo vya Watanzania wenzetu,
LAKINI
Wakati mnasukuma agenda ya NO REFORM NO ELECTION...
Anaandika Mwanasheria Garatwa Francis
Awali ya yote nitumie nafasi hii kumpongeza mtaalam wa Idara ya IT - Makao Makuu ya CHADEMA Taifa, kijana mwenzetu Remigius Selestine kwa ujasiri wake wa...
Mbunge wa Jimbo la Busanda, Mkoani Geita, Mhandisi Tumaini Brayson Magesa amezungumza na Manara TV na kufafanua sababu zilizomfanya kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Busanda, licha ya kushika...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi, ameonya dhidi ya watu wanaodhani kuwa wana nguvu zaidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza wakati wa ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa...
Ya Chadema na Mwenezi Bawacha; Ushahidi Mwingine wa Udhaifu wa Lissu
Na Mwamba wa Kaskazini
Alipogombea TLS kuwa Rais watu walionya: huyu mtu ni mwanaharakati na kamwe hajui mifumo ya ujenzi wa...
Bi sagrada samahani kwa yote sikuwa nimekuona kwa karibu !! Na sasa nimekuona nimegundua unahitaji mapenzi ya kweli kutoka kwangu !! Achana na siasa njoo huku tutafute familia !! Siasa ni mchezo...
Katibu wa cha ACT Wazalendo mkoa wa Njombe Stanley Mbembati amesema chama chao kinaunga mkono kampeni ya chama cha CHADEMA ya No Reforms No Election kwani kama yatafanyika mabadiliko...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezindua kampeni maalum ya siku 48 kwa ajili ya kudai mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kampeni hii...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametoa mkono wa Eid El Fitr kwa Wananchi wenye mahitaji Maalum wakiwemo Yatima, Wajane, Wazee na watu wenye ulemavu...
https://youtu.be/xJtsdnZJKSk?si=4MdoQtu6CK7c2qtz
Dogo anasema tatizo ni uongozi wa nchi na rushwa. Badala ya machawa kuongelea haya na kurekebisha wanaongelea Lissu na Chadema kila siku...